Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nafahamu kwamba GDP inakua na by 2025 labda ndio itafikia around $70 bln.Kati ya hiyo yote around 60% itakuwa concentrated around Dar.

So far sijaona sehemu yeyote ya Tzn ambayo inapata investment kubwa kukaribiana na Dar/Pwani japo kwa mbali.

Kuhusu barabara licha ya kuwa na maintanance cost kwa kipindi ulichotaji lakini ukweli ni kwamba barabara za lami zikiwa nyingi hata hiyo maintenance cost itapungua kwa sababu loading repeations itakuwa ndogo.Kwa sasa uharibifu ni mkubwa na maintenance cost kubwa kwa sababu barabara ni chache.

Kwamba reli ita stimulate industrial parks ni kweli but kwa pace ipi? Maana tuna reli hadi sasa ,je zime stimulate hizo industrial parks kama ilivyoyarajiwa? Kama hapana je ni kwa sababu reli sio za umeme?

Sipingani moja kwa moja na reli bali napingana na timing yake na kwamba kipi kingepewa msukumo mkubwa Kati ya reli na barabara.

Hoja yangu inabakia pale pale kwa kuwa tayari reli inajengwa serikali ipeleke nguvu nyingi kwenye barabara tena za lami tuifungue Nchi Ili sasa reli ikiwa tayari tupate mzigo wa kusafirisha kwa sababu barabara zinachochea uzalishaji wa haraka zaidi kuliko reli.

Siridhishwi kabisa na hii Kasi ndogo ya kujenga barabara kwa wastani wa km 500-600 kwa mwaka,at least tuwe na km 1200-1600 kwa mwaka.

Tuwe na priority za maendeleo badala ya kwenda kiujumla jumla kulambisha lambisha kila sehemu.
Yeah its okay .lazima project zote ziende kwa speed moja
 
2195819B-C406-431D-A56F-D71A12FF950B.jpeg
 
ichoboy01 najua unafurahia sana kuona video kama hii ya huyu msichana wa miaka miwili. Unahisi utamu sana sio?

Imeniuma sana aisee, chaajabu watu watailaumu Russia badala ya kumlaumu aliemuweka huyu mtoto kwenye Military Base ilhali walipewa muda wa kuevacuate civilians. Hii ni kama wamemuweka huyu mtoto kama shield yakushinda vita.
Binafsi nachokiona hapa ni Zelenskyy anawatumia civilians kama war shields au mateka ili asikamatwe na huku mastermind akiwa marekani, hawa ndio mashetani wenyewe na wasababishi wa vifo vya Ukrainian citizens
 
👆🏽najua mkitengeza zana za ki nuclear hapa, target yenu pekee ya ku hit💥 haitakua nchi ingine bali kenya na kenya🇰🇪 tu..!. kisa, kenya ni nchi inawapa ulcers, bloodpressure, na heartattack kilauchao since independence tukirejelea swala la kiuchumi, jambo ambalo mmshindwa kuelewa na kufafanua mbona, ilhali mna kila kitu, sio madini maradufu, sio nchi kubwa zaidi iliyo na 95% arable land, sio coast line ndefu zaidi.. yani imekua kama fumbo flani ngumu sana 😆😆
Yaani hii comment yako ni kama Kahaba akimshauri jirani yake akauze papuchi ili atajirike. Kufeni wenyewe kimbuzi
 
Imeniuma sana aisee, chaajabu watu watailaumu Russia badala ya kumlaumu aliemuweka huyu mtoto kwenye Military Base ilhali walipewa muda wa kuevacuate civilians. Hii ni kama wamemuweka huyu mtoto kama shield yakushinda vita.
Binafsi nachokiona hapa ni Zelenskyy anawatumia civilians kama war shields au mateka ili asikamatwe na huku mastermind akiwa marekani, hawa ndio mashetani wenyewe na wasababishi wa vifo vya Ukrainian citizens
Nyie watu wanafiki wa dizaini hii mnatakiwa kichinjwa kabisa.

Mnajaribu kutafuta excuses za kuhalalisha mauaji anayofanya Putin kwa civilian.

Rais anawatumiaje hao Raia kama ngao?Kwa nini wasitoe corridor za evacuation Ili mapigano yaendelee kwa askari?

Hii hapa ndio kazi ya Putin mnayoshabikia👇

Screenshot_20220320-083825.png

Screenshot_20220320-090130.png
 
Nyie watu wanafiki wa dizaini hii mnatakiwa kichinjwa kabisa.

Mnajaribu kutafuta excuses za kuhalalisha mauaji anayofanya Putin kwa civilian.

Rais anawatumiaje hao Raia kama ngao?Kwa nini wasitoe corridor za evacuation Ili mapigano yaendelee kwa askari?

Hii hapa ndio kazi ya Putin mnayoshabikia👇

View attachment 2157824

View attachment 2157825
Si afadhali kuchinjwa kuliko kufokonyolewa kama wewe, mjegeje ushakuchanganya mpaka huelewi dunia inakoelekea. Kila siku unasifia mabwana zako
 
Nenda chooni kapeleke uharo wako huko unapollute environs

View attachment 2157740
Haikosi wewe ni shoga kahaba Zanzibar kulingana na hii reply
Facts don't care about your feelings. Russia is 100× stronger than Ukraine military wise. Russia wataacomplish mission yao Ukraine bila kusumbuliwa. Nuclear button iko kwa desk ya Putin incase kuna MTU mjinga atafikiria kuattack Russia soldiers huko Ukraine.
 
swali langu hiyo SGR extension ni kupitia Burundi au bado ile SGR Isaka-Keza-Kigali? Kama ni kupitia Burundi basi ile chance kuungana na Uganda SGR kupitia Isaka na Kagera itakuwa imepotea!
Nadhani hadi J4 tutapata majibu mujarabu ya hiyo line.
But naona kama Kigali ndio iko nje ya picha hivi. Na kama ni link wata link from Bujumbura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haikosi wewe ni shoga kahaba Zanzibar kulingana na hii reply
Facts don't care about your feelings. Russia is 100× stronger than Ukraine military wise. Russia wataacomplish mission yao Ukraine bila kusumbuliwa. Nuclear button iko kwa desk ya Putin incase kuna MTU mjinga atafikiria kuattack Russia soldiers huko Ukraine.
Facts gani wewe fala.Unafanyiwa hivi 👇

20220216_225742.jpg
 
Imeniuma sana aisee, chaajabu watu watailaumu Russia badala ya kumlaumu aliemuweka huyu mtoto kwenye Military Base ilhali walipewa muda wa kuevacuate civilians. Hii ni kama wamemuweka huyu mtoto kama shield yakushinda vita.
Binafsi nachokiona hapa ni Zelenskyy anawatumia civilians kama war shields au mateka ili asikamatwe na huku mastermind akiwa marekani, hawa ndio mashetani wenyewe na wasababishi wa vifo vya Ukrainian citizens
Wewe akili yako haifanyi kazi vizuri. Eti unamlaumu Zelensky kwa mauwaji ya huyo msichana wa miaka miwili ilhali mauwaji yenyewe yamefanywa na Russia? Wewe na ichoboy01 mna matatizo ya akili sio bure.
 
Back
Top Bottom