Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kazi inaendelea huku nchi za kiarabu nazo zitaanza kudai zilipwe kwa yuan
Hii yote ni roho mbaya inayotokana na ugumu wa maisha.heri ata ingekua ethiopia.. sasa dr congo ni nchi gani tena.!? lol.!.. kamavile tulivyo mpokea tu ssudan, soon utasskia pia somalia.!...... sasa eac inaenda kua chwarachwara ata zaidi.. damn.!
View attachment 2168082
nb: mwanzo drcongo iko afrika ya kati na sio mashariki pér se. iweje hasa, less jina litabadilishwa sasa frm 'eac' to 'ecac'
MafindiWhich is the biggest tea farm in Tanzania?![]()
Mafindi ndiyo nn.Mafindi
Wether it's Mufindi or Mafindi the good thing umeelewa what I'm trying to say.Mafindi ndiyo nn.
Who doesn't have health insurance in Kenya? Mnadhani mkizifanya Leo basi nyinyi ndio wa kwanza kuifanyakenya wamefika level hizi?


Who doesn't have health insurance in Kenya? Mnadhani mkizifanya Leo basi nyinyi ndio wa kwanza kuifanya![]()
Najua truth is your number one enemy.
Najua truth is your number one enemy.




In Kenya everybody employed by either private or government entity has a medical cover. So hiyo ndoto yako umekubaliwa kuiota zaidi.“wachezaji wa ligi kuu.. wageni na wenyeji” hamna hii kitu huko
ndo mana nimekuambia “tumia akili usiwe mjinga”
usikurupuke
this is special health insurance to football players!Who doesn't have health insurance in Kenya? Mnadhani mkizifanya Leo basi nyinyi ndio wa kwanza kuifanya![]()
The idea of health insurance imeingia Tanzania mara ya kwanza mnadhani you are the first to have the servicesthis is special health insurance to football players!


. I'm sorry to break it to you that you are late to the party witch.Kwani wewe umeshahama apartment za pale Kibera. Angalia wenzako wanaliaMimi huwa naona Watanzania wengi humu wakijipiga vifua kwamba Tanzania inaweza kushindana na Kenya. Huwa nashindwa wamevuta bangi gani? Tangu lini Tanzania ikacheza ligi moja na Kenya. Tanzania itoe wapi apartments kama hizi?
View attachment 2167777
View attachment 2167773View attachment 2167774View attachment 2167775
Cc joto la jiwe Geza Ulole ichoboy01 The best 007 tuusan. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.