Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unaelewa economics vizuri kweli wewe? Eti unadanganya kwamba SGR ya Kenya haiwezi kuleta faida mpaka iunganishwe na Uganda. Unajua unachosema kweli au unaongea kufurahisha watu? Hivi wewe unajua kwamba hata SGR ya Kenya ikiunganishwa na Uganda bado zaidi ya 75% ya mizigo ya SGR itakuwa ni mizigo ya Kenya? Kati ya hio 75% karibu yote inakwenda Mombasa na Nairobi. In fact Kenya inaweza kupata hasara zaidi kwa kutumia mabilioni ya dollar kuconnect Naivasha hadi Malaba ukizingatia kwamba chini ya asilimia 20% ya mizigo ya Sgr itakuwa mizigo ya Uganda. Zingatia pia kwamba Waganda wengine watakataa kutumia treni na wataendelea kutumia lorry. Market ya Uganda ni ndogo sana ikiilinganisha na ya Kenya. Customers wengi wa SGR ni Wakenya sio Waganda. Mombasa port inapitisha 35 million tonnes of cargo na chini ya 25% ya hii inakwenda Uganda na around 75% inabaki Kenya, most of it inakwenda Nairobi. Tukiangalia hii kitu kiuchumi hakuna jinsi unaweza kuniconvince kwamba Kenya haitapata hasara zaidi ikiamua kujenga SGR kutoka Naivasha hadi Malaba ukizingatia kwamba Uganda ni market kadogo. Mimi sina ushabiki wa kijinga, mimi sioni jinsi Naivasha-Malaba itakuwa na faida kushinda Mombasa-Nairobi kwa hivyo uwache kudanganya watu. Najua hio ndio sababu kuu iliyowafanya Wachumi wa China Exim bank kukataa kutoa mkopo. Tukiangalia hii kitu kiuchumi na kiutaalam kabisa bila kuweka siasa au propaganda, ukweli ni kwamba route ya Naivasha- Kampala haitaleta faida ya kutosha kuoffset the cost of construction. SGR route ya Mombasa to Nairobi ina faida sana na itajilipa virahisi kwa sababu 70% ya mizigo ya Mombasa port inakwishia Nairobi na haipiti hapo. Nairobi- Malaba japo itagharimu Kenya $3 au $4 billion kwa ujenzi, najua haitajilipa virahisi ukizingatia kwamba mizigo inayokwenda Uganda ni kidogo sana. Tukifanya simple ROI (return on income) ni wazi kwamba kipande cha Naivasha Malaba hakitajilipa kwa urahisi. Kwa hivyo tukianalyse hili jambo kiutaalam bila ushabiki utaona kwamba hio route ya Kampala haina faida kwa Kenya kushinda route ya Mombasa-Nairobi ambayo ndio most profitable route in East and Central Africa. Mombasa-Nairobi ni route ambayo inaconsume zaidi ya 20 million tonnes of cargo per year wakati Uganda inaconsume 8 million tonnes of cargo per year. Mizigo nyingi za Kenya zinachezea Mombasa-Nairobi na hazipiti hapo. Mombasa-Nairobi route lazima itajilipa lakini huko kwingine sina imani nako.
Return on Income ndiyo kitu gani?
 
Nilisema Saudi Arabia awache majivuno kwa marekani kwa maana bado anamtegemea Marekani ampatie ulinzi. Sasa ona ameanza kupigwa na Houthis wa Yemen tena.
 
Ardhi yote yenye rutuba Kenya imechukuliwa na wanasiasa na wazungu wachache wanalima maua na chai, majority of Kenyans wanakufa kwa njaa.

