Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa mazungumzo baada ya watu wake kuuwawa, miji kuharibiwa, muundo msingi kuhadhiriwa, huyu jamaa angekua proactive mapema na hangeingia vita ambayo anajua vizuri hangeshinda. tena hii ni vita ambayo imeamsha kinonda ama cold blood btwn nato and russia, ama coldwar btwn USA and USSR, vita ambayo tulikua tumesahau na ambayo inayo kisiwa kutishia uwepo ama existence ya ulimwengu kwa ujumla
Umereason vyema sana chief. Huyu Zelenskyy ni mfano halisi wa watumwa wa Marekani, US anawatiaga uchizi watumwa wake wanashindwa kureason. Sasa mshauri Uhuru awaombe msamaha Wasomali na kutoa jeshi lake na kulipa fidia uone mtakavyoishi kwa amani
 
Wewe akili yako haifanyi kazi vizuri. Eti unamlaumu Zelensky kwa mauwaji ya huyo msichana wa miaka miwili ilhali mauwaji yenyewe yamefanywa na Russia? Wewe na ichoboy01 mna matatizo ya akili sio bure.
Kule AMISOM Somalia kuna vitoto vya Kikunya vinaishi kambini? Uache upumbavu wa kutetea Ukraine kufanya vitoto bait!
 
Wewe akili yako haifanyi kazi vizuri. Eti unamlaumu Zelensky kwa mauwaji ya huyo msichana wa miaka miwili ilhali mauwaji yenyewe yamefanywa na Russia? Wewe na ichoboy01 mna matatizo ya akili sio bure.
Come on tony, your better than this
 
Hujaelewa nilichouliza, Burundi connection is settled! Nauliza Kigali connection through that said PPP!
Nimesema connection to Kigali haitaanzia TZ tena.. Kama mwanzo. Hiyo route ya Isaka-Keza-Kigali haipo Kwa Sasa.. That's why nimesema hiyo extension to Kigali labda itaanzia Bujumbura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungoje J4 misingi ya hizi nchi mbili zilizojengwa na uhasama baina yao sioni Kigali ikiunganishwa na Burundi kama option ya Keza haipo basi Rwanda itaunganishwa na Kampala!
 
Zelenshky ni kiongozi mjinga sana, anatumiwa na Zionist ndio NATO waingie Ukraine waneutralize Russia in preparation of the New World Order ambako kutakua na serikali moja dunia nzima under USA. Labda ni ujana inamsumbua. Badala ya diplomacy yeye alimua kwenda vitani. Sasa wakati amelemewa na vita ndio anaona waongee na Putin when its too late. Ukraine has already been destroyed and it'll take decades to be restored.
Screenshot_20220320-143701.jpg
 
Umereason vyema sana chief. Huyu Zelenskyy ni mfano halisi wa watumwa wa Marekani, US anawatiaga uchizi watumwa wake wanashindwa kureason. Sasa mshauri Uhuru awaombe msamaha Wasomali na kutoa jeshi lake na kulipa fidia uone mtakavyoishi kwa amani
aisee ata sijui kdf bado wanafanya nn somalia hadi wa leo.. uhunye afadhali awatoe huko. sa tunapigana vita vya wenyewe ambayo sioni maana ata kidogo, huku bado hatuja suluhisha changamoto zote za ndani zinazotukabili
 
Nimesema connection to Kigali haitaanzia TZ tena.. Kama mwanzo. Hiyo route ya Isaka-Keza-Kigali haipo Kwa Sasa.. That's why nimesema hiyo extension to Kigali labda itaanzia Bujumbura.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiji akilini na wala Kagame hawezi kukubali aunganishwe kupitia Burundi itakua more expensive kusafirisha mizigo rwanda I think the route to keza na extension to Kampala bado ipo
 
Kitu pekee unachotakiwa kuelewa ni kwamba Tz sio kenya , nikweli Dar inamapato kuzidi mikoa mingie lakin sio kww 70% hiyo nakataa daima , Tz ni nchi yenye resources nyingi na ziko almost evenly distributed hivyo hata uchumi wake ni shindani sio kama kenya ambayo nusu jangwa hata barabara mkashindwa kupeleka uko kaskazini
Arusha Kilimanjaro ndio leading tourist destinations in Tz sasa contribution ya tourism kwa GDP ni kiasi gani halafu jumlisha na contribution ya mining in the lake zone na agriculture country-wide hizi sectors zote kwa kiasi kikubwa haziko Dar na ndio zinazoshika sehemu kubwa ya uchumi wetu.
 
Haiji akilini na wala Kagame hawezi kukubali aunganishwe kupitia Burundi itakua more expensive kusafirisha mizigo rwanda I think the route to keza na extension to Kampala bado ipo
Ishu ni financing. Kwa ilivyo Sasa Kigali inabidi iweke commitment and seriousness ya hali ya juu maana lengo la reli ni ifike DRC, na ndio imeshafika hivyo via Bujumbura. Sasa kujipinda tena Kwa mkopo ili ifike Kigali to DRC again its not feasible.

Pia Kigali haipo tight kihivyo na DRC kama Bujumbura, same wise their not in good terms with Kampala either. Hivyo unaweza kuona picha inajitengeneza kama hivyo. Hivyo Kigali ina kazi haswa kutengeneza ushawishi ili ifikie na mtandao huo wa SGR. Kuweka pesa nyingi za kukopa ili ufike Kigali maana mkopo itakuwa wa wote TZ na Kigali ni jambo la kusubiri na kuona itakavyo kuwa maana hata huko hakuna biashara kubwa na target ni DRC kupita Bujumbura au Kigali it's okay.. Eyes to DRC.

Ila kutoka Keza mpaka Kigali mpaka North Kivu ni sawa na kutoka Keza mpaka Kigali, labda kama sisi tumemwambia hatuna fedha ya kujenga Isaka-Keza SGR! Na pia kama connection itatoka Gitega basi Kigali rote itakuwa at a disadvantage. There is something brewing and very soon tutagundua, na i suspect a change of mind on Kagame.

Burundi-map-boundaries-cities-locator.jpg

This was the plan, that would easily convince Uganda joining the Isaka-Kigali SGR via Kagera!
174001958_2934311316694096_3898006838463765110_n.jpg

If u look at the current global crisis, it is a blessing in disguise to EA's Tanzania, Rwanda, Burundi, DRC and Uganda, u can easily see why most railways and infrastructures should be based on this map. Think of Hoima oil refinery and oil deposits around Lake Albert, think of nickel reserves in Kabanga Tanzania and Musongati in Burundi (6 % of global Nickel confirmed). Think of EACOP pipeline that will increase cargo in the region, its obvious the oil rush will result into Uganda economy be restructured around the Lake Albert region!

Not to forget coltan, cobalt, graphite and e.t.c that r plenty in the Western side of Lake Victoria all the way to DRC!

Ukiuliza mtu kama Tony254 hawezijua kwanini EU imekuwa friendly na Burundi of a sudden?
 
Back
Top Bottom