Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Zaidi ya lugha 2,000 huzungumzwa barani Afrika, Kiingereza ikiwa miongoni mwa lugha hizi na kuzungumzwa katika mataifa 25 ya Afrika
Orodha imetolewa ya nchi zinazomumunya Kiingereza kwa ustadi, Kenya ikioshwa na mataifa kadhaa ikiwemo Uganda na Nigeria
Je, Kenya inashikilia nafasi ya ngapi katika kutafuna Kiingereza Afrika? Na ni nani nambari moja? Soma upate uhondo
Zaidi ya lugha elfu mbili huzungumzwa barani Afrika; ukuaji wa lugha na utofauti ukichangia katika kuimarisha mazungumzo miongoni mwa raia wa mataifa mbalimbali ya Bara Afrika.

Orodha ya Mataifa Kumi Bora Yanayotafuna Kiingereza Kizuri Barani Afrika, Uganda Nambari Moja
Uganda ndilo taifa linaloongoza kwa kutafuna Kiingereza kizuri barani Afrika.
Ijapokuwa lugha nyingi hutumika katika mafunzo ya shule ya msingi Afrika, kuna mataifa 25 kati ya 54 ambako lugha ya Kiingereza inatumika kwa masuala rasmi na kibiashara.

Mataifa mengi yanayotumia Kiingereza ni zile zilikuwa chini ya wakoloni kutoka Uingereza isipokuwa Rwanda na Eritrea.

Hii hapa ni orodha ya mataifa kumi bora katika kuzungumza Mataifa 10 Afrika yanayokeketa Kiingereza bora kwa mujibu wa shirika la utafiti la CCJK.

10. Rwanda
Ni moja kati ya mataifa madogo zaidi barani Afrika ikiwa na idadi ya watu milioni 13 na asilimia 0.2 pekee ndio inayozungumza Kiingereza. Kinyarwanda ndiyo lugha inazungumzwa kwa sana na vilevile ni lugha ya taifa.

9. Ghana
Taifa hili la Magharibi mwa Afrika linachukua nafasi ya 9 kwenye orodha hii. Ghana hutumia Kiingereza kama lugha rasmi ya taifa. Ghana ina takriban lugha zingine 11.

8. Malawi
Malawi ina idadi ya watu milioni 19 na licha ya kuwa Kiingereza ndiyo lugha rasmi ni asilimia 26 pekee ya raia wake wanaotumia lugha hii. Chichewa ndiyo lugha ya taifa na asimilia 57 huzungumza lugha hii.

7. Zimbabwe
Ikiwa na idadi ya watu milioni 14.8, nchi hii inashikilia nafasi ya saba katika orodha ya mataifa yanayozungumza Kiingereza kizuri.

6. Botswana
Taifa jingine ambalo halina ufuo wa bahari, likipatikana kusini kwa Afrika. Kiingereza ndiyo lugha rasmi licha ya nchi hii kuwa na watu wengi wanaozungumza lugha ya Setswana.

5. Zambia
Zambia ina zaidi ya lugha na lahaja 70. Hata hivyo, Kiingereza ndiyo lugha rasmi kwa biashara na masuala mengine.

4. Kenya
Taifa hili la Afrika Mashariki limeorodheshwa la nne katika ubora wa kumumunya Kiingereza. Kenya ni nyumba kwa makabila mbalimbali yanayozungumz alugha zao lakini lugha rasmi ni Kiingereza.
3.Nigeria ni taifa la tatu Afrika katika kuzungumza Kiingereza kizuri. Taifa hili lina watu milioni 206 na kati yao, milioni 79 wanapiga Kiingereza.

2. Afrika Kusini
Afrika Kusini inashikilia nafasi ya pili kwenye ubora ikiwa na raia milioni 4.8 wanaozungumza Kiingereza kama lugha yao ya kwanza.
1. Uganda inachukua nafasi ya kwanza kwenye orodha ya mataifa ya Afrika yanayozungumza Kiingereza kizuri. Nchi hii imetumia Kiingereza kama lugha ya taifa tangu kupata uhuru miaka ya sitini.
 
Nairobi has a complete ring now

277440349_277153027939562_5853382166743593918_n.jpg
 
😂😂😂 njoo usaidie bwana zako munaeka vikwazo bila kusoma alama za nyakati

Unajua hawa wazungu wapumbavu kweli wenyewe walijua nchi za kiarabu zita over supply soko la mafuta na gesi ili kufidia mafuta ya mrusi ila ndo kwanza wenyewe hawana ata habari
 
mama anarudisha utaratibu wa gari kukaguliwe nje na sio nchini.. huku ni kuua ajira na kuua ujuzi
Wewe unafikiri kuna mtu pale? Baada ya Magufuli kuamuru ukaguzi wa magari ufanyike nchini, TBS imeongeza mapato ya vehicles inspection zaidi ya 200% na bado ajira kwa Watanzania zimeongezeka maradufu

Kuna company kubwa sana ya magari Japan ilifungua branch yao kubwa Tanzania kwa mara ya kwanza kuwa na branch Africa kutokana na maamuzi hayo na ndio tukaona hata TPA ikaongeza kiwango cha magari.

