Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Saudi Arabia mjinga sana. Regime hio ya King na Prince Salman zinapatiwa protection na Marekani. SAM missiles, F16 jets na training ya wanajeshi. Bila protection ya Marekani hio kingdom ingekuwa imekwisha zamani. Wamezungukwa na maadui tukianzia Iran kisha kuna Yemeni Houthis. Pia kuna internal revolution inayoweza kutokea ukizingatia kwamba Saudi Arabia wananyanyasa haki za kibinadamu za wananchi wao.
Tangu lini mwarabu akawa na urafiki na mmarekani
 
Mimi tu nawaomba msione India na China nchi kubwa
duniani zenye gdp top 10 duniani kwa ukubwa zinakaidi Marekani kisha nyie kanchi kadogo kenye gdp chini ya $100 billion mkadhani mnaweza kupimana uzito wa pumbu kwenye ratili na Marekani. Jaribuni kumtunishia Marekani kifua muone kitakachowapata. Tabia hii yenu mbaya ya kujiona mnaweza kupigana na wazungu ndio imefanya mkakosa investors na muwe na uchumi mdogo na umasikini mwingi. Wacheni kuwa anti-west. Wao wazungu ndio owners of capital katika hii dunia. Hata China kampuni nyingi zinamilikiwa na Wazungu, vivyo hivyo Russia. Mafuta na gesi ya Russia inategemea technology na financing kwa asilimia kubwa kutoka kwa wazungu. Akina Total, Shell, Exon Mobil, BP na Eni ndizo zimewekeza sana kule Russia. Hata kampuni za serikali akina Gazprom, Lukoil na Rosneft bado zinaomba loans kutoka kwa benki za Wazungu. BP na Shell zimewekeza vikubwa Russia ikiwemo kuleta new technology. Russia yenyewe inategemea new technology in oil and gas sector kutoka kwa Wazungu. Experts wengi sana wanaotokea Europe na Marekani wanapenda Russia kufanya kazi.
Mi nazungumzia athari za vita vya urusi na Ukraine . Sisi ni hatufungamani na upande wowote kwenye vita vyao acha wenyewe wamalizane . Halafu investor mbona wanakuja day after day hata wiki hii balozi ya Marekani maana ndio watu mnao waamini amesema maridhiano ya kisiasa yanayoendelea ni jambo jema sana .
 
Investments ninayozungumzia ni investments kubwa kubwa sio hizo investments ndogo mnazopata kwa sasa. Kwa mfano LNG plant ya $30 billion. Umewahi kujiuliza mbona project yoyote kubwa inakuwa financed na serikali ya Tanzania badala ya investors? Mnahitaji investments nyingi na kubwa kubwa kama mtajitoa kutoka kwa umasikini. The same applies to Kenya. Lazima tuweke mazingira bora ili wakuje na politics ni part of mazingira bora. Mkiwa mnatunisha vifua kwa beberu kila wakati basi sahau investments kubwa kuja kwenu. Siasa na uchumi (politics and economics) ni ndugu na dada. Usidhani kwamba kwa siasa utawadharau mabeberu na kuwachezea siasa chafu kisha kwenye uchumi waje kwa wingi kuwekeza kwenu.
 
Mimi tu nawaomba msione India na China nchi kubwa
duniani zenye gdp top 10 duniani kwa ukubwa zinakaidi Marekani kisha nyie kanchi kadogo kenye gdp chini ya $100 billion mkadhani mnaweza kupimana uzito wa pumbu kwenye ratili na Marekani. Jaribuni kumtunishia Marekani kifua muone kitakachowapata. Tabia hii yenu mbaya ya kujiona mnaweza kupigana na wazungu ndio imefanya mkakosa investors na muwe na uchumi mdogo na umasikini mwingi. Wacheni kuwa anti-west. Wao wazungu ndio owners of capital katika hii dunia. Hata China kampuni nyingi zinamilikiwa na Wazungu, vivyo hivyo Russia. Mafuta na gesi ya Russia inategemea technology na financing kwa asilimia kubwa kutoka kwa wazungu. Akina Total, Shell, Exon Mobil, BP na Eni ndizo zimewekeza sana kule Russia. Hata kampuni za serikali akina Gazprom, Lukoil na Rosneft bado zinaomba loans kutoka kwa benki za Wazungu. BP na Shell zimewekeza vikubwa Russia ikiwemo kuleta new technology. Russia yenyewe inategemea new technology in oil and gas sector kutoka kwa Wazungu. Experts wengi sana wanaotokea Europe na Marekani wapo Russia kufanya kazi.
Ebu tuondolee ujinga wenu hapa wakenya mshamuona mzungu mungu Ndio mnawapa mashamba wanalima maua nyinyi mnabakia na njaa hivyo vikwazo walituwekea kwenye jnhp je ijajengwa imejengwa
 
