Hawa wenzetu watakuja kutupa shida siku za usoni na madeni yao naiona EA Community ikisambaratika kiuchumi siku si nyingiNoted
Debt-kenya-110+USB
-tanzani-37usb
Turkey yuko pamoja na US ni member wa NATO
Collector roads ndio nini au english ya Kenya? Au unamaanisha feeder roads?Kwa hiyo Mbeya hakuna train? Kwa nini barabara ziko busy kuliko reli? Barabara yenyewe ni single carriage unategemea isiharibike?
Na hiyo reli Ili iwe na maana lazima zipatikane collector roads ambazo hazipo.
Kitu pekee unachotakiwa kuelewa ni kwamba Tz sio kenya , nikweli Dar inamapato kuzidi mikoa mingie lakin sio kww 70% hiyo nakataa daima , Tz ni nchi yenye resources nyingi na ziko almost evenly distributed hivyo hata uchumi wake ni shindani sio kama kenya ambayo nusu jangwa hata barabara mkashindwa kupeleka uko kaskaziniUkubali au ukatae lakini hilo halitabadilisha ukweli kwamba uchumi mkubwa wa Tanzania (zaidi ya nusu) upo Dar es Salaam pekee. Vile vile zaidi ya nusu ya uchumi wa Kenya upo Nairobi. Uchumi wa nchi za Africa ziko highly centralized kwa sababu Wakoloni walizi-design hivyo. Halafu tulipopata uhuru hatuku-decentralize our economic systems. Tuliendelea na mfumo huo wa Wakoloni wa kucentralize kila kitu Dar es Salaam na Nairobi. Kila kitu kilikuwa kinafanywa Dar es Salaam na Nairobi hata baada ya kujipatia uhuru. Huo ndio ukweli wa mambo hata ukipinga.
@Tony254jibu zuri sana
Hujui kitu tulia wewe pimbi. Rudi darasani Kasome road classificationsCollector roads ndio nini au english ya Kenya? Au unamaanisha feeder roads?
Hoja gani nimeshimdwa kujibu mkuu?Kitu nimenotice, huwa mkishindwa kujibu hoja mnakimbilia kuita watu wafuasi wa ''mwendazake'' au ''sukuma gang''
Imagine hadi sisi wazaliwa wa kaskazini mnatuita hivo!![]()
Nenda chooni kapeleke uharo wako huko unapollute environsZelenshky is a Zionist. He laughs and enjoys the death and carnage ambayo watu wa Ukraine wanapitia.
Nowonder badala ya kumake peace na Russia aliamua kuingia kwa vita ambayo anajua Ukraine itapoteza tu ata wafanye nini. Now Ukraine has been turned to ruble
Huyo jamaa ni mpuuzi! Yaani can u imagine ana-attack mtu namna hiyo? akiambiwa adhibitishe?Kila mtu yupo na starehe zake hapa duniani, wapo wengi Sana Kati yetu ni wajarabu wa "Punyeto",. By the way, huna ushahidi wowote, tatizo ni mfumo dume, mwanamke akiwa hajishughulishi na wanaume, anasemwa ni "msagaji" ila mwanaume asipojishughulisha na WA awake, anaitwa" mtafutaji"
![]()
Jiwe la mtoniNafahamu kwamba GDP inakua na by 2025 labda ndio itafikia around $70 bln.Kati ya hiyo yote around 60% itakuwa concentrated around Dar.
So far sijaona sehemu yeyote ya Tzn ambayo inapata investment kubwa kukaribiana na Dar/Pwani japo kwa mbali.
Kuhusu barabara licha ya kuwa na maintanance cost kwa kipindi ulichotaji lakini ukweli ni kwamba barabara za lami zikiwa nyingi hata hiyo maintenance cost itapungua kwa sababu loading repeations itakuwa ndogo.Kwa sasa uharibifu ni mkubwa na maintenance cost kubwa kwa sababu barabara ni chache.
Kwamba reli ita stimulate industrial parks ni kweli but kwa pace ipi? Maana tuna reli hadi sasa ,je zime stimulate hizo industrial parks kama ilivyoyarajiwa? Kama hapana je ni kwa sababu reli sio za umeme?
Sipingani moja kwa moja na reli bali napingana na timing yake na kwamba kipi kingepewa msukumo mkubwa Kati ya reli na barabara.
Hoja yangu inabakia pale pale kwa kuwa tayari reli inajengwa serikali ipeleke nguvu nyingi kwenye barabara tena za lami tuifungue Nchi Ili sasa reli ikiwa tayari tupate mzigo wa kusafirisha kwa sababu barabara zinachochea uzalishaji wa haraka zaidi kuliko reli.
Siridhishwi kabisa na hii Kasi ndogo ya kujenga barabara kwa wastani wa km 500-600 kwa mwaka,at least tuwe na km 1200-1600 kwa mwaka.
Tuwe na priority za maendeleo badala ya kwenda kiujumla jumla kulambisha lambisha kila sehemu.
Mi ningekuwa Urusi ningepeleka majeshi mpakani mwa Slovakia halafu tuone kama watahamisha hizo S-300 kwenda Ukraine!
Hawajakaa kimya bali wamejibuMi ningekuwa Urusi ningepeleka majeshi mpakani mwa Slovakia halafu tuone kama watahamisha hizo S-300 kwenda Ukraine!