By the way, hatuhitaji silaha za nuclear kuishambulia Kenya, hata Leo hii tukitaka tunaichukua Kenya ndani ya wiki Moja, udhahifu wa KDF ulivyodhihirika huko Somalia, hamuwezi kudumu hata wiki Moja kwa JWTZ
Tony254, hebu njoo hapa. hebu mueleze huyu, maana ya kdf na ueledi wao, na jinsi wao ni wanajeshi bora zaidi katika ukanda huu. kisa, wao wana train na US marines, UK army, pia ndio wanatumia vifaa sophisticated zaidi ya kisasa toka marekani, israel, germany na uingereza
 
Tony254, hebu njoo hapa. hebu mueleze huyu, maana ya kdf na ueledi wao, na jinsi wao ni jeshi bora zaidi katika ukanda huu. wao wana train na US marines, UK army na wao wanatumia vifaa sophisticated zaidi toka marekani, israel, germany na uingereza
Ila we jamaa ni kilaza zaidi 😂😂 kuwa trained na westerners ndio kuwa bora.? Ni jeshi gani ukanda huu ambalo halipati trainings kutoka west.? Ubora wa jeshi ni pale linapoweza kulinda mipaka ya nchi yake lakini pia na kushinda vita itokeapo, otherwise hilo jeshi sio bora hata kama linapata trainings kutoka mbinguni yani anakuja malaika anawafundisha mbinu za kijeshi 😂😂
 
Ukubali au ukatae lakini hilo halitabadilisha ukweli kwamba uchumi mkubwa wa Tanzania (zaidi ya nusu) upo Dar es Salaam pekee. Vile vile zaidi ya nusu ya uchumi wa Kenya upo Nairobi. Uchumi wa nchi za Africa ziko highly centralized kwa sababu Wakoloni walizi-design hivyo. Halafu tulipopata uhuru hatuku-decentralize our economic systems. Tuliendelea na mfumo huo wa Wakoloni wa kucentralize kila kitu Dar es Salaam na Nairobi. Kila kitu kilikuwa kinafanywa Dar es Salaam na Nairobi hata baada ya kujipatia uhuru. Huo ndio ukweli wa mambo hata ukipinga.
hapo kidogo Tony254 sija kubaliana nawe. hivi $14B ya nbi na $109B ya national ni wapi na wapi.?
 
Nilisema Saudi Arabia awache majivuno kwa marekani kwa maana bado anamtegemea Marekani ampatie ulinzi. Sasa ona ameanza kupigwa na Houthis wa Yemen tena.
Hii vita Kama ilivyo ya Ukraine ni vita Kati ya Iran na USA, kushindwa kwa Saudia Arabia ni fedheha kwa USA dhidi ya Iran anayesaidia Hauthis wa Yemen
 
Hebu twende kwa reasoning what was the GDP in 2017 rail ilivyoanza kujengwa and what will be the GDP in 2025 (projected)? will it have made any difference

2..Unajua reli inaweza ikachochea investement za industrial parks kwa wawekezaji along the corridor

3.Dar hai contribute 70% of economy...nenda kwa data za NBS uangalie GDP ya Dar kabla hujasema

4.Barabara nazo ulizotaka zijengewe zinahitaji mainatnace every 3 to 5 years ..dont they?

5.Am not against Wilaya na wilaya kuunganishwa..but rail ..is very significant hasa kama itakuwa well runned...eletricity will even reduce its cost compared to disel

6..Bora ungesema ATCL revival maana inaeleweka duniani kote ndege huchukua muda kuleta returns and most are secondary to the economy

7.
Nafahamu kwamba GDP inakua na by 2025 labda ndio itafikia around $70 bln.Kati ya hiyo yote around 60% itakuwa concentrated around Dar.

So far sijaona sehemu yeyote ya Tzn ambayo inapata investment kubwa kukaribiana na Dar/Pwani japo kwa mbali.

Kuhusu barabara licha ya kuwa na maintanance cost kwa kipindi ulichotaji lakini ukweli ni kwamba barabara za lami zikiwa nyingi hata hiyo maintenance cost itapungua kwa sababu loading repeations itakuwa ndogo.Kwa sasa uharibifu ni mkubwa na maintenance cost kubwa kwa sababu barabara ni chache.

Kwamba reli ita stimulate industrial parks ni kweli but kwa pace ipi? Maana tuna reli hadi sasa ,je zime stimulate hizo industrial parks kama ilivyoyarajiwa? Kama hapana je ni kwa sababu reli sio za umeme?

