Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatupo kwenye mstari wa mbele kivipi mzee ebu jaribu kuback point yako na facts na kumbuka miradi ya kimkakati iliyoanzishwa awamu ya tano hajakamilika ila tumefanikiwa kuvutia uwekezaji mkubwa kuwashinda kutoka njee ofcoz wakenya walikua wameetuacha mbali miaka ya nyuma ila gia imebadlika tangu awamu ya tano pamoja na sera kali za jpm
Serikali ya JPM Ndio iliyofanya Tanzania kuwa outcast kwenye international stage na unasema kuwa tuko mstari wa mbele? Samia anafanya safari za nje kuboresha mahusiano yetu na dunia Kwa ujumla na hapa ninamsifu.

Ume-admit kuwa wakenya walikuwa wametuacha mbali miaka ya nyuma na hapa Ndio Siri ya mafanikio itapatikana. Kenya ni Sawa na kusema tayari wana advantage ya kuvutia foreign firms Maana Nairobi tayari ina offices nyingi za makampuni ya kimataifa.

Hizi kampuni zinaleta manufaa Mengi tu Kenya na sio tu in terms of corporate taxes Bali pia Kwa kutoa huduma ambazo huwezi kuzipata mahali pengine Afrika Mashariki na Kati.
90783F22-8571-44D6-A45B-9BC940A32F97.jpeg
B1570910-62B0-4CE6-BFC9-ADBCD3FE79F9.jpeg
5B33CAE7-F369-4CE3-8C3B-81119D2CDE69.jpeg
5DEEDEDE-8439-467C-84E7-F12FA4EE17F0.jpeg
4291DAB3-70BC-4B42-916B-51E9EF03E60F.jpeg
05276846-126F-4BC7-BB4E-C4412FB3570E.jpeg
56AC3C1E-F29A-4598-9927-94DD594B365B.jpeg
4F5A2F5E-D41A-43A0-A0C4-E7DDDCF7DB77.jpeg
 
Serikali ya JPM Ndio iliyofanya Tanzania kuwa outcast kwenye international stage na unasema kuwa tuko mstari wa mbele? Samia anafanya safari za nje kuboresha mahusiano yetu na dunia Kwa ujumla na hapa ninamsifu.

Ume-admit kuwa wakenya walikuwa wametuacha mbali miaka ya nyuma na hapa Ndio Siri ya mafanikio itapatikana. Kenya ni Sawa na kusema tayari wana advantage ya kuvutia foreign firms Maana Nairobi tayari ina offices nyingi za makampuni ya kimataifa.

Hizi kampuni zinaleta manufaa Mengi tu Kenya na sio tu in terms of corporate taxes Bali pia Kwa kutoa huduma ambazo huwezi kuzipata mahali pengine Afrika Mashariki na Kati.
View attachment 2166435View attachment 2166436View attachment 2166437View attachment 2166438View attachment 2166439View attachment 2166440View attachment 2166441View attachment 2166442
Ila kuwa na international companies haimaanishi prospects take example London ina all major global Banks, ila Germany is the largest economy in the whole of Europe followed by France! Hizo kampuni zote hazifiki kiasi mafuta ya EACOP yataleta Tanzania per day!
 
As Tanzanian economy grows and become modernised with strong economic output the multinationals will have no choice apart from relocation. At the moment we are busy setting the ground for a modern, strong and resilient economy thtough investment in the prime sectors and trust me proxy offices are not on our menu.
as much as you tzs think u are upping your game, we too kenya also upping our game even further. i'd say we are both shifting notches higher at the same pace if not higher for kenya. in economic term its directly proposional, hence parallel
 
Serikali ya JPM Ndio iliyofanya Tanzania kuwa outcast kwenye international stage na unasema kuwa tuko mstari wa mbele? Samia anafanya safari za nje kuboresha mahusiano yetu na dunia Kwa ujumla na hapa ninamsifu.

Ume-admit kuwa wakenya walikuwa wametuacha mbali miaka ya nyuma na hapa Ndio Siri ya mafanikio itapatikana. Kenya ni Sawa na kusema tayari wana advantage ya kuvutia foreign firms Maana Nairobi tayari ina offices nyingi za makampuni ya kimataifa.

