Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another day, another multinational sets shop in Kenya

Daikin Industries, the world’s largest maker of air conditioning equipment, has launched its operations in Kenya as part of its global strategy to increase its footprint across the emerging markets, globally.

imebidi nicheke tu
20220327_192659.jpg

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Wacha mchezo bwana. Hakuna lami hapo ni mchanga tupu. Kenya huwezi kuona upuzi kama huu kwenye middle-class estates. Ni lami kila mahali. Yaani nyie huwa hamtaki kukubali kwamba mpo nyuma ya Kenya. Hata wakati wewe huna aibu kutupostia middle class neighbourhood ambayo haina lami. Huku Kenya lower middle class estates kama Umoja na Donholm zina lami. Upper middle class neighbourhoods kama Buruburu zina lami. Vitu gani unapost hapa? Mchanga wa matope kukinyesha unatembea kwa matope? Huku Kenya hata baadhi ya slums zimeanzwa kuwekwa lami. Wacheni mchezo bwana. Yaani sio Nairobi tu, hata Nakuru ambayo ni 4th biggest city kuna lami hadi kwenye estates. Msilazimishe tufanane.
bado ujenzi unaendelea mzee unatokwa na povu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mzee kingereza kingi cha nini njoo na facts sio maneno for the last 2 or 3 years tumewazidi wakenya kwenye gharama ya uwekezaji kutoka njee ,ww icho ki structure cha Microsoft cha 27 million $ kimekupagawishaa sana na ww uache kuwa biased juzi tu hapa wa misri wamesaini mkataba na serikali kuwekeza viwanda vyenye thamani ya dola bilioni 3 na jana tu au sijui ijumaa tumesaini mkataba na makampuni ya China kujenga viwanda zaidi ya 200 vyenye thamani ya bilioni 3 dola sasa wewe sijui unataka nn zaidi ya hapo
Kama unataka nizungumze Kiswahili we sema tu, Kiingereza changu kimekukosea nini? Hata hivyo reply haikuwa yako!

Sijakataa kuwa value ya FDI inflows Tanzania Kwa miaka ya hivi karibuni imezidi kuipita ya Kenya. Na pia sijazungumzia hili suala katika replies zangu kwasababu ninachotaka kufahamu ni Kenya kuwa business hub ya Afrika Mashariki na Kati. FDI zinakuja Tanzania kwa Kasi zaidi recently kwasababu ya madadiliko ya uongozi, na pia global supply chain ya raw materials imepungua. Kwa hiyo the resource rich Tanzania seems like an attractive candidate. Pia major infrastructure projects are a signal to investors as we are creating a favorable business environment in the country (though we still need some policy changes),more planes, a new Standard gauge railway, a mega hydroelectric power plant etc Lakini bado hatuko kwenye mstari wa mbele kuvutia makampuni ku-establish centers zao kwenye nchi yetu. Hatuna hub ya kibiashara inayolingana na Kenya, na hapa Ndio watu wanachukia kwasababu hili hawataki kusikia.
 
Kenya na mathematics ndio mpo vizuri au? Ninyi mnaojengewa kilometers 400 za SGR kwa dollars billions 4 na sisi tunaounganisha Tanzania, Rwanda, Burundi and DRC kwa electric SGR kwa dollars billion 3 nani mburura wa mathematics?
Kweli hesabu ni shida Tanzania [emoji1787][emoji1787]. Kama phase I and II alone ndio ishapita hiyo $3B, sasa ya kuenda Burundi mlikuwa mnajenga Bure?[emoji23][emoji23][emoji1787].
 
Kaombwa au kajitolea kwa hiari? Sababu kama serikali inayotumia billion 7 kurikodi filamu inashindwa kupeleka wanafunzi nje kusoma ni fedheha bila Soni! [emoji57]
Misplaced priorities,pia wanaweza tenga alot of billions kufanya mambo ya hovyo usisahau
 
ATCL ni shirika La serikali sikatai. Hebu nipe maana ya KUKODISHA .
Unafahamu kuwa TANESCO inadai bill ya umeme kwa mashirika na taasisi nyingi za serikali ikiwemo na Ikulu?. Sasa kwa hoja yako kwa nini Tanesco asiyape umeme wa bure kwa sababu yote ni serikali.
hvi owner akiwa serekali alaf akasema anajikodishia ili ufanisi wa kazi na mapato yazingatiwe wapi unakwama bro?🤣🤣
 
Mzee kingereza kingi cha nini njoo na facts sio maneno for the last 2 or 3 years tumewazidi wakenya kwenye gharama ya uwekezaji kutoka njee ,ww icho ki structure cha Microsoft cha 27 million $ kimekupagawishaa sana na ww uache kuwa biased juzi tu hapa wa misri wamesaini mkataba na serikali kuwekeza viwanda vyenye thamani ya dola bilioni 3 na jana tu au sijui ijumaa tumesaini mkataba na makampuni ya China kujenga viwanda zaidi ya 200 vyenye thamani ya bilioni 3 dola sasa wewe sijui unataka nn zaidi ya hapo
Sisi tunafanya real investments kwenye sector zinazochangia uchumi kwa kiasi kikubwa hatuhangaiki na proxy offices za capitalists.
 
JPM refused to die

Over a year now people refuse quit discussing the legend

Ndio nyie nyie mnaosema mama anaupiga mwingi maana ziara zake zinaleta pesa...Wala sikuwahi kuona sababu yoyote ya msingi JPM kutokusafiri unless kama ni health issue zake.Kama tu matajiri wanasafiri kutafuta fursa ndio itakua masikini
 
hvi owner akiwa serekali alaf akasema anajikodishia ili ufanisi wa kazi na mapato yazingatiwe wapi unakwama bro?🤣🤣
serikali haiendeshwi kihivyo wewe. Wakati Magufuli akiwa rais kuna wilaya ilikopa pesa CRDB wakafanyia shughuli za maendeleo bahati mbaya wakashindwa kulipa deni .Magufuli akafanya ziara wilaya hiyo . mkuu wa wilaya na mkurugenzi wakamwomba Serikali kuu iwasaidie kulipa deni Magufuli akakataa kulipa deni . akasema walilipe halmashauri wenyewe . nafikiri umenielewa hapo.
 
Kama unataka nizungumze Kiswahili we sema tu, Kiingereza changu kimekukosea nini? Hata hivyo reply haikuwa yako!

Sijakataa kuwa value ya FDI inflows Tanzania Kwa miaka ya hivi karibuni imezidi kuipita ya Kenya. Na pia sijazungumzia hili suala katika replies zangu kwasababu ninachotaka kufahamu ni Kenya kuwa business hub ya Afrika Mashariki na Kati. FDI zinakuja Tanzania kwa Kasi zaidi recently kwasababu ya madadiliko ya uongozi, na pia global supply chain ya raw materials imepungua. Kwa hiyo the resource rich Tanzania seems like an attractive candidate. Pia major infrastructure projects are a signal to investors as we are creating a favorable business environment in the country (though we still need some policy changes),more planes, a new Standard gauge railway, a mega hydroelectric power plant etc Lakini bado hatuko kwenye mstari wa mbele kuvutia makampuni ku-establish centers zao kwenye nchi yetu. Hatuna hub ya kibiashara inayolingana na Kenya, na hapa Ndio watu wanachukia kwasababu hili hawataki kusikia.
As Tanzanian economy grows and become modernised with strong economic output the multinationals will have no choice apart from relocation. At the moment we are busy setting the ground for a modern, strong and resilient economy thtough investment in the prime sectors and trust me proxy offices are not on our menu.
 
Back
Top Bottom