Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimepita Dodoma leo nimeona karibu na lile jengo u/c TRC HQ kuna jengo jipya linanyanyuka karibu yake.

IMG_0953.jpg
 
Who doesn't have health insurance in Kenya? Mnadhani mkizifanya Leo basi nyinyi ndio wa kwanza kuifanya
yaani uongo bila aibu mngekua mnavuka boda kuja bongo kwa matibabu , yaani kuna siku mlikua mnashang'aa blood transfusion kua bure huku Tanzania . Acha sifa za kijinga mngekua na bima nchi nzima last year kuna kuna youtuber mkenya anaitwa African tigress alikua anaomba donation hili wachukue mwili wa baba yake hospitali wakazike . Where is those health insurance ?
 
Hii imebadilisha sn mji wa Nairobi,nilikuwa hapo wiki iliyopita nikashuhudia Kwa macho yangu .Hongera majirani

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
mbona mchina humpi hongera au hujui kama huo ni mradi wa mchina na ataimiliki miaka 30 na hakuna mkenya atapita bila fee kwenda kwa mchina??🤣🤣🤣🤣

usimsifu anekimbia msifu na anaemkimbiza
 
yaani uongo bila aibu mngekua mnavuka boda kuja bongo kwa matibabu , yaani kuna siku mlikua mnashang'aa blood transfusion kua bure huku Tanzania . Acha sifa za kijinga mngekua na bima nchi nzima last year kuna kuna youtuber mkenya anaitwa African tigress alikua anaomba donation hili wachukue mwili wa baba yake hospitali wakazike . Where is those health insurance ?
kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja uondoke bro 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom