Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We dyfre, ngeli ya genge maana yake nini??
yani lyrics ama mistari ya nyimbo wa aina ya Rap, za wanamziki under recording lebel 'Calif Records' from california estate, in eastleigh. JuaCali ni moja wepo. wengine ni Mejja, Nonini, late E-sir, Flexx, Frasha, Ratatat, Pilipili etc
 
Sasa rudishia wanageria picha yao
Na hiii nirudishie nchi gani ?wahara miferejini
20201119_213805.jpg
 
Kwahiyo unajisifu kwa kushindwa kutumia diplomasia badala yake unajisifu kwa kupigana, we are smarter than you guys, we managed to convince them orally

Hizo nchi zingine zote ulizitaja ambazo zilipata uhuru wake, zote chimbuko la Uhuru wao ni Tanzania, sisi ndio tuliowasaidia kwa hali na Mali hadi wakawashinda wakoloni.

Tofauti Kati ya hizi nchi na Kenya ni kwamba, Kenya baada ya kupata uhuru wake iliamua kujitenga na waafrika na kuwakumbatia wazungu, lakini hizi nchi ziliendelea na vita kuzikomboa nchi zingine za Afrika hadi nchi zote za Afrika zilipokua huru. Kupigana vita vya uhuru sio sababu ya kutosaidia nchi zingine, huo ni ubinafsi wa Kenya na tabia ya nchi za kibepari, kutojali watu wengine
Hebu nikuulize ni nchi gani ya Kiafrika ilikuja kutusaidia sisi wakati tulikuwa tunauwawa na mabeberu?
 
Back
Top Bottom