Hizi kampuni zinaleta manufaa Mengi tu Kenya na sio tu in terms of corporate taxes Bali pia Kwa kutoa huduma ambazo huwezi kuzipata mahali pengine Afrika Mashariki na Kati.
View attachment 2166435View attachment 2166436View attachment 2166437View attachment 2166438View attachment 2166439View attachment 2166440View attachment 2166441View attachment 2166442

Ninavyosema kipindi cha nyuma namanisha kipindi cha kikwete na Mkapa na makampuni mengi na mshirika uliyoyataja wana ofisi tu huko uwekezaji walioufanya ni mdogo sana ukilinganisha na sisi kwenye kipindi cha miaka mitatu iliyopita na kuhusu mahusiano yaliyoharbiwa na jpm ni yapi hayo ebu tupe mfano
 
Huyo jamaa alikuwa anamkubali JPM ila walikosana sehemu moja kwamba yeye huyo mzee wa kususa aliblem kwann madokta tuwasomesha alafu tunawapangia pa kwenda, yani mzee wa kususa alitaka tuwasomeshe watu alafu wakimbie nchi waende kunufaisha nchi zingine.
 
Ila kuwa na international companies haimaanishi prospects take example London ina all major global Banks, ila Germany is the largest economy in the whole of Europe followed by France! Hizo kampuni zote hazifiki kiasi mafuta ya EACOP yataleta Tanzania per day!
Tony254 hebu njoo uone hii.. mambo na kujiconsole, aky waTz nimewaachieni 😪😪.. zidini tu kujiombea subra na buriani.. na mie hapa ntazidi kuwapa zangu pole, tena za dhati..
 
Well, saying that proxy offices are not on your menu is not your decision to make. Policy makers need to make that decision. For how long do you expect to create an economy resilient enough to attract foreign establishments? More specifically, what do you bring to the table to make firms relocate to your side? Firms don’t simply relocate because your economy is doing better than your neighbors’. Your assumptions are invalid and childish.
What is your goal specifically?, many of us in here we don't understand you really, do you want international companies to open their offices in Tanzania like they do in Kenya, or do you want investors to invest in Tanzania?.

Tanzania is leading by far In this region as the best investment destination, Tanzania receives more FDI than almost all other east African countries, just USA alone invested $1.5B in Tanzania while it invested only $353M in Kenya, $42M in Uganda, $11M in Rwanda and S1M, remember USA is not in the list of top 5 investors in Tanzania, China, India and UK top the list.

Remember that every country has different environment for different investors, Nairobi because of its History, climate, easy for international flight connections, capitalism and strong private sector with weak government sectors, offers good environment for opening offices and shelters for westerners and rich people, on other hand Tanzania with it's Natural resources, peace and stability, strong government stewardship, Geographical position and strong foundation of political stability, offers good environment for investments, this is exactly what is happening.
 
serikali haiendeshwi hivyo mkuu . sasa ingekua kama unavyosema .mashirika yangekuwaje yanakufa ?
TANESCO na ATCL hao ni watu wawili tofauti ukitaka kuamini wachukue wafanyakazi wao wenye ngazi moja ya elimu then linganisha mishahara yao.
Mkuu, mbona hata biashara binafsi zinakufa?. Mashirika mengi ya serikali popote duniani, hasa katika nchi masikini hayafanyi vizuri kutokana na usimamizi wa hovyo, rushwa, Nepotism, uwezo mdogo wa wafanyakazi na mtaji mdogo, ukiritimba wa serikali na mashirika kuingiliwa na wanasiasa.

Kaka, haya mashirika ya umma ni ngumu Sana kuyaendesha, kwasasa wao lengo kubwa ni kutoa huduma sio kupata faida, wakati huo huo wanalazimika kujiendesha wenyewe bila kuomba ruzuku serikalini, huo ni mtihani mkubwa Sana.

Ngoja nikupe mfano wa mabus ya BRT na daladala hapo Dar, Sheria na taratibu zinawataka kila baada ya dakika 10 lazima bus la BRT lazima lipite kituoni hata kama hakuna abiria, hasa saa za mchana, wakati dalala hawezi kuondoka kituoni hadi ajaze abiria, daladala anaweza kuamua kufunga biashara wakati na siku yoyote akigundua hakuna abiria, BRT lazima waendelee hata kama hakuna abiria.
 
