Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa Mzee umeongea ukweli hata kama watu wanapinga.

Hakuna feasibility study ilifanyika na hata bila feasibility study Uchumi wa Tzn 70% uko Dar huko kwingine ni kujilisha upepo tuu.

Na mbaya zaidi ikikamilika wimbo utabadilika kwamba eti reli ni huduma haitakiwi kuwa gauged on economic terms..

Binafsi licha ya kujenga reli na kujisifia sijawahi kubaliana na huu mradi,badala yake pesa inayowekezwa huko japo kwa miaka 5 iliyopita ingewekezwa kwenye barabara za highway na Vijijini kwa lami ingekuwa na tija kubwa kwa sasa Ili tunapojenga reli tuwe na mzigo wa kupitisha...

Kichaka kingine kinachotumiwa ni hiki cha kusema sijui itadumu miaka 100 ijayo and such nonsense,kulikuwa hakuna haja ya kuwa na reli ya kiwango hicho kwa sasa badala yake tungeanza kuijenga 2025 tukiwa na uchumi wa kutosha.
huyu kaka amekwisha tueleza maneno mwafaka, ila wenzake humu watazidi kumponda na kumkashif kilasiku kwa ajili ya ueledi wake wa kufichua ukweli wa mambo jinsi yalivyo
 
👆🏽najua mkitengeza zana za ki nuclear hapa, target yenu pekee ya ku hit💥 haitakua nchi ingine bali kenya na kenya🇰🇪 tu..!. kisa, kenya ni nchi inawapa ulcers, bloodpressure, na heartattack kilauchao since independence tukirejelea swala la kiuchumi, jambo ambalo mmshindwa kuelewa na kufafanua mbona, ilhali mna kila kitu, sio madini maradufu, sio nchi kubwa zaidi iliyo na 95% arable land, sio coast line ndefu zaidi.. yani imekua kama fumbo flani ngumu sana 😆😆
 
hebu tusakanyane ngware, mi nimebaki nimedoz. chao.! kesho pia siku, inshaalah......

"bismilahi salahla.. uwalei uuwahsalam.. uwarahman tulilaah.. wabarakatu.." 🧎🏾‍♂️🧎🏽
 
najua mkitengeza zana za ki nuclear hapa, target yenu pekee ya ku hit haitakua nchi nyingine bali kenya na ke pekee. kisa, kenya ni nchi inawapa ulcers, bloodpressure, na heartattack kilauchao since independence tukirejekea swala la kiuchumi, jambo ambalo mmshindwa kuelewa na kufafanua mbona, ilhali mna kila kitu, sio madini maradufu, sio nchi kubwa zaidi iliyo 95% arable land, sio coast line ndefu zaidi.. yani imekua kama fumbo flani ngumu sana
Wala sio gumu ni simple tu ,sisi sio vibaraka wa wamabeberu kama nyie
 
Hapa Mzee umeongea ukweli hata kama watu wanapinga.

Hakuna feasibility study ilifanyika na hata bila feasibility study Uchumi wa Tzn 70% uko Dar huko kwingine ni kujilisha upepo tuu.

Na mbaya zaidi ikikamilika wimbo utabadilika kwamba eti reli ni huduma haitakiwi kuwa gauged on economic terms..

Binafsi licha ya kujenga reli na kujisifia sijawahi kubaliana na huu mradi,badala yake pesa inayowekezwa huko japo kwa miaka 5 iliyopita ingewekezwa kwenye barabara za highway na Vijijini kwa lami ingekuwa na tija kubwa kwa sasa Ili tunapojenga reli tuwe na mzigo wa kupitisha...

Kichaka kingine kinachotumiwa ni hiki cha kusema sijui itadumu miaka 100 ijayo and such nonsense,kulikuwa hakuna haja ya kuwa na reli ya kiwango hicho kwa sasa badala yake tungeanza kuijenga 2025 tukiwa na uchumi wa kutosha.
Hebu twende kwa reasoning what was the GDP in 2017 rail ilivyoanza kujengwa and what will be the GDP in 2025 (projected)? will it have made any difference

2..Unajua reli inaweza ikachochea investement za industrial parks kwa wawekezaji along the corridor

3.Dar hai contribute 70% of economy...nenda kwa data za NBS uangalie GDP ya Dar kabla hujasema

4.Barabara nazo ulizotaka zijengewe zinahitaji mainatnace every 3 to 5 years ..dont they?

