NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
haya oneni huyu sikuhzi nae kawa kilaza![]()







Mi mwenyewe nimeangalia weeeSijaona chochote.
haya oneni huyu sikuhzi nae kawa kilaza![]()







Mi mwenyewe nimeangalia weeeWakenya sasa hivi mtajua hamjui sasa Watanzania wameamka wameamua kuitetea nchi yao na rasilimali zao, hata hayo madini ya Tanzanite mnayosema mnayaiba kwetu na kuyauza muda wake utafika tu hamtayaona isipokuwa mtakubali kwamba yanatokea Tanzania. By the way sisi tukienda nje tunaenda kusoma kisha tunarudi nyumbani lakini nyinyi mnatafuta kubaki hamuoni haja ya kurudi kwenu kwasababu nchi yenu ni ya hovyo sana uchumi ni wa wachache. TZ tuna kila kitu hatuoni haja ya kubaki utumwani tukitumikishwa kama punda na kunyofolewa figo kwa lazima kisa umasikini wa familia zetu uliosababishwa na uongozi mbovu wa viongozi wenu.Mkenya mgani mwenye kichaa anaenda kusoma hizo nchi za kishambaa communist!!! sijui Russia,poland China!!!
Underdeveloped
Kila top cream Kenyan anakimbilia western Europe north America and Australasia
Which is the biggest tea farm in Tanzania?Mwambie Tanzanian biggest Tea farm is owned by Kenyan.



