Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu tunakumbushana tu though wote ni wabongo. Ni hivi ATCL haujanunua na wala haimiliki ndege. Kilichofanyika ni Magufuli kununua ndege na KUWAKODISHA ATCL.
Huo ndo ukweli .
serekali na ATCL ni sawa na kusema unatoa hela mfuko huu wa kulia unaweka mfuko mwengine wa kushoto lakini suruali ni moja😂😂😂😂

au labda nikuulize ATCL inamilikiwa na nani???
 
Hili bomba lingeenda kenya, sisi wabongo hata tusingekuwa na huu wivu wakenya walionao.. sisi huwa hatuko busy na vitu vya nje..wanaharakati wengi wa kibongo huwa wanapigia makelele mambo ya ndan ya nchi..vya nje huwa hawana mda nao..
Wanafki tuu hao mm nishawazoea
 
Ile siku Kunyaland itapata kadaraja kama haka hatutalala humu ndani


FO2nPQFVcAU-YkW

Duu aisee hawa wasenegali wapo vizuri miradi yao si ya kitoto
 
serekali na ATCL ni sawa na kusema unatoa hela mfuko huu wa kulia unaweka mfuko mwengine wa kushoto lakini suruali ni moja😂😂😂😂

au labda nikuulize ATCL inamilikiwa na nani???
ATCL ni shirika La serikali sikatai. Hebu nipe maana ya KUKODISHA .
Unafahamu kuwa TANESCO inadai bill ya umeme kwa mashirika na taasisi nyingi za serikali ikiwemo na Ikulu?. Sasa kwa hoja yako kwa nini Tanesco asiyape umeme wa bure kwa sababu yote ni serikali.
 
Kwani ATCL ni Mali ya nani?
Ni Mali ya serikali .
Hivi unafahamu ikulu inadaiwa bill ya umeme na TANESCO ?. Kwa nini ikulu inunue umeme kutoka kwenye shirika lake ?, si wapewe tu umeme wa bure ?.
Nenda pale ATCL umeme wanaotumia si ni wa Tanesco inamaana wananunua, kwa nn wasipewe wa bure?.
 
Ulishawahi kusikia Kuna mtanzania yeyote mwenyekujihusisha na maamuzi ya serikali ya Kenya kuhusu Mambo Yao ya ndani?, Hawa jamaa wivu na kuiogopa Tanzania ndio vinavyowaumiza
Hawa ndo Wakenya nikupoteza nguvu zao bure tu!!!Raisi wao alienda kulialia kipindi kile kwa Macron akarudi na ahadi ya barabara tu,sasa sijui wanataka msaada wa serikali ipi kuishindikiza Total kusitisha mradi wa EACOP.
 
Back
Top Bottom