Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Russia ni wajinga sana kumbe. Wanapark helicopter 18 katika airbase ya Kherson huko Ukraine. Wanachosahau ni kwamba Marekani ana sattelites ambazo zinaweza kuzoom vizuri sana na hio intelligence Marekani anaipatia Ukraine. Sasa Ukraine wamefanya mashambulizi na kulipua helicopter zaidi ya sita. OSINTTechnical ameconfirm kwamba tukio hili lilitokea.
Picha ndio hii hapa.
View attachment 2152617
Russia inadharau sana Ukraine. Inadhani Ukraine haina uwezo wa kufanya mashambulizi makali. Sasa wamepoteza hizi helicopters zote kwa sababu ya ujuha wao.