Yaani huyu mama mpaka aondoke Tanzania itakua zaidi ya kituko!
 
PEACE Cable to Terminate at Interxion MRS2 Data Centre in Marseille

Winston Qiu PEACE 15 February 2021

According to PEACE Cable International Network Co. Ltd, the termination and interconnection equipment of the PEACE cable system will be located at Interxion’s MRS2 data centre in Marseille, France, pursuant to a cooperative partnership with PCCW GLOBAL and Interxion. PEACE cable will enable low-latency access to over 160 connectivity providers along with multiple content, cloud, gaming and video streaming platforms at Interxion's Marseille campus, including MRS1, MRS2 and MRS3.

PEACE Cable route
PEACE Cable Map

The high-speed, 15,000km PEACE subsea cable system will offer high-capacity, low-latency routes connecting China, Europe and Africa. In addition to France, the PEACE cable will land in Malta, Cyprus, Egypt, Djibouti, Kenya, Pakistan and other countries and regions, with onward terrestrial connectivity to China.

The PEACE subsea cable will provide the most direct and high-capacity route from Asia to Europe. These features, combined with the exceptionally low-latency, are vitally important for a wide array of commercial and consumer applications. Moreover, PEACE deploys a state-of-the-art “system-within-a-system” configuration that gives each party the required flexibility to design its own subsystem with reconfigurable bandwidth for different points over the lifetime of the cable. For example, Cyta of Cyprus is building itw private ARSINOE subsea cable system connecting Cyprus with France and Egypt, using fiber pairs on the PEACE cable.

Interxion’s Marseille campus is one of the world’s leading digital hubs for intercontinental data traffic with a thriving community of numerous connectivity providers, digital media and cloud segments along with local as well as global enterprises, providing customers with a strong foundation to execute their digital transformation strategies and scale globally.

PEACE cable will be the 15th subsea cable system to land in Marseille. The cooperation will not only further enhance the competitiveness of Marseille Network Hubs but also contribute to the expansion of PEACE market.

Landing PEACE cable at InterXion MAR2, it not only solidifies Marseille’s future as an intercontinental hub with access to state-of-the-art communication services, but also affords Interxion’s global customer base entry into new markets and the ability to link their often geographically dispersed infrastructure in close proximity with the connected community.

Interxion’s fluid interconnection environment in Marseille enables the PEACE subsea cable to efficiently service the needs of the vibrant community of interest on the campus, while extending the system’s reach to additional markets such as Frankfurt and Paris.

Ss ndio muelewe kwnn huwa tunazikataa ranking za kipumbavu kama hizo, hawa wazungu ni wajinga sana, huwa wanazi favour nchi ambazo zinawaruhusu wafanye wanavyotaka. Ss wanaweka jeshi la nchi kama Kenya au Nigeria mbele ya jeshi la Tz kwa kigezo kipi? Hizo nchi zina machafuko kila siku kutokana na udhaifu wa majeshi yao lkn utaambiwa wanajeshi imara kivipi? Ila kwa kuwa serikali ya ss imewakumbatia ngoja uone report zijazo.
Wacha kujisifu. Tanzania haina machafuko kwa sababu mna bahati ya jiografia, sio kwamba nyinyi ni special. Ni kwamba kama TZ ingekuwa kijiografia mahali Kenya iko, karibu na shabab mngepigwa tu. Mna bahati hawa vijana wa Mozambique wanajifunza ugaidi tu na wala hata hawajui kujilipua na bomb wala kuunda IED ya kulipua gari. Hao ni magaidi wajinga tu ambao hawana technical skills ambazo Isis au Al shabab iko nayo.
 
PEACE Cable to Terminate at Interxion MRS2 Data Centre in Marseille

Winston Qiu PEACE 15 February 2021

According to PEACE Cable International Network Co. Ltd, the termination and interconnection equipment of the PEACE cable system will be located at Interxion’s MRS2 data centre in Marseille, France, pursuant to a cooperative partnership with PCCW GLOBAL and Interxion. PEACE cable will enable low-latency access to over 160 connectivity providers along with multiple content, cloud, gaming and video streaming platforms at Interxion's Marseille campus, including MRS1, MRS2 and MRS3.

PEACE Cable route
PEACE Cable Map

The high-speed, 15,000km PEACE subsea cable system will offer high-capacity, low-latency routes connecting China, Europe and Africa. In addition to France, the PEACE cable will land in Malta, Cyprus, Egypt, Djibouti, Kenya, Pakistan and other countries and regions, with onward terrestrial connectivity to China.

