Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What is your goal specifically?, many of us in here we don't understand you really, do you want international companies to open their offices in Tanzania like they do in Kenya, or do you want investors to invest in Tanzania?.

Tanzania is leading by far In these region as the best investment destination, Tanzania receives more FDI than almost all other east African countries, just USA alone invested $1.5B in Tanzania while it invested only $353M in Kenya, $42M in Uganda, $11M in Rwanda and S1M, remember USA is not in the list of top 5 investors in Tanzania, China, India and UK top the list.

Remember that every country has different environment for different investors, Nairobi because of its History, climate, easy for international flight connection, capitalism and strong private sector with weak government sectors, offers good environment for opening offices and shelters for westerners and rich people, on other hand Tanzania with it's Natural resources, peace and stability, strong government stewardship, Geographical position and strong foundation of political stability, offers good environment for investments, this is exactly what is happening.
Well said mkuu atakuwa ameshiba uji huko kisumu huyu mtu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mitaa ya Sumbawanga 👇

IMG_20220326_094604_010.jpg


IMG_20220326_111007_303.jpg


IMG_20220326_111008_241.jpg


IMG_20220326_111025_907.jpg


IMG_20220326_094602_579.jpg


IMG_20220326_094506_861.jpg


IMG_20220326_093850_338.jpg
 
Nikionaga Watanzania wanatetea hii mikumbav ya kikunya huwa nawaweka kundi moja la stupidi manki.


baadhi ya watanzania wengi hawapo well informed, kenya ni zaidi ya adui wa maendeleo ya watanzania, watanzania inabidi tujifunze kutokana na makosa ya kuiamini kenya. Kenya hawana ubinadamu inapokuja issue ya maendeleo ya wengine. wakunya wana wivu mnoo
 
baadhi ya watanzania wengi hawapo well informed, kenya ni zaidi ya adui wa maendeleo ya watanzania, watanzania inabidi tujifunze kutokana na makosa ya kuiamini kenya. Kenya hawana ubinadamu inapokuja issue ya maendeleo ya wengine. wakunya wana wivu mnoo

Niko sure hiyo stop EACOP ina baraka zote kutoka GOK.
 
Vile Samia anazidi kuupiga mwingi na wazee wa legacy wakizidi kununa kwa sababu waliaminishwa ukikunja ndita na kutukana ndio utakuwa kiongozi Bora 😃😃

Screenshot_20220323-110818.png


Screenshot_20220323-110750.png


Screenshot_20220323-110618.png
 
hawa watu wanaroho mbaya sana alaf utaskia wanasema sisi tunawaonea wivu[emoji1787]
Unakumbuka kipindi cha jk walipinga Tanzania wasiuze pembe za ndovu zilizo kamatwa kutoka kwa majangili . Tena walipiga kura kupinga . Hawa jamaa wana roho mbaya lakini walivyouana ile 2007 - 2008 jk alienda kuwasadia wapate maridhiano. Nyangau wana roho mbaya sana
 
Kama unataka nizungumze Kiswahili we sema tu, Kiingereza changu kimekukosea nini? Hata hivyo reply haikuwa yako!

Sijakataa kuwa value ya FDI inflows Tanzania Kwa miaka ya hivi karibuni imezidi kuipita ya Kenya. Na pia sijazungumzia hili suala katika replies zangu kwasababu ninachotaka kufahamu ni Kenya kuwa business hub ya Afrika Mashariki na Kati. FDI zinakuja Tanzania kwa Kasi zaidi recently kwasababu ya madadiliko ya uongozi, na pia global supply chain ya raw materials imepungua. Kwa hiyo the resource rich Tanzania seems like an attractive candidate. Pia major infrastructure projects are a signal to investors as we are creating a favorable business environment in the country (though we still need some policy changes),more planes, a new Standard gauge railway, a mega hydroelectric power plant etc Lakini bado hatuko kwenye mstari wa mbele kuvutia makampuni ku-establish centers zao kwenye nchi yetu. Hatuna hub ya kibiashara inayolingana na Kenya, na hapa Ndio watu wanachukia kwasababu hili hawataki kusikia.
FDI kubwa inayokuja Tz ni ku invest kwenye
1.Madini
2. Gas
3.Viwanda/Industrial parks
4.Tourism maybe ndo inakuja nne na hii siyo kubwa sana
5.Agriculture

kutokana na hayo ..Madini , Gas na Viwanda huwa office ziko huko mining centres na viwandani...

Tourism ndo utaona hotels

Ila FDI ya Kenya i can call it sophisticated FDI ..

wao wana invest kwenye ambazo ni high skilled sectors
1.Finanicial
2. Technology
3.ICT
4 .Agriculture
5.Assembly plants

kutokana na hayo utaona kuwa office space ni kubwa sana na demand za appartments na data centres inakuwa kubwa hapo utaona company zina weka office sasa...ilie ku serve most of EA countries ..

Ila cha maana kwenye Fdi ni kuangalia Ajira ngap zitazalishwa na je zitahusisha watu wenye kipato cha hali gani...we it alleviate poverty ..
 
Back
Top Bottom