Serikali ya JPM Ndio iliyofanya Tanzania kuwa outcast kwenye international stage na unasema kuwa tuko mstari wa mbele? Samia anafanya safari za nje kuboresha mahusiano yetu na dunia Kwa ujumla na hapa ninamsifu.

Ume-admit kuwa wakenya walikuwa wametuacha mbali miaka ya nyuma na hapa Ndio Siri ya mafanikio itapatikana. Kenya ni Sawa na kusema tayari wana advantage ya kuvutia foreign firms Maana Nairobi tayari ina offices nyingi za makampuni ya kimataifa.

Hizi kampuni zinaleta manufaa Mengi tu Kenya na sio tu in terms of corporate taxes Bali pia Kwa kutoa huduma ambazo huwezi kuzipata mahali pengine Afrika Mashariki na Kati.
View attachment 2166435View attachment 2166436View attachment 2166437View attachment 2166438View attachment 2166439View attachment 2166440View attachment 2166441View attachment 2166442
iila ee jamaa bana....so kwa pamoja ayo ma ofisi yanachangia kiasi gani kwe uchumi wa kenya?
yanaeza kufikia revenue za kariakoo?
 
as much as you tzs think u are upping your game, we too kenya also upping our game even further. i'd say we are both shifting notches higher at the same pace if not higher for kenya. in economic term its directly proposional, hence parallel
Tanzania economy grows by average of 7% while Kenya at 5%, Tanzania leads Kenya in many sectors, mining, tourism, construction, Agriculture, FDI, gas, blue economy, and other areas of economy
 
Tony254 hebu njoo uone hii.. mambo na kujiconsole, aky waTz nimewaachieni [emoji25][emoji25].. zidini tu kujipa subra na buriani.. na mie hapa ntazidi kuwapa zangu pole, tena za dhati..
Hawezi kuja kwasababu anajua ukweli kwamba Tanzania inapokea FDI kubwa na nyingi kuliko Kenya, tukianza na investors wa Kenya, wameweka zaidi Tanzania kuliko nchi yoyote hapa duniani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, mbona hata biashara binafsi zinakufa?. Mashirika mengi ya serikali popote duniani, hasa katika nchi masikini hayafanyi vizuri kutokana na usimamizi wa hovyo, rushwa, Nepotism, uwezo mdogo wa wafanyakazi na mtaji mdogo, ukiritimba wa serikali na mashirika kuingiliwa na wanasiasa.

Kaka, haya mashirika ya umma ni ngumu Sana kuyaendesha, kwasasa wao lengo kubwa ni kutoa huduma sio kupata faida, wakati huo huo wanalazimika kujiendesha wenyewe bila kuomba ruzuku serikalini, huo ni mtihani mkubwa Sana.

Ngoja nikupe mfano wa mabus ya BRT na daladala hapo Dar, Sheria na taratibu zinawataka kila baada ya dakika 10 lazima bus la BRT lazima lipite kituoni hata kama hakuna abiria, hasa saa za mchana, wakati dalala hawezi kuondoka kituoni hadi ajaze abiria, daladala anaweza kuamua kufunga biashara wakati na siku yoyote akigundua hakuna abiria, BRT lazima waendelee hata kama hakuna abiria.
Nimeshakwambia serikali haiendeshwi kama biashara ya mgahawa . uwe mwelewa
 
Well, saying that proxy offices are not on your menu is not your decision to make. Policy makers need to make that decision. For how long do you expect to create an economy resilient enough to attract foreign establishments? More specifically, what do you bring to the table to make firms relocate to your side? Firms don’t simply relocate because your economy is doing better than your neighbors’. Your assumptions are invalid and childish.
If the economy is prosperous definitely alot of incentives will be on the line as means of attracting investors. Sasa sijui wewe unataka tufanye jitihada gani ya ku attract investors apart from building our economy. Hakuna shortcuts mzee kama za Kenya you need to work hard to have a modern, resilient and integrated economy that will provide a niche/and or paradise for imperial capitalist that you crave for. You need to think outside the box away from your comfort zone. A childish idea is to have imperialistic regional offices while manufacturing are located elsewhere.
 
as much as you tzs think u are upping your game, we too kenya also upping our game even further. i'd say we are both shifting notches higher at the same pace if not higher for kenya. in economic term its directly proposional, hence parallel
Kenyans efforts on this sits on a very precarious economic base. I would say our approches are different you like to build from top down while we build from the ground going up.
 
Back
Top Bottom