Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania mnazo bungallows tu. Apartment mnazo gani kwa mfano? Weka ka picha tuone.
1648528202580.png
1648528504366.png
 
Poa, ila mengine yote Tanroads wamekuwa wakifanya usanifu wenyewe, mfano daraja la Nyerere, Mkapa, Kikwete na hata hizo flyover kama ya Mfugale na kijazi zote ni kazi za Tanroads.

Haha, majuu ni neno lililotumika Tanzania miaka ya 80's - 90's.
Yaani hawa viumbe wanachekesha sana, majuu limetumika sana Tanzania miaka ya nyuma wao saivi ndio peak slang ya 21st century 😅😅😅

Saivi majuu tunaita 'mbele' japo na lenyewe linaenda kupotea!

Ukiwaambia kiswahili ni mali ya Tanzania hawataki.
 
Duh! Jamaa una nyundo nzito kwa hawa jamaa, housemaids, nimecheka sana unajua kuwaweka mahala pake hawa jamaa. Nimekuwa nikiwafuatilia nikiwa nje ila nimejifunza kitu kwamba mmeamua kuwasemea watanzania walio wengi ambao hawawezi kuwa jukwaani hapa. Mmetufunza mengi ambayo hatukuwa tukiyajua kuhusu Kenya na Wakenya na yale waliyokuwa wakisema juu ya nchi yetu. Kazi njema sana wazalendo wa nchi yetu (Tanzania).
Mkenya mgani mwenye kichaa anaenda kusoma hizo nchi za kishambaa communist!!! sijui Russia,poland China!!!
Underdeveloped
Kila top cream Kenyan anakimbilia western Europe north America and Australasia
 
Mkenya mgani mwenye kichaa anaenda kusoma hizo nchi za kishambaa communist!!! sijui Russia,poland China!!!
Underdeveloped
Kila top cream Kenyan anakimbilia western Europe north America and Australasia
wewe najua upo us unaliwa kiboga waulize wenzako wakuambie wanavyotaabika kwa kukosa soko la hortucultural products, kukosa ngano na mafuta ya kula na petroli kutoka russia na ukraine, tatizo wakunya ni upumbavu unawasumbua na kujipendekeza kwa westerner
 
Mkenya mgani mwenye kichaa anaenda kusoma hizo nchi za kishambaa communist!!! sijui Russia,poland China!!!
Underdeveloped
Kila top cream Kenyan anakimbilia western Europe north America and Australasia
Tukiwaita ninyi hamna akili ni watu wa kuzungumza Mambo ili kujisifu mnasema tunawaonea, zaidi ya wakenya 200 wanasoma Ukraine pekee


Huko nchi za kiarabu Kuna wakenya zaidi ya 700 wanafanyishwa kazi za ndani, katika Afrika raia wa Kenya na Nigeria ndio raia ambao thamani Yao ni ndogo Sana huko nchi za nje, "cheap labour".
 
asante kwa kunionesha mali ya mchina amabayo ataimiliki kwa miaka 30 na hakuna mkenya atapita bila fee kwenda kwa mchina imegine
tuktuk hazitaruhusiwa
baiskeli hazitaruhusiwa
boda boda hazitaruhusiwa
wheelbarrow hazitatuhusiwa
na mkenya mtembea kwa miguu hataruhusiwa


😂😂😂😂 ni mlevi pekee
hahhahahahahahahahaha, nyangau bwana, jitu linalala kibera, likijitahidi sana south c hafu linasifia barabara ambayo hapiti na hata akipita analipishwa
 
Yaani hawa viumbe wanachekesha sana, majuu limetumika sana Tanzania miaka ya nyuma wao saivi ndio peak slang ya 21st century

Saivi majuu tunaita 'mbele' japo na lenyewe linaenda kupotea!

Ukiwaambia kiswahili ni mali ya Tanzania hawataki.
Tulianza na mtoni au mamtoni ikaja majuu ikafuata unyamwezini sasa hivi mbele
 
Kenya haina umuhimu wowote kwa uchumi wa Russia, Sasa hiyo saction watawekaje, ni sawa na ombaomba barabarani kumuwekea vikwazo vya uchumi Dangote
kwa ufupi wakenya nao waseme kuwa hawatonunua gas ya russia kama walivyoongea USA na wengine,

kazi ya kenya ni uropokaji tu nakufuata mkumbo hapa duniani

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom