Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FDI kubwa inayokuja Tz ni ku invest kwenye
1.Madini
2. Gas
3.Viwanda/Industrial parks
4.Tourism maybe ndo inakuja nne na hii siyo kubwa sana
5.Agriculture

kutokana na hayo ..Madini , Gas na Viwanda huwa office ziko huko mining centres na viwandani...

Tourism ndo utaona hotels

Ila FDI ya Kenya i can call it sophisticated FDI ..

wao wana invest kwenye ambazo ni high skilled sectors
1.Finanicial
2. Technology
3.ICT
4 .Agriculture
5.Assembly plants

kutokana na hayo utaona kuwa office space ni kubwa sana na demand za appartments na data centres inakuwa kubwa hapo utaona company zina weka office sasa...ilie ku serve most of EA countries ..

Ila cha maana kwenye Fdi ni kuangalia Ajira ngap zitazalishwa na je zitahusisha watu wenye kipato cha hali gani...we it alleviate poverty ..
hata kwenye ICT hatupo nyuma hivyo the thing ni policies za mwendazake hazikuwa nzuri kwenye ku-attract hi tech investments! Kama suala la data centers Tanzania inapaswa kuwa mbele kwenye hili ukizingatia the ICT infrastructure iliyopo hamna nchi ina km nyingi za Mkongo EA kama Tanzania! Hata Data centers tunazo kama kumi hivi ukijumlisha na hii ya juzi ya RAXIO! special efforts hapa kwenye ku-attract vitu kama startups na clients wanaohitaji utunzaji wa data zinahitajika maana infrastructure yetu NICTBB inaendelea kuwa redundant!
 
hata kwenye ICT hatupo nyuma hivyo the thing ni policies za mwendazake hazikuwa nzuri kwenye ku-attract hi tech investments! Kama suala la data centers Tanzania inapaswa kuwa mbele kwenye hili ukizingatia the ICT infrastructure iliyopo hamna nchi ina km nyingi za Mkongo EA kama Tanzania! Hata Data centers tunazo kama saba hivi ukijumlisha na hii ya juzi ya RAXIO! special efforts hapa kwenye ku-attract vitu kama startups na clients wanaohitaji utunzaji wa data zinahitajika maana infrastructure yetu NICTBB inaendelea kuwa redundant!
umezunguka weee ad mwendazake kaingia.....haya em tueleze alzuia vipi uwekezaji kwe ict?
 
Kwa namna unavyochukia awamu iliyopita nilijua labda na miradi iliyoanza awamu iliyopita utachukia pia!

Sidhani kama upo sawa upstairs.



Unajiumbua,hiyo gharama ya awali tulipogwa na awamu ya 5 sasa tumekuja na bei halisi 😃😃.

Pili baada ya wazalendo kupiga pesa mradi ukawa unasua sua.Sasa hivi tunakomesha huu ujinga ambao ulienea Sana awamu ya 5 kwa sababu hakuna mtu alithubutu kuhoji wala kuripoti madudu ya wateule wa Mwendazake.
 
Ulishawahi kusikia Kuna mtanzania yeyote mwenyekujihusisha na maamuzi ya serikali ya Kenya kuhusu Mambo Yao ya ndani?, Hawa jamaa wivu na kuiogopa Tanzania ndio vinavyowaumiza
Kawaida ya ajenda yenu kutembeza propaganda eti Kenya inawachukia. Yani maandamano ya wanafunzi wengi kutoka nchi nyingi ila media zenu zinasambaza ujumbe eti Mkenya. They had to mention the Kenyan student............................heeeheee. Acheni kutuogopa bradhee.
 
Tanzania economy grows by average of 7% while Kenya at 5%, Tanzania leads Kenya in many sectors, mining, tourism, construction, Agriculture, FDI, gas, blue economy, and other areas of economy
just can't answer you at the moment, let me pass it over to Tony254 to act upon the same. he is a fully flagged economist holding B.Com(Econ)(Hon(UoN). he is well vast with matters economics, therefore fit enough to handle such a case. chao..
 
hata kwenye ICT hatupo nyuma hivyo the thing ni policies za mwendazake hazikuwa nzuri kwenye ku-attract hi tech investments! Kama suala la data centers Tanzania inapaswa kuwa mbele kwenye hili ukizingatia the ICT infrastructure iliyopo hamna nchi ina km nyingi za Mkongo EA kama Tanzania! Hata Data centers tunazo kama kumi hivi ukijumlisha na hii ya juzi ya RAXIO! special efforts hapa kwenye ku-attract vitu kama startups na clients wanaohitaji utunzaji wa data zinahitajika maana infrastructure yetu NICTBB inaendelea kuwa redundant!
Yeah over last 5 years we had low imvestement kwenye high tech , fintech ,ICT ,na hata medical research
 
Unajiumbua,hiyo gharama ya awali tulipogwa na awamu ya 5 sasa tumekuja na bei halisi .

Pili baada ya wazalendo kupiga pesa mradi ukawa unasua sua.Sasa hivi tunakomesha huu ujinga ambao ulienea Sana awamu ya 5 kwa sababu hakuna mtu alithubutu kuhoji wala kuripoti madudu ya wateule wa Mwendazake.
Kichwa nazi
 
Kichwa nazi
🤣🤣🤣 Roho inakuuma hadi sio poa.

Yaani Kwa Samia ni pongezi tuu kila Kona,pesa ipo na miradi inatembea.

Mama anazidi kufukia legacy,Nuna tena mkuu👇

Screenshot_20220328-121228.png


Screenshot_20220328-121136.png


Screenshot_20220328-121041.png


Screenshot_20220328-120335.png


Screenshot_20220328-120748.png


Screenshot_20220328-114403.png


Screenshot_20220328-112930.png
 
Huyo jamaa alikuwa anamkubali JPM ila walikosana sehemu moja kwamba yeye huyo mzee wa kususa aliblem kwann madokta tuwasomesha alafu tunawapangia pa kwenda, yani mzee wa kususa alitaka tuwasomeshe watu alafu wakimbie nchi waende kunufaisha nchi zingine.
Sasa Kuna mtumishi wa serikali ambaye hapangiwi pakufanyia kazi jamani
 
pia usisahau magaful alikua moto ya kuotea mbali. ata tundulisu kahamia exile majuu kwasababu ya kuhofia mambo kama haya.. hehe. hivi tanganyika si afadhali
Watu wanaendelea kuuliwa huko kwenu na serikali haichukui hatua zote kuokoa maisha ya watu wake" Failed state"
 
Back
Top Bottom