alaf huyoyo anapost na render juu🤣🤣Mi mwenyewe nimeangalia weee
Sijaona chochote.
kwann unapost na render hapo au ni macho yangu ??😂😂😂 ila mkenya 🙌🙌Mimi huwa naona Watanzania wengi humu wakijipiga vifua kwamba Tanzania inaweza kushindana na Kenya. Huwa nashindwa wamevuta bangi gani? Tangu lini Tanzania ikacheza ligi moja na Kenya. Tanzania itoe wapi apartments kama hizi?
View attachment 2167777
View attachment 2167773View attachment 2167774View attachment 2167775
Cc joto la jiwe Geza Ulole ichoboy01 The best 007 tuusan. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.
akikujibu tu nitag plz 🤣🤣🤣Which is the biggest tea farm in Tanzania?![]()
DRC hiihii ambayo mabenki yenu yamejipambanua kutengeneza faida!heri ata ingekua ethiopia.. sasa dr congo nchi tu chwarachwara.. kamavile tulivyo mpokea tu ssudan, soon utasskia pia somalia.!...... sasa eac inaenda kua chwarachwara ata zaidi.. damn.!
unaongea utumboheri ata ingekua ethiopia.. sasa dr congo ni nchi gani tena.!? lol.!.. kamavile tulivyo mpokea tu ssudan, soon utasskia pia somalia.!...... sasa eac inaenda kua chwarachwara ata zaidi.. damn.!
View attachment 2168082
nb: mwanzo drcongo iko afrika ya kati na sio mashariki pér se. iweje hasa, less jina litabadilishwa sasa frm 'eac' to 'ecac'
gud sanawasanii wa kenya wanaishi kwenye makazi gani??
Hakuna madini wanayoiba Tz, hilo suala la madini ni moja ya sababu wanamchukia Magu mpk kesho.Wakenya sasa hivi mtajua hamjui sasa Watanzania wameamka wameamua kuitetea nchi yao na rasilimali zao, hata hayo madini ya Tanzanite mnayosema mnayaiba kwetu na kuyauza muda wake utafika tu hamtayaona isipokuwa mtakubali kwamba yanatokea Tanzania. By the way sisi tukienda nje tunaenda kusoma kisha tunarudi nyumbani lakini nyinyi mnatafuta kubaki hamuoni haja ya kurudi kwenu kwasababu nchi yenu ni ya hovyo sana uchumi ni wa wachache. TZ tuna kila kitu hatuoni haja ya kubaki utumwani tukitumikishwa kama punda na kunyofolewa figo kwa lazima kisa umasikini wa familia zetu uliosababishwa na uongozi mbovu wa viongozi wenu.
Hivi unajua neno UFISADI ulianzia kwenu Kenya?? Yaani ni above level ya kula rushwa. Baada ya Nigeria nyinyi ndio mnafuata kwa wizi na rushwa. Halafu hata tabia same same. Hata huko nje mmejazana kama siafu mnakimbia maisha magumu kwenye nchi zenu. Watz wanaenda kwa ajili ya exposure tu and nothing else.
Kwnn wasikubali tu kwamba nchi yao imelaniwaKenya’s Indian Ocean oil dream fades as test drilling gives negative results
TUESDAY MARCH 29 2022
![]()
Results of the exploration released by Italian energy group Eni, show that the well proved nonviable and was to be “plugged” and “abandoned,” after it failed to hit commercial oil reserves. PHOTO | COURTESY
Summary
- Results of the exploration released by Italian energy group Eni, show that the well proved nonviable and was to be “plugged” and “abandoned,” after it failed to hit commercial oil reserves.
- While production was years off even in the event of a big oil discovery, the latest results have killed Kenya’s dreams of exploiting what is believed to be huge offshore oil and gas deposits for now.
- The Eni well is located approximately 170km from the coast, underneath the ocean seabed where Eni has been prospecting and drilling for oil.
![]()
By BRIAN NGUGI
More by this Author
Mlima-1, the well in the Lamu Basin, off Kenya’s Indian Ocean coast recently touted as the country’s first offshore oil strike, is commercially unviable.
Results of the exploration released by Italian energy group Eni, show that the well proved nonviable and was to be “plugged” and “abandoned,” after it failed to hit commercial oil reserves.
The result has dealt a blow to Kenya’s hopes of being a commercial offshore oil-producing country. While production was years off even in the event of a big oil discovery, the latest results have killed Kenya’s dreams of exploiting what is believed to be huge offshore oil and gas deposits for now.
Geological and seismic surveys show that between four billion and 4.5 billion barrels of oil could be laying deep under the waters of the Indian Ocean. Early data had indicated the existence of oil reserves, what is technically referred to as ‘‘an active petroleum system’’ in the area.
The well in the Lamu Basin had been widely tipped to offer Kenya another chance at becoming an oil producer, a decade after British exploration firm Tullow Oil made Kenya’s first oil find in Turkana County’s South Lokichar sub-basin, which is yet to be commercialised.
The Eni well is located approximately 170km from the coast, underneath the ocean seabed where Eni has been prospecting and drilling for oil. Eni’s drillship, SAIPEM 12000, has been on location within Block L11B since late December 2021.
The drilling was delayed by a number of factors including requirements to comply with Ministry of Health Covid-19 protocols.
Oil and gas explorers use seismic surveys to produce detailed images of the various rock types and the location beneath the earth’s surface and to determine the location and size of potential oil and gas reservoirs.
A positive strike at the well in the Lamu Basin would have intensified Kenya’s on it’s maritime borders amid a maritime border row with Somalia. The basin lies within the disputed territory.
Tullow has been under pressure from Kenya to develop the Turkana oil wells that it expects to produce up to 120,000 barrels per day once production starts.
Tullow and its partners in the project, Africa Oil and Total, had initially planned to reach a final investment decision in 2019 and production of the first oil between this year and next year.
In October last year, Tullow presented a revised Field Development Plan for oil in the Turkana oil fields to the government of Kenya just in time to beat the set deadline of December 2021.
Had the plan not been submitted in time, then they would have risked losing concession on their exploration block as stipulated in the production sharing contract.
The British firm expects to recover 585 million barrels of oil from the project over the full life of the field.
The commercially extractable volume for the Turkana South Lokichar basin rose to 585 million barrels from the previous estimate of 433 million barrels, according to British petroleum consulting firm Gaffney Cline Associates.
![]()
Kenya’s Indian Ocean oil dream fades as test drilling gives negative results
Geological surveys showed that between four billion and 4.5 billion barrels of oil could be laying deep under the waters.www.theeastafrican.co.ke
MY TAKE
Na zile kelele zinaishia hapa!
CC: Tony254








Asa niliwauliza Jiji lipi lina majengo mengi zaidi Marefu katiya Dar vs Nai, mpk leo mnanyamazaga kimya, jibuni hilo kwanzaMimi huwa naona Watanzania wengi humu wakijipiga vifua kwamba Tanzania inaweza kushindana na Kenya. Huwa nashindwa wamevuta bangi gani? Tangu lini Tanzania ikacheza ligi moja na Kenya. Tanzania itoe wapi apartments kama hizi?
View attachment 2167777
View attachment 2167773View attachment 2167774View attachment 2167775
Cc joto la jiwe Geza Ulole ichoboy01 The best 007 tuusan. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.