Sipingani moja kwa moja na reli bali napingana na timing yake na kwamba kipi kingepewa msukumo mkubwa Kati ya reli na barabara.

Hoja yangu inabakia pale pale kwa kuwa tayari reli inajengwa serikali ipeleke nguvu nyingi kwenye barabara tena za lami tuifungue Nchi Ili sasa reli ikiwa tayari tupate mzigo wa kusafirisha kwa sababu barabara zinachochea uzalishaji wa haraka zaidi kuliko reli.

Siridhishwi kabisa na hii Kasi ndogo ya kujenga barabara kwa wastani wa km 500-600 kwa mwaka,at least tuwe na km 1200-1600 kwa mwaka.

Tuwe na priority za maendeleo badala ya kwenda kiujumla jumla kulambisha lambisha kila sehemu.
 
Tony254, hebu njoo hapa. hebu mueleze huyu, maana ya kdf na ueledi wao, na jinsi wao ni wanajeshi bora zaidi katika ukanda huu. kisa, wao wana train na US marines, UK army, pia ndio wanatumia vifaa sophisticated zaidi ya kisasa toka marekani, israel, germany na uingereza
Huyo jamaa anajulikana huku kwa kupenda sifa. Anajua vizuri Kdf is more professional, better trained and better armed. Usipoteze muda, wachana na yeye.
 
Ila we jamaa ni kilaza zaidi kuwa trained na westerners ndio kuwa bora.? Ni jeshi gani ukanda huu ambalo halipati trainings kutoka west.? Ubora wa jeshi ni pale linapoweza kulinda mipaka ya nchi yake lakini pia na kushinda vita itokeapo, otherwise hilo jeshi sio bora hata kama linapata trainings kutoka mbinguni yani anakuja malaika anawafundisha mbinu za kijeshi
Wakenya na wazungu sijui akili zao zilifanywaje, wao hawajiulizi kwanini kila siku wakenya wanauliwa na Alshababs ilihali KDF wapo Somalia, hawatumii kigezo cha usalama katika mipaka ya Kenya Kama ndio kipimo cha uimara wa Jeshi lao, eti wanatumia kufundishwa na USA na kumiliki silaha za kisasa hata kama hazisaidii lolote katika kuimarisha Ulinzi wa nchi Yao
Tony254
 
hapo kidogo Tony254 sija kubaliana nawe. hivi $14B ya nbi na $109B ya national ni wapi na wapi.?
By the way you are partly correct. Tukichukua gdp ya Nairobi county pekee basi Nairobi county ni 25% of Kenya's gdp. Lakini tukichukua Nairobi Metropolitan area ambayo inajumulisha counties tatu zilizoizunguka Nairobi basi inapita 50%. Kiambu, Nakuru na Machakos. Cheki hii list hapa chini.
 
Uganda kwa sasa ipo very interested na inatamani ujenzi ufanyike hadi kuna timu la Uganda lilikwenda China kufuatilia hili jambo lakini Kenya haipo interested kwa sababu ya madeni. So kwa maoni yangu sioni ikijengwa for the forseeable future. Lakini ujenzi bado unaweza kufanyika baada ya miaka kadhaa zijazo.


Hapa kwa hii article, China Exim bank ilideny loan request ya Uganda kwa sababu Kenya haikutoa guarantee kwamba itafikisha reli yak Malaba.
Kenya kwa sasa haina hamu na hii project.


 
I highly recomend you to take a economic class...kisha rudi kapitie kwa nini tunaijenga hii rail, unaleta upuzi wa kujenga mahighway kweli, kama ulifika mbeya unaweza elewa nikwajinsi gani magari ya mizigo yanaribu barabara mnoo...tutakuw tunafany kz ya kucheka na nyani wakati maindi yanaisha shambani
Kwa hiyo Mbeya hakuna train? Kwa nini barabara ziko busy kuliko reli? Barabara yenyewe ni single carriage unategemea isiharibike?

Na hiyo reli Ili iwe na maana lazima zipatikane collector roads ambazo hazipo.
 
Back
Top Bottom