ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
is that official source ???😂😂😂
is that official source ???😂😂😂
Nadhani alimaanisha Return on Investment.Return on Income ndiyo kitu gani?
most definitely yes.... then pls give me tyme, i search from other sources u ll trust inis that official source ???😂😂😂
hio ndio official source aloo kazi kweli kwelimost definitely yes.... then pls give me tyme, i search from other sources u ll trust in
kumekucha ndio unatafuta shuka Tony254 🤣🤣🤣🤣 vita sio maneno maneno mzee
Sema nchi ya Kenya!Ni huzuni kuona dhulma hio. Nchi za Afrika bado tupo nyuma sana kwenye kuheshimu haki za binadamu.
Nyie wafuasi wa Mwendazake mko blinded kwa hiyo uko sahihi kutoelewa



Jeshi la nini mkuu hapo ukikata supplies za food watawezaje pigana na njaa ni kuua tembo kwa ubua tuu.Ardhi yote yenye rutuba Kenya imechukuliwa na wanasiasa na wazungu wachache wanalima maua na chai, majority of Kenyans wanakufa kwa njaa.
By the way, hatuhitaji silaha za nuclear kuishambulia Kenya, hata Leo hii tukitaka tunaichukua Kenya ndani ya wiki Moja, udhahifu wa KDF ulivyodhihirika huko Somalia, hamuwezi kudumu hata wiki Moja kwa JWTZ
kwani mwanzo hakujua hvo?? 😂 yani ww uone vita alaf hujui kama nchi itaharibika au nato walimdanganya ajaribusasa mazungumzo baada ya watu wake kuuwawa, miji kuharibiwa, muundo msingi kuhadhiriwa, huyu jamaa angekua proactive mapema na hangeingia vita ambayo anajua vizuri hangeshinda. tena hii ni vita ambayo imeamsha kinonda ama cold blood btwn nato and russia, ama coldwar btwn USA and USSR, vita ambayo tulikua tumesahau na ambayo inayo kisiwa kutishia uwepo ama existence ya ulimwengu kwa ujumla