Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pia usisahau magaful alikua moto ya kuotea mbali. ata tundulisu kahamia exile majuu kwasababu ya kuhofia mambo kama haya.. hehe. hivi tanganyika si afadhali
Watu wanaendelea kuuliwa huko kwenu na serikali haichukui hatua zote kuokoa maisha ya watu wake" Failed state"
 
What is your goal specifically?, many of us in here we don't understand you really, do you want international companies to open their offices in Tanzania like they do in Kenya, or do you want investors to invest in Tanzania?.

Tanzania is leading by far In these region as the best investment destination, Tanzania receives more FDI than almost all other east African countries, just USA alone invested $1.5B in Tanzania while it invested only $353M in Kenya, $42M in Uganda, $11M in Rwanda and S1M, remember USA is not in the list of top 5 investors in Tanzania, China, India and UK top the list.

Remember that every country has different environment for different investors, Nairobi because of its History, climate, easy for international flight connection, capitalism and strong private sector with weak government sectors, offers good environment for opening offices and shelters for westerners and rich people, on other hand Tanzania with it's Natural resources, peace and stability, strong government stewardship, Geographical position and strong foundation of political stability, offers good environment for investments, this is exactly what is happening.
Hii nondo hasipokuelewa hapa basi achana nae
 
Nimeshakwambia serikali haiendeshwi kama biashara ya mgahawa . uwe mwelewa
We jamaa ndio unakua mgumu kuelewa hayo mashirika yote unayoyataja ni ya serikali aslimia Mia ndio maana wakurugenzi wakuu na wanabodi wanachaguliwa na raisi hayapo huru iyo tuu inatoshaa kukueleza kwamba yanamilikiwa na serikali na hayawezi kufanya miradi yoyote ya kimaendeleo bila serikali kupitisha
 
If the economy is prosperous definitely alot of incentives will be on the line as means of attracting investors. Sasa sijui wewe unataka tufanye jitihada gani ya ku attract investors apart from building our economy. Hakuna shortcuts mzee kama za Kenya you need to work hard to have a modern, resilient and integrated economy that will provide a niche/and or paradise for imperial capitalist that you crave for. You need to think outside the box away from your comfort zone. A childish idea is to have imperialistic regional offices while manufacturing are located elsewhere.
Mwambie huyo haelewi yani Microsoft kujenga ofisi kenya anaona jambo la maana sana, wangekuwa wamejenga kiwanda cha kutengeneza labda chips au batteries za computer au simu Ndio tungetii ila sio ofisi
 
Spotted 2021 GLS63 AMG
20220327_171613.jpg
 

Attachments

  • 20220327_171718.jpg
    20220327_171718.jpg
    50.8 KB · Views: 12
Mama yuko kazini.

Zile habari Sukuma Gang wazee wa legacy hawapendi kuzisikia 👇

View attachment 2166356

View attachment 2166357

View attachment 2166358

View attachment 2166359
We umekuja kugawa watu huku sio? maswala ya sukuma gang yanakujaje kwenye hili jukwaa au unafikiri humu wote tuna mihemuko ya kisiasa sasa unataka tuanze kubishana wenyewe ili iweje kwani kenya hakuna siasa au wakenya wa hili jukwaa wote wako upande mmoja wa kisiasa? mbona wao hawaendekezi mambo hayo ingawa kwao yanawasumbua. Dogo jaribu kujitambua
 
We umekuja kugawa watu huku sio? maswala ya sukuma gang yanakujaje kwenye hili jukwaa au unafikiri humu wote tuna mihemuko ya kisiasa sasa unataka tuanze kubishana wenyewe ili iweje kwani kenya hakuna siasa au wakenya wa hili jukwaa wote wako upande mmoja wa kisiasa? mbona wao hawaendekezi mambo hayo ingawa kwao yanawasumbua. Dogo jaribu kujitambua
Ngoja nikupuuze nilitaka kukupa tusi matata ila ngoja nikulie timing.
 
Kawaida ya ajenda yenu kutembeza propaganda eti Kenya inawachukia. Yani maandamano ya wanafunzi wengi kutoka nchi nyingi ila media zenu zinasambaza ujumbe eti Mkenya. They had to mention the Kenyan student............................heeeheee. Acheni kutuogopa bradhee.
Taja mtanzania yeyote aliyawahi kushiriki maandamano dhidi ya Kenya
 
FDI kubwa inayokuja Tz ni ku invest kwenye
1.Madini
2. Gas
3.Viwanda/Industrial parks
4.Tourism maybe ndo inakuja nne na hii siyo kubwa sana
5.Agriculture

kutokana na hayo ..Madini , Gas na Viwanda huwa office ziko huko mining centres na viwandani...

Tourism ndo utaona hotels

Ila FDI ya Kenya i can call it sophisticated FDI ..

wao wana invest kwenye ambazo ni high skilled sectors
1.Finanicial
2. Technology
3.ICT
4 .Agriculture
5.Assembly plants

kutokana na hayo utaona kuwa office space ni kubwa sana na demand za appartments na data centres inakuwa kubwa hapo utaona company zina weka office sasa...ilie ku serve most of EA countries ..

Ila cha maana kwenye Fdi ni kuangalia Ajira ngap zitazalishwa na je zitahusisha watu wenye kipato cha hali gani...we it alleviate poverty ..
Kenya na Agriculture wapi na wapi mkuu?, Ardhi yenyewe hawana. Kwenye kilimo Tanzania ipo mbali Sana katika uwekezaji
 
Sifuatilii Tanzania hivo, halafu Watanzania hawajasoma saaana - kwa universities za ng'ambo kama hizi hutowapata wengi.
Usichokijuwa, 7 kati 10 ya watu unaobishana nao hapa kwenye hii battle wamesoma "ng'ambo".

Hili neno "ng'ambo" ni kiswahili cha zamani sana, nyie nyang'au nendeni na wakati.
 
Back
Top Bottom