5.Am not against Wilaya na wilaya kuunganishwa..but rail ..is very significant hasa kama itakuwa well runned...eletricity will even reduce its cost compared to disel

6..Bora ungesema ATCL revival maana inaeleweka duniani kote ndege huchukua muda kuleta returns and most are secondary to the economy

7.
 
vitu vya kijinga kama hiv mlivyonavyo wakenya ndo vinamfanya hata Uhunye awe na ujasiri wa kuwahutubia hata akiwa amelewa bwii.. maana anajua hakuna kitu mtamfanya... achanen na mambo ya links.. muwe mnaangalia/base on the ground.. yan pamoja na hio elimu yenu bora mnayotangaziwa mitandaoni na vilink vya ajabu ajabu bado kila mwezi maghorofa na madaraja kwenu yanabomoka.. nyie ndo mnaongoza kupost links za sijui barabara, sijui elimu sijui human development sijui nn.. wakat on the ground Tanzania tumewapita yote hayo kiuhalisia.

mfano mdogo tu, list kama hio ya ajabu ajabu.. mzumbe university inakosekanaje? muhimbili university je? huoni hata aibu
NIT, ARDHI havipo
 
Hebu twende kwa reasoning what was the GDP in 2017 rail ilivyoanza kujengwa and what will be the GDP in 2025 (projected)? will it have made any difference

2..Unajua reli inaweza ikachochea investement za industrial parks kwa wawekezaji along the corridor

3.Dar hai contribute 70% of economy...nenda kwa data za NBS uangalie GDP ya Dar kabla hujasema

4.Barabara nazo ulizotaka zijengewe zinahitaji mainatnace every 3 to 5 years ..dont they?

5.Am not against Wilaya na wilaya kuunganishwa..but rail ..is very significant hasa kama itakuwa well runned...eletricity will even reduce its cost compared to disel

6..Bora ungesema ATCL revival maana inaeleweka duniani kote ndege huchukua muda kuleta returns and most are secondary to the economy

7.
Wachaneni na huyo, mnapoteza muda wenu bure
 
Siamini Kama "argument" ya hovyo kiasi hiki inatoka kwako, kwahiyo GoK ilivyowekeza kujenga reli hadi Malaba na kubembeleza nchi za Uganda, DRC, Rwanda na South Sudan kutumia reli ya Kenya, hawakujua kwamba huko hakuna biashara?, hadi Leo serikali yenu inaendelea kuwekeza bandari ya Kisumu ili kukamata masoko ya hizo nchi.

Hivi nikuulize swali, Kama itategemea mizigo ya Mombasa Nairobi, Je hiyo reli kurudi toka Nairo hadi Mombasa itabeba mzigo gani?.

Hivi unatumia akili kweli wewe?, taja ni nchi gani hapa Afrika ambayo reli yake inategemea "domestic market" pekee na ikatengeneza faida?, Ili reli itengeneze faida, lazima kusafirisha mizigo mikubwa, ndio sababu reli itakayofanikiwa kufika DRC ndiyo itakayofanikiwa Sana, kutokana na madini mazito, mbao na bidhaa za mazao ya miti yanayopatikana kwa wingi DRC. Wacha kujidanganya, msikilize Dr. David Ndii anaeleza vizuri kuhusu hili.
Huyu anafikiri uchumi unabakia stagnat hapa afrika hamna Nchi yenye madini kama DRC na sisi tunajenga hii reli target yetu kubwa ni DRC huwezi jua uko mbeleni nchi zingine za central Africa zinaweza taka kujoin reli yetu na mizigo yao ya kutokea china badala ya kuzungukia sauzi kule chini itapitia dar kusave mda na sisi tutakua tumewin kuliteka soko la afrika ya katI
 
najua mkitengeza zana za ki nuclear hapa, target yenu pekee ya ku hit haitakua nchi nyingine bali kenya na ke pekee. kisa, kenya ni nchi inawapa ulcers, bloodpressure, na heartattack kilauchao since independence tukirejekea swala la kiuchumi, jambo ambalo mmshindwa kuelewa na kufafanua mbona, ilhali mna kila kitu, sio madini maradufu, sio nchi kubwa zaidi iliyo 95% arable land, sio coast line ndefu zaidi.. yani imekua kama fumbo flani ngumu sana
Ardhi yote yenye rutuba Kenya imechukuliwa na wanasiasa na wazungu wachache wanalima maua na chai, majority of Kenyans wanakufa kwa njaa.

