Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mabeyo na Sirro hata hawashiriki vikao vyake siku hizj, nimefurahi sana Kila alipokuwa anauliza nani yupo, anajibiwa hayupo...

Yaani hapa wamuwahishe mapema au watoe onyo kwa CCM, huyu mama hatuna kitu, ***** sawa na Steve Nyerere tu
Mungu Mpe Pumziko la Amani John Pombe Joseph Magufuli
 
Nzambi Matee ni jina la Congo hilo.
Kwa hivyo AFP ni wajinga kusema yeye ni Mkenya? Mbona yeye mwenyewe anasema yeye ni Mkenya kwenye video nyingi tu mitandaoni? Huyu yupo kila mahali hadi nadhani alihojiwa na CNN. Huyu ni Mkenya na majina hufanana.
 
Elewa nilichosema, nmesema hilo jina lina asili ya Congo na sijasema kwamba huyo ni mCongo.
 
nobody, and i repeat.. nobody dares the great city of nairobi
Screenshot_20220331-045250_Gallery.jpg
Screenshot_20220330-180205_Photos.jpg
Screenshot_20220330-180342_Chrome.jpg
 
Wewe unafikiri kuna mtu pale? Baada ya Magufuli kuamuru ukaguzi wa magari ufanyike nchini, TBS imeongeza mapato ya vehicles inspection zaidi ya 200% na bado ajira kwa Watanzania zimeongezeka maradufu

Kuna company kubwa sana ya magari Japan ilifungua branch yao kubwa Tanzania kwa mara ya kwanza kuwa na branch Africa kutokana na maamuzi hayo na ndio tukaona hata TPA ikaongeza kiwango cha magari.

Yaani huyu mama mpaka aondoke Tanzania itakua zaidi ya kituko!

Huo uamuzi haukuwa na tija hata kidogo zaidi ya kuleta usumbufu na ukiritimba, mbaya zaidi uwezekano wa kuletewa magari mabovu na wenye nayo kuyatoa kwa rushwa and that was a practice. Huwezi ku-jeopardize usalama wa watu na mazingira eti sababu unacreate local employment, huko kulijaa rushwa tu na urasimu. Hiyo sio biashara ya karne hii.
 
Bila shaka kuna shida hapo TBS, haiwezekani utaratibu wa kukagua ndani umeanza mwaka huu tena wanabadili.

Nilisikia ishu ya ucheleweshaji na kuleta ukiritimba bandarini kwa sababu za ukaguzi,huenda ndio zimepelekea kubadili tena..

yan wew ni Rais wa nchi na amri jeshi mkuu, ila uchelewaji na ukiritimba ndan ya nchi yako vinakushinda huo urais unamaana gan sasa kama sio interests za watu wa nje ndo zinakuongoza
 
msikilize hapa huyo mama afu umtetee
yan hata kwa namna anavyoongea, aibu naona mimi.. zero brain kbs!

Kweli hili taahira

"unakagua gari umetengeneza wewe..."

Sasa madawa na bidhaa nyingine kutoka nje TBS huwa inazikagua ili iweje sababu hazitengenezwi Tanzania!

Yaani hili ni janga kubwa zaidi ya tunavyodhani, tupo hapa Muumba atupe uhai ila mkataba wa gas ni kihama

Magufuli alitaka kujua kinaganaga kwanini plant iwe billion 30$

Investor akisema anainvest billion 30$ kwenye rasilimali yako sio jambo la kufurahia sababu hiyo pesa atatakiwa airudishe yote kwanza then ndio faida ifate, wawekezaji wana over estimate na kufluctuate gharama za uwekezaji ili wakupige kwenye return of investment capital

Atawekeza billion 1 akuambie billion 10 ili wakati anakusanya zaidi ajitetee kwamba narudisha mtaji wangu wa uwekezaji

Cha kushangaza saivi tu naambiwa sio billion 30$ tena bali zitakua billion 40$ upigaji uliotukuka japo watu wanashangilia pasi kujua ni kifo cha gas yetu hiki

Anavyoongea tu kuhusu huo ukaguzi unaona kabisa hayo maneno sio yeye, yani alimezeshwa usiku, shida ni kwamba huyu mama hajui vitu vingi vinavyohusiana na mamlaka yake msameheni bure hajui maskini ya Mungu, mwishowe kumeza kumemsumbua mpk ukaguzi anasema uchaguzi
 
Alafu anamaliza kwa kusema kwamba "unalikagua umelitengeza wewe?"

Tutafika tukiwa hoi sana
 
yan wew ni Rais wa nchi na amri jeshi mkuu, ila uchelewaji na ukiritimba ndan ya nchi yako vinakushinda huo urais unamaana gan sasa kama sio interests za watu wa nje ndo zinakuongoza
Kwani hayo ya ucheleweshaji na ukiritimba yalimalizwa na Mwendazake?

Toka TBS wameanza hiyo kazi malalamiko yameongezeka kwa hiyo tija iliyotarajiwa haijapatikana,kwa hiyo kama kwa kutumia mawakala italeta tija ni sawa tuu kuliko transporters wakimbie.
 
Huo uamuzi haukuwa na tija hata kidogo zaidi ya kuleta usumbufu na ukiritimba, mbaya zaidi uwezekano wa kuletewa magari mabovu na wenye nayo kuyatoa kwa rushwa and that was a practice. Huwezi ku-jeopardize usalama wa watu na mazingira eti sababu unacreate local employment, huko kulijaa rushwa tu na urasimu. Hiyo sio biashara ya karne hii.
Ndugu magari hayakaguliwi kienyeji, system evaluator inakuwa plugged in kwenye gari yako ni dakika 5 tu gari inatoka, tena huko inakokaguliwa nje ndio magumashi matupu na kiufupi hakuna kinachokaguliwa

Ikumbukwe dealer wa gari hupigwa fine gari ikiingizwa na hitilafu na hakuna dealer anataka kuingia hasara, wengi huikagua kabla ya kuingia melini, TBS wao wanaprove tu.
 
Back
Top Bottom