turkey sio member wa nato broTurkey yuko pamoja na US ni member wa NATO
Turkey ni member wa NATO tangu 1950s kulinda Bosphorus strait! La sivyo USSR ingekuwa imechukua hiyo strategic strait!turkey sio member wa nato bro
I expected this to happenmm hua nashangaa ww unawashwa na nn nani amekutag ww mpaka unijibu? au ww ni mke wa Tony254 ?? nilikwambia hvi sitaki unitag wala kuni quote mm huo mchezo unaoutaka mm kwangu mwiko tafuta tu wanaume wako wengi wanaeza kukupa huduma stahiki














tatizo lako ww maovu makubwa ya nato huyoni na tatizo kubwa sisi wanaadamu ni wasahaulifu sana 😂😂😂Wewe akili yako haifanyi kazi vizuri. Eti unamlaumu Zelensky kwa mauwaji ya huyo msichana wa miaka miwili ilhali mauwaji yenyewe yamefanywa na Russia? Wewe na ichoboy01 mna matatizo ya akili sio bure.
Acha kulia Lia wewe,kapime tezi dume hakuna kidole tena👇mm hua nashangaa ww unawashwa na nn nani amekutag ww mpaka unijibu? au ww ni mke wa Tony254 ?? nilikwambia hvi sitaki unitag wala kuni quote mm huo mchezo unaoutaka mm kwangu mwiko tafuta tu wanaume wako wengi wanaeza kukupa huduma stahiki
Turkey ni member wa NATO tangu 1950s kulinda Bosphorus strait! La sivyo USSR ingekuwa imechukua hiyo strategic strait!
![]()
![]()
Apo ndio utajua Tz bado tunavizuuArusha Kilimanjaro ndio leading tourist destinations in Tz sasa contribution ya tourism kwa GDP ni kiasi gani halafu jumlisha na contribution ya mining in the lake zone na agriculture country-wide hizi sectors zote kwa kiasi kikubwa haziko Dar na ndio zinazoshika sehemu kubwa ya uchumi wetu.
Putin atamaliza Ukraine jameni
Sasa inabisha membership ya Turkey NATO?sidhani bro kuna issue imejificha sana hapo
Zelenshky ni kiongozi mjinga sana, anatumiwa na Zionist ndio NATO waingie Ukraine waneutralize Russia in preparation of the New World Order ambako kutakua na serikali moja dunia nzima under USA. Labda ni ujana inamsumbua. Badala ya diplomacy yeye alimua kwenda vitani. Sasa wakati amelemewa na vita ndio anaona waongee na Putin when its too late. Ukraine has already been destroyed and it'll take decades to be restored.
Huyo ni Mpumbavu mmoja Asiye Jitambua Yaani Linaboa sana Kichwani Ni ZEROmm hua nashangaa ww unawashwa na nn nani amekutag ww mpaka unijibu? au ww ni mke wa Tony254 ?? nilikwambia hvi sitaki unitag wala kuni quote mm huo mchezo unaoutaka mm kwangu mwiko tafuta tu wanaume wako wengi wanaeza kukupa huduma stahiki
Turkey ni member wa Nato broturkey sio member wa nato bro
Hawa Watanzania wa huku nimeona 98% wanasupport Russia hata wakiuwa watoto wadogo. Hawana utu kabisa.Hata hamtaki kujifunza historia ili kujua uhalisia.2014 Russia aliingia Ukraine Zelensiky hakua Rais wakati huo.Hata asingekua Zelensiky bado Russia angeivamia kwa anachotaka ni hizi kukidhi anachotaka na anahangaika kuzilock kiuchumi ili zimsikilize yeye kwenye njia za uchumi na security Msichojua Russia Hana uhusiano mzuri na Finland,Norway na Georgia in South.Tazama hata nchi nyingine ziliundaSoviet hazina uhusiano mzuri na Russia.Ukorofi wa Russia ni kawaida yao tazama wakati wa Stalin ilikua kero tu.
Maovu ya Nato nayaona. Ya Russia pia nayaona. Wewe huoni maovu ya Russia, unaona ya Nato tu.tatizo lako ww maovu makubwa ya nato huyoni na tatizo kubwa sisi wanaadamu ni wasahaulifu sana 😂😂😂