By the way, hatuhitaji silaha za nuclear kuishambulia Kenya, hata Leo hii tukitaka tunaichukua Kenya ndani ya wiki Moja, udhahifu wa KDF ulivyodhihirika huko Somalia, hamuwezi kudumu hata wiki Moja kwa JWTZ
 
ichoboy01 najua unafurahia sana kuona video kama hii ya huyu msichana wa miaka miwili. Unahisi utamu sana sio?
Tulia dawa iingie vizuri, hivi wale watoto wa Afghanistan waliokua wakiuliwa kwa zaidi ya miaka 11 na majeshi ya USA na washirika wake hawakuwa binadamu, au kwa sababu waliokua wakitekeleza yale mauaji ni waume zenu?
 
vyuo vyao vyote kila mara vina migomo ya wafanyakazi.. wanafunz wanafundishwa lini? ubora wao unatoka wap? afu anakuja kajamaa anasema eti vyote hivyo ni bora kuliko vya bongo..
View attachment 2157389
View attachment 2157390
View attachment 2157391
View attachment 2157392
Egerton university nao walimu waligoma!
 
Siamini Kama "argument" ya hovyo kiasi hiki inatoka kwako, kwahiyo GoK ilivyowekeza kujenga reli hadi Malaba na kubembeleza nchi za Uganda, DRC, Rwanda na South Sudan kutumia reli ya Kenya, hawakujua kwamba huko hakuna biashara?, hadi Leo serikali yenu inaendelea kuwekeza bandari ya Kisumu ili kukamata masoko ya hizo nchi.

Hivi nikuulize swali, Kama itategemea mizigo ya Mombasa Nairobi, Je hiyo reli kurudi toka Nairo hadi Mombasa itabeba mzigo gani?.

Hivi unatumia akili kweli wewe?, taja ni nchi gani hapa Afrika ambayo reli yake inategemea "domestic market" pekee na ikatengeneza faida?, Ili reli itengeneze faida, lazima kusafirisha mizigo mikubwa, ndio sababu reli itakayofanikiwa kufika DRC ndiyo itakayofanikiwa Sana, kutokana na madini mazito, mbao na bidhaa za mazao ya miti yanayopatikana kwa wingi DRC. Wacha kujidanganya, msikilize Dr. David Ndii anaeleza vizuri kuhusu hili.
Huyu Tony254 amekuwa mtu wa Politik!
 
yani umepost humu kwa mwaka huuu madini pekeyake yamechangia 3.5 billions usd, alafu unasema uchumi wa Tz ni Dar 70%
Ukubali au ukatae lakini hilo halitabadilisha ukweli kwamba uchumi mkubwa wa Tanzania (zaidi ya nusu) upo Dar es Salaam pekee. Vile vile zaidi ya nusu ya uchumi wa Kenya upo Nairobi. Uchumi wa nchi za Africa ziko highly centralized kwa sababu Wakoloni walizi-design hivyo. Halafu tulipopata uhuru hatuku-decentralize our economic systems. Tuliendelea na mfumo huo wa Wakoloni wa kucentralize kila kitu Dar es Salaam na Nairobi. Kila kitu kilikuwa kinafanywa Dar es Salaam na Nairobi hata baada ya kujipatia uhuru. Huo ndio ukweli wa mambo hata ukipinga.
 
Ukubali au ukatae lakini hilo halitabadilisha ukweli kwamba uchumi mkubwa wa Tanzania (zaidi ya nusu) upo Dar es Salaam pekee. Vile vile zaidi ya nusu ya uchumi wa Kenya upo Nairobi. Uchumi wa nchi za Africa ziko highly centralized kwa sababu Wakoloni walizi-design hivyo. Huo ndio ukweli wa mambo hata ukipinga.
Usilazimishe tufanane bablai .. Dar inachakingia 17% ya pato la taifa. Sisi sio nyinyi
 
Back
Top Bottom