Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tuondolee ujinga wenu hapa wakenya mshamuona mzungu mungu Ndio mnawapa mashamba wanalima maua nyinyi mnabakia na njaa hivyo vikwazo walituwekea kwenye jnhp je ijajengwa imejengwa
na umuambie kabisa kuwa ukienda na Tz kwenye masuala ya kesi kwenye mahakama za kimataifa hauchomoki lazima aupige mwingi anakupiga chini

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Tangu lini mwarabu akawa na urafiki na mmarekani
Unadhani Saudi Arabia ananunua jet kutoka Uchina au Urusi? Fanya Research yako. UAE amenunua F35 kutoka Marekani. Saudi Arabia ana F16 kutoka Marekani. Fanya research yako. Kuna maelfu ya wanajeshi wa Marekani ambao wapo Saudi Arabia kufanya mafunzo na majeshi wa Saudi Arabia. Marekani ina airbase kubwa sana Qatar. Marekani ina military base kubwa sana Turkey. Fanya Research yako.
 
IMG_5108.jpg

3835c9d1-eb25-41a0-b888-052f9c41d681.jpg

IMG_5107.jpg

IMG_5106.jpg

IMG_5105.jpg
 
Tatizo ni ka-crown King ni kajeuri na amini akiharibu uhusiano na marekani Saudi Arabia amekwishwa ile Kingdom imadumu mpaka sasa kwa hisani ya first the UK then the US! Tangu mauaji ya kashoggi Turkey mahusiano ni ya kuvimbiana ila ile siku Marekani anaondoa manowari zake Riyadh dola inadondoka!
Asante. Natumai Lusematic na Fundi kitasa mumepata masomo kutoka kwa Mtanzania mwenzenu kwamba Waarabu wanawategemea mabeberu hususan USA na UK kwa sector ya ulinzi.
 
Mimi tu nawaomba msione India na China nchi kubwa
duniani zenye gdp top 10 duniani kwa ukubwa zinakaidi Marekani kisha nyie kanchi kadogo kenye gdp chini ya $100 billion mkadhani mnaweza kupimana uzito wa pumbu kwenye ratili na Marekani. Jaribuni kumtunishia Marekani kifua muone kitakachowapata. Tabia hii yenu mbaya ya kujiona mnaweza kupigana na wazungu ndio imefanya mkakosa investors na muwe na uchumi mdogo na umasikini mwingi. Wacheni kuwa anti-west. Wao wazungu ndio owners of capital katika hii dunia. Hata China kampuni nyingi zinamilikiwa na Wazungu, vivyo hivyo Russia. Mafuta na gesi ya Russia inategemea technology na financing kwa asilimia kubwa kutoka kwa wazungu. Akina Total, Shell, Exon Mobil, BP na Eni ndizo zimewekeza sana kule Russia. Hata kampuni za serikali akina Gazprom, Lukoil na Rosneft bado zinaomba loans kutoka kwa benki za Wazungu. BP na Shell zimewekeza vikubwa Russia ikiwemo kuleta new technology. Russia yenyewe inategemea new technology in oil and gas sector kutoka kwa Wazungu. Experts wengi sana wanaotokea Europe na Marekani wapo Russia kufanya kazi.
Unajitahidi kupanga lines zako vizuri,Tanzania hatuwezi kukurupuka kwanza kwa sasa tunaRaisi ambae anaifungua nchi kimataifa...hatuhitaji kukwaruzana na yoyote muda huu tunachohitaji ni kutanua wigo wa uwekezaji kwa kuboresha sera zetu na kueka mazingira rafiki kwa wawekezaji...kwenye mafuta mengi tunaagiza middle east itaendelea kua hivyo unless otherwise kuna sababu ya msingi sana ndio tununue sehemu zingine...pia tunajitahidi kuwekeza kwenye matumizi ya gas na umeme kuendesha mitambo ili kupunguza matumizi ya mafuta iyo ndio dira ya nchi kwa sasa
 
mbona unachukua picha ikiwa inajengwa? still better quality than anthing in Kunyaland!
Why are you ignoring the other pictures ikiwa complete? Ama ukweli ni uchungu and mind you that is Daresaalam vs Mombasa 😅
IMG_20220315_170337_597.jpg
IMG_20220315_170255_180.jpg
IMG_20220315_165712_820.jpg
IMG_20220315_165716_600.jpg
images (45).jpeg
 
Russia inadharau sana Ukraine. Inadhani Ukraine haina uwezo wa kufanya mashambulizi makali. Sasa wamepoteza hizi helicopters zote kwa sababu ya ujuha wao.
Hii vita ni russia v Ukraine Lakini ukraine anapata Msaada mkubwa sana wa silaha , ela, upelelezi kutoka usa,uk, Europe

Wale wale waliosema Iraq kuna silaha za maangamizi Ndio wameanzisha huu uchokozi wa vita.
Ni wale matajiri wa viwanda vya silaha, matajiri wa viwanda mbalimbali ikiwemo mbole, mafuta, gesi na wakulima wa ngano nk

Uchumi wa dunia utayumba !
 
Why are you ignoring the other pictures ikiwa complete? Ama ukweli ni uchungu and mind you that is Daresaalam vs Mombasa 😅View attachment 2152883View attachment 2152884View attachment 2152886View attachment 2152887View attachment 2152888
Ukimwita mtu yeyote smart atakuambia that BRT road is way better planned from more number of lanes to wider service road aside pedestrian lanes! Where's that Mombasa road is a shoddy work some patches have been plastered some have not!
 
Ukimwita mtu yeyote smart atakuambia that BRT road is way better planned from more number of lanes to wider service road aside pedestrian lanes! Where's that Mombasa road is a shoddy work some patches have been plastered some have not!
Dar roads are the ones with potholes everywhere. Ama unapinga nikionyeshe?
 
Back
Top Bottom