The PEACE subsea cable will provide the most direct and high-capacity route from Asia to Europe. These features, combined with the exceptionally low-latency, are vitally important for a wide array of commercial and consumer applications. Moreover, PEACE deploys a state-of-the-art “system-within-a-system” configuration that gives each party the required flexibility to design its own subsystem with reconfigurable bandwidth for different points over the lifetime of the cable. For example, Cyta of Cyprus is building itw private ARSINOE subsea cable system connecting Cyprus with France and Egypt, using fiber pairs on the PEACE cable.

Interxion’s Marseille campus is one of the world’s leading digital hubs for intercontinental data traffic with a thriving community of numerous connectivity providers, digital media and cloud segments along with local as well as global enterprises, providing customers with a strong foundation to execute their digital transformation strategies and scale globally.

PEACE cable will be the 15th subsea cable system to land in Marseille. The cooperation will not only further enhance the competitiveness of Marseille Network Hubs but also contribute to the expansion of PEACE market.

Landing PEACE cable at InterXion MAR2, it not only solidifies Marseille’s future as an intercontinental hub with access to state-of-the-art communication services, but also affords Interxion’s global customer base entry into new markets and the ability to link their often geographically dispersed infrastructure in close proximity with the connected community.

Interxion’s fluid interconnection environment in Marseille enables the PEACE subsea cable to efficiently service the needs of the vibrant community of interest on the campus, while extending the system’s reach to additional markets such as Frankfurt and Paris.

Yaani hii peace cable imeland Kenya halafu next destination ni SA, inaruka Tanzania. Huwa tunaambia akina joto la jiwe The best 007 na ichoboy01 kwamba hapa Sub-Saharan Africa kuna jogoo watatu pekee wanaowika Kenya,SA na Nigeria na hawataki kusikia.
 
Asante kwa pongezi. Wewe Mtanzania kuipongeza Kenya kutafanya Watanzania wenzako wakuchukie. Kila Mtanzania humu anastahili kuikashifu na kuichukia Kenya na anayekiuka sheria hio anapigwa vita vikali. Angalau wewe umefika Kenya na umejionea kwa macho yako maendeleo ya huku.
Wacheni kujidanganya hapa huyo sio M TZ ....huyo mkenya mwenziio ...eti kenya iko vizuri ....kenya hii hii ya mabanda ....majumba ya mabati mabati
 
yani unafananisha part of Dar CBD vs westland + upper hill + CBD etc 😂😂😂😂
Nyie Dar CBD pekee ndio ina majengo marefu. Sisi majengo marefu yanapatikana sehemu tatu. CBD, Westlands na Upperhill
 
Kenya haina jeuri ya kutoka EAC, Kenya uchumi wake unategemea Tanzania na Uganda by 80%, hivi zaidi ya Tanzania na Uganda, ni nchi gani tena inafanya biashara ya kuuza bidhaa zake kwa wingi?
Eti 80% ya trade ya Kenya inategemea Tanzania na Uganda? Uongo tu. Exports ina umuhimu kushinda imports na Pakistan ambayo inanunua majani chai ya Kenya kwa wingi ina umuhimu kwetu kushinda Tanzania. Vile vile Netherlands ambayo inanunua maua na mboga yetu ina umuhimu kwetu kushinda Tanzania. Punguzeni majivuno watu. Wacheni kujipiga vifua kwa uongo mnaojiambia.
 
Wewe unafikiri kuna mtu pale? Baada ya Magufuli kuamuru ukaguzi wa magari ufanyike nchini, TBS imeongeza mapato ya vehicles inspection zaidi ya 200% na bado ajira kwa Watanzania zimeongezeka maradufu

Kuna company kubwa sana ya magari Japan ilifungua branch yao kubwa Tanzania kwa mara ya kwanza kuwa na branch Africa kutokana na maamuzi hayo na ndio tukaona hata TPA ikaongeza kiwango cha magari.

Yaani huyu mama mpaka aondoke Tanzania itakua zaidi ya kituko!

ni zaidi ya kituko mkuu

sikuhiz ile hashtag #MamaAnaupigaMwingi naona watu wameifanya kuwa ni kejeli
 
sasa unakaguaje gari at destination na si source in a shipping industry?
Ndio ninashangaa. Tuseme defect lipatikane kwa gari, nani atagharamikia shipping costs za kuirudisha gari mahali ilipotoka? Au hata kama spare part itatumwa, nani atagharamikia hio cost ya kutuma spare part? Hata defect ikipatakana, serikali yenu itafanyaje? Itakaza aliyenunua gari kuingiza gari eti kwa sababu ina defect? Kwa hivyo aliyenunua naye airudishe alikoitoa? Sielewi. Ukaguzi unastahili kufanyika Japan huko.
 
Back
Top Bottom