Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

soma hii afu nipe feedback or any comment..
hata kama hauna, pls give me any feedback hata kusema “thanks for sharing”.
View attachment 2169282
Okay umejibu swali langu. Mradi huu ni mzuri kwa maana hata defect likipatikana gari halirudishwi Japan bali linapelekwa garage hapo hapo Tanzania. Kwa nini mradi huu umesitishwa?
 
sasa unakaguaje gari at destination na si source in a shipping industry?
Hata mimi nashangaa gari kama ikiwa mbovu huko italetwa tuu hapa halafu ukaguzi ukifanyika hapa nyumbani inakutwa mbovu na inaenda kuwa destroyed aliyeagiza anapata hasara serikali inapata hasara maana import bill inakuwa kubwa unnecessarily kwa kupurchase obsolete products plus cost ya kudispose hilo gari. Hence pre destination inspection inapaswa ifanyike kwenye country of origin lakini serikali isimamie hayo mapato vizuri.
 
dar CBD tena part inapambana na westland+upperhill+CBD conbined 🤣🤣
7EBAB672-E487-4526-B554-5667A0E3F7D3.jpeg
 
waongoja nn jameni... si ufichue dar yote tuione basi
dar huwez ipata yote kwasababu hakuna misitu kama kwenu mji umejikusanya sehemu moja

CBd to westland 3km
CBd to upperhill 4km

sasa ww unafkiri kutakua na nn hapo🤣🤣
 
Okay umejibu swali langu. Mradi huu ni mzuri kwa maana hata defect likipatikana gari halirudishwi Japan bali linapelekwa garage hapo hapo Tanzania. Kwa nini mradi huu umesitishwa?

wew jamaa vip? uko vizur kichwan?
mwanzo si umesema umeshangaa inspection kufanyika destination na sio source.. sasa unaniuliza mim tena kwann hawataki kufanya inspection at destination
 
ni zaidi ya kituko mkuu

sikuhiz ile hashtag #MamaAnaupigaMwingi naona watu wameifanya kuwa ni kejeli
Japo huwa sipendi kucomment kwenye siasa lakini inabidi tukubali tuu kila zama na kitabu chake hatuwezi kufikiria sawa wote hapo nyuma kulikuwa na #hapa kazi tuu watu wakafurahia na wengine wakanuna sasa ni zamu ya #mama anaupiga mwingi wale waliokuwa wamenuna wanafurahia na wale waliokuwa wamefurahia kwenye #hapa kazi tuu ni zamu yao kununa huo ndio ukweli and that's life. Ukiangalia a typical graph haiwezi kuwa smooth hata siku moja has ups and down huo ndio ukweli hata kwenye maisha ni hivyo hivyo.
 
wew jamaa vip? uko vizur kichwan?
mwanzo si umesema umeshangaa inspection kufanyika destination na sio source.. sasa unaniuliza mim tena kwann hawataki kufanya inspection at destination
Nilikuwa nauliza maswali ikiwemo "defect ikipatikana gari litarudishwa ilikotoka?" Sasa hio article yako imejibu maswali yangu. Halafu wewe ndio akili punguani. Uliniambia nikupe feedback kumbe ilikuwa ni uchizi tu.
 
uchizi ni pale ulipoongeza kuniuliza mim kwann hawataki kufanya inspection at destination
 
🤣🤣🤣🤣 Ama kweli wendawazimu wapo mamlakani!

Kuna viwanja vya michezo Dodoma na barabara ya Pwani to Mtwara ilitakiwa ijengwe kimkataba sababu ya mtiririko mzuri wa certificates payment from client, sasa naona kona zinapigwa hapa, uzuri wanajua waliopo sasa wanawamudu!

Japo huwa sipendi kucomment kwenye siasa lakini inabidi tukubali tuu kila zama na kitabu chake hatuwezi kufikiria sawa wote hapo nyuma kulikuwa na #hapa kazi tuu watu wakafurahia na wengine wakanuna sasa ni zamu ya #mama anaupiga mwingi wale waliokuwa wamenuna wanafurahia na wale waliokuwa wamefurahia kwenye #hapa kazi tuu ni zamu yao kununa huo ndio ukweli and that's life. Ukiangalia a typical graph haiwezi kuwa smooth hata siku moja has ups and down huo ndio ukweli hata kwenye maisha ni hivyo hivyo.

it’s not about #HapaKaziTu or #AnaupigaMwingi.. it’s all about Tanzania development.. mfano hio ya vehicle inspection haitendei haki Tanzania hasa ukiangalia vitu kama ajira kwa vijana wa kiTanzania
 
Back
Top Bottom