Ndoto..Mtaje wewe wa kugombea na mama ,hakuna kima wa kutoa pua znarudia hayupo na Samia yuko hadi 2030 akiwa mzima.
Kiongozi tuwe realistic duniani kote vitu vimepanda bei baada ya demand kuongezeka post covid we expected things to normalise soon after but the Ukrainian war imeharibu Europe is reeling on hyper inflation as we speak sembuse sisi.Mkuu apa naomba nichangie kdgo, kwa sasa sio swala la zama mbili tofaut, uongozi ulio fail kukotrol market kabisa ivi umenda kuangalia gharama za vitu recently, kama hujui watu wanalalamik bila kujali ni zama gni hali ni mbaya sana
Hao ni wapumbavu tuu wenye chuki na Samia,na hao hao humu ndani wanafupia CPI za Nchi mbalimbali lakini kwa Tzn eti iko immune kama kwamba havitakiwi kupanda,those are stupid monkeys.Kiongozi tuwe realistic duniani kote vitu vimepanda bei baada ya demand kuongezeka post covid we expected things to normalise soon after but the Ukrainian war imeharibu Europe is reeling on hyper inflation as we speak sembuse sisi.
Huyu mama yako aliingia lini ikulu?Nani kasema,serikali ya mama ndio ilizuia utaratibu wa kukagua magari nje ikawapa tbs na kuongeza mapato sasa ukisema wanarudisha tena husomeki.
Ndio nakwambia, kwenye bajeti iliyopita Waziri alisema Magari yataanza kukaguliwa hapa ndani..
msikilize hapa huyo mama afu umtetee
yan hata kwa namna anavyoongea, aibu naona mimi.. zero brain kbs!
Mchague ni machina au beberu atawatia dole miaka 100 pale bagamoyo. Magufuli must be cursing Samia from hellmchina mutakutana nae paleeeee kwenye toll zake akiwaramba makalio![]()

kwani ww ni moderator.!?. mtu asitishie Opportunity Cost. ila nnajua sikuzote mnakereka sana na ukweli wakeNisham block tayari huyu shoga mwenye I'd nyingi humu JF, hii ni I'd yake ya 3 naiblock, akifungua nyingine pia nikiona muandiko wa kishoga shoga wenye mipasho najua ni huyu shoga so nampiga block.
Mimi binafsi sioni tatizo kama competent agency akipewa kazi hii! Hivi sasa kuna magari yaliyopita miaka inayoruhusiwa kuingia nchini yanaingia na inakuwa ngumu kwa vile ukaguzi unafanyika nchini na si yanapotoka! Na yanasababisha mlundikano bandarini!
mhh hakuna uongozi hapa
Tunapitisha hapo HOWO za GSMMega suspension bridge in China's mountainous southwest Guizhou province
Mabeyo na Sirro hata hawashiriki vikao vyake siku hizj, nimefurahi sana Kila alipokuwa anauliza nani yupo, anajibiwa hayupo...Huyu mama anashauriwa mambo mengi asiyoyajua na yeye anakubali kwasababu hajui mambo mengi ambayo kiongozi anapaswa kuyajua, shida ilianzia pale katiba letu bovu lilipomzawadia kiti, but hakuwa amewaza wala kujiandaa kuwa Rais na kuna mambo mengi maskini ya Mungu anapaswa kuyapitia kabla ya kutoa uamuzi lkn atayapitiaje wkt hajui aanzie wapi. Tutulie tu hakuna jinsi ila tunapoelekea wale wenye chuki na uongozi uliotukuka uliopita watatii japo wameshaanza kutii kimya kimya.
ndiyo kama tunataka kuongeza mizigo zaidi hatupaswi kulundika mizigo ya magari bandarini yanayongoja ukaguzi! Pia kama nilivyokuambia uaminifu ni zero watu wanaingiza magari machakavu! Mzee una hidden interest kwenye hili nn? mbona unalalamika sana? Au ndo mambo ya indoor arena Mwenge? 🙄🙄so tatizo la kupunguza mlundikano bandarin ni kubwa au ni zito zaid kuliko faida vijana na garage au TBS wanayopata.. kwamba Taifa linashindwa kbsa kbsa kutatua tatizo la mlundikano bandarin.. kbsa kbsa Rais anashindwa hili?, kbsa kbsa waziri anashindwa hili? kbsa kbsa MD wa TPA anashindwa hili?mhh hakuna uongozi hapa
msikilize hapa huyo mama afu umtetee
yan hata kwa namna anavyoongea, aibu naona mimi.. zero brain kbs!
Shoga dad yako,unaongea matapishi ya mbwa.Nisham block tayari huyu shoga mwenye I'd nyingi humu JF, hii ni I'd yake ya 3 naiblock, akifungua nyingine pia nikiona muandiko wa kishoga shoga wenye mipasho najua ni huyu shoga so nampiga block.