Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20220327-211501_1.jpg

 
Kama unataka nizungumze Kiswahili we sema tu, Kiingereza changu kimekukosea nini? Hata hivyo reply haikuwa yako!

Sijakataa kuwa value ya FDI inflows Tanzania Kwa miaka ya hivi karibuni imezidi kuipita ya Kenya. Na pia sijazungumzia hili suala katika replies zangu kwasababu ninachotaka kufahamu ni Kenya kuwa business hub ya Afrika Mashariki na Kati. FDI zinakuja Tanzania kwa Kasi zaidi recently kwasababu ya madadiliko ya uongozi, na pia global supply chain ya raw materials imepungua. Kwa hiyo the resource rich Tanzania seems like an attractive candidate. Pia major infrastructure projects are a signal to investors as we are creating a favorable business environment in the country (though we still need some policy changes),more planes, a new Standard gauge railway, a mega hydroelectric power plant etc Lakini bado hatuko kwenye mstari wa mbele kuvutia makampuni ku-establish centers zao kwenye nchi yetu. Hatuna hub ya kibiashara inayolingana na Kenya, na hapa Ndio watu wanachukia kwasababu hili hawataki kusikia.

Hatupo kwenye mstari wa mbele kivipi mzee ebu jaribu kuback point yako na facts na kumbuka miradi ya kimkakati iliyoanzishwa awamu ya tano hajakamilika ila tumefanikiwa kuvutia uwekezaji mkubwa kuwashinda kutoka njee ofcoz wakenya walikua wameetuacha mbali miaka ya nyuma ila gia imebadlika tangu awamu ya tano pamoja na sera kali za jpm
 
Sisi tunafanya real investments kwenye sector zinazochangia uchumi kwa kiasi kikubwa hatuhangaiki na proxy offices za capitalists.
Ebu mueleweshe huyo jamaa yani Microsoft kufungua ofisi nairobi ameona ndio jambo la muhimu sana au sijui who kuwa na ofisi yao nairobi anaona ni jambo la muhimu sana kuliko wachina kuja kujenga viwanda
 
Ndio nyie nyie mnaosema mama anaupiga mwingi maana ziara zake zinaleta pesa...Wala sikuwahi kuona sababu yoyote ya msingi JPM kutokusafiri unless kama ni health issue zake.Kama tu matajiri wanasafiri kutafuta fursa ndio itakua masikini
We jamaa mm nakuonaga mkenya kwa pointi zako za hovyo, watumishi wa serikali walikua wanasafiri hovyo kwa sababu za kijinga hii yote ni kutafuta kulipwa posho hela nyingi zilikua zinapotea kwa njia hii na huu mchezo umerudi kwenye awamu hii tunapoteza hela nyingi kwenye safari za watumishi wa serikali zisizokua na tija
 
We jamaa mm nakuonaga mkenya kwa pointi zako za hovyo, watumishi wa serikali walikua wanasafiri hovyo kwa sababu za kijinga hii yote ni kutafuta kulipwa posho hela nyingi zilikua zinapotea kwa njia hii na huu mchezo umerudi kwenye awamu hii tunapoteza hela nyingi kwenye safari za watumishi wa serikali zisizokua na tija
Izo point zako unazoziona ndio za muhimu ziko wapi?mimi sijazungumzia watumishi nmezungumzia Raisi kama taasisi,na wala siko hapa kutaka unielewe,nausilazimishe niwe mkenya
 
Ni Mali ya serikali .
Hivi unafahamu ikulu inadaiwa bill ya umeme na TANESCO ?. Kwa nini ikulu inunue umeme kutoka kwenye shirika lake ?, si wapewe tu umeme wa bure ?.
Nenda pale ATCL umeme wanaotumia si ni wa Tanesco inamaana wananunua, kwa nn wasipewe wa bure?.
Kaka wacha kujichanganya, ukifungua biashara yako yoyote Ile, kwa mfano mgahawa wa chakula ukaamua kukabidhi watu wauendeshe na kuusimamia, wewe mwenyewe unakaa pembeni, ukienda kula chakula utahudumiwa Kama mteja wa kawaida, lazima ulipe, huwezi kula Bure.

Serikali imekabidhi biashara zote kwa boards za wadhamini ili waendeshe hizo biashara, Tanesco, ATCL, TTCL na mengine mengi, serikali lazima ilipie hizo huduma, na hizo boards lazima zifikie malengo walitopewa na serikali
1)Kutoa huduma Bora na zenye gharama nafuu
2)Kutotegemea ruzuku toka serikalini
3)Kutengeneza faida
4)Kugawa gawio serikalini
 
Serikali inafaa ifanye kazi usiku na mchana na sio favor ama hisani,Late JPM alijitahidi kuwakumbusha watz serikali inatakiwa iwatumikie sio vinginevyo...tatizo sasa wanataka kuabudiwa as if wako hapo bure...wakati wanakula pesa na posho kibao
Huyo unaemtaja ndio alianzisha tabia ya kujisifu,kutaka kuabudiwa na kukandia watangulizi kwa hiyo acha na mama wamsifu 😃😃
 
As Tanzanian economy grows and become modernised with strong economic output the multinationals will have no choice apart from relocation. At the moment we are busy setting the ground for a modern, strong and resilient economy thtough investment in the prime sectors and trust me proxy offices are not on our menu.
Well, saying that proxy offices are not on your menu is not your decision to make. Policy makers need to make that decision. For how long do you expect to create an economy resilient enough to attract foreign establishments? More specifically, what do you bring to the table to make firms relocate to your side? Firms don’t simply relocate because your economy is doing better than your neighbors’. Your assumptions are invalid and childish.
 
Kaka wacha kujichanganya, ukifungua biashara yako yoyote Ile, kwa mfano mgahawa wa chakula ukaamua kukabidhi watu wauendeshe na kuusimamia, wewe mwenyewe unakaa pembeni, ukienda kula chakula utahudumiwa Kama mteja wa kawaida, lazima ulipe, huwezi kula Bure.

Serikali imekabidhi biashara zote kwa boards za wadhamini ili waendeshe hizo biashara, Tanesco, ATCL, TTCL na mengine mengi, serikali lazima ilipie hizo huduma, na hizo boards lazima zifikie malengo walitopewa na serikali
1)Kutoa huduma Bora na zenye gharama nafuu
2)Kutotegemea ruzuku toka serikalini
3)Kutengeneza faida
4)Kugawa gawio serikalini
serikali haiendeshwi hivyo mkuu . sasa ingekua kama unavyosema .mashirika yangekuwaje yanakufa ?
TANESCO na ATCL hao ni watu wawili tofauti ukitaka kuamini wachukue wafanyakazi wao wenye ngazi moja ya elimu then linganisha mishahara yao.
 
Back
Top Bottom