Mimi tu nawaomba msione India na China nchi kubwa
duniani zenye gdp top 10 duniani kwa ukubwa zinakaidi Marekani kisha nyie kanchi kadogo kenye gdp chini ya $100 billion mkadhani mnaweza kupimana uzito wa pumbu kwenye ratili na Marekani. Jaribuni kumtunishia Marekani kifua muone kitakachowapata. Tabia hii yenu mbaya ya kujiona mnaweza kupigana na wazungu ndio imefanya mkakosa investors na muwe na uchumi mdogo na umasikini mwingi. Wacheni kuwa anti-west. Wao wazungu ndio owners of capital katika hii dunia. Hata China kampuni nyingi zinamilikiwa na Wazungu, vivyo hivyo Russia. Mafuta na gesi ya Russia inategemea technology na financing kwa asilimia kubwa kutoka kwa wazungu. Akina Total, Shell, Exon Mobil, BP na Eni ndizo zimewekeza sana kule Russia. Hata kampuni za serikali akina Gazprom, Lukoil na Rosneft bado zinaomba loans kutoka kwa benki za Wazungu. BP na Shell zimewekeza vikubwa Russia ikiwemo kuleta new technology. Russia yenyewe inategemea new technology in oil and gas sector kutoka kwa Wazungu. Experts wengi sana wanaotokea Europe na Marekani wapo Russia kufanya kazi.
mind set ya mkenya ndipo ilipoishia hapo,hatukushangai kukuona ukibwabwaja no sense kwa vile fikra zenu ndiyo zimeishia hapo yaani mtafanya yoote ila mwisho wa siku akili yenu inarejea hapo,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Investments ninayozungumzia ni investments kubwa kubwa sio hizo investments ndogo mnazopata kwa sasa. Kwa mfano LNG plant ya $30 billion. Umewahi kujiuliza mbona project yoyote kubwa inakuwa financed na serikali ya Tanzania badala ya investors? Mnahitaji investments nyingi na kubwa kubwa kama mtajitoa kutoka kwa umasikini. The same applies to Kenya. Lazima tuweke mazingira bora ili wakuje na politics ni part of mazingira bora. Mkiwa mnatunisha vifua kwa beberu kila wakati basi sahau investments kubwa kuja kwenu. Siasa na uchumi (politics and economics) ni ndugu na dada. Usidhani kwamba kwa siasa utawadharau mabeberu na kuwachezea siasa chafu kisha kwenye uchumi waje kwa wingi kuwekeza kwenu.
Tangua mmejiita capitalist wamewasaidia kupata chapooo na githeri? Kuboresha makazi ya watu , kuwalinda na alshabab ?

Kama independent country lazima muwe na msingi wa kusimamia na hayo mambo ya investment sasa hivi hawana mda yataanza . Mbona bomba la mafuta toka Uganda linakuja tanga wakati mwaka jana viongozi wenu walikua mara kwa mara wanaenda Ufaransa. Tanzania msingi wake utu (humanity) na mengine yanafuata simple and clear
 
Saudi Arabia mjinga sana. Regime hio ya King na Prince Salman zinapatiwa protection na Marekani. SAM missiles, F16 jets na training ya wanajeshi. Bila protection ya Marekani hio kingdom ingekuwa imekwisha zamani. Wamezungukwa na maadui tukianzia Iran kisha kuna Yemeni Houthis. Pia kuna internal revolution inayoweza kutokea ukizingatia kwamba Saudi Arabia wananyanyasa haki za kibinadamu za wananchi wao.
Tatizo ni ka-crown King ni kajeuri na amini akiharibu uhusiano na marekani Saudi Arabia amekwishwa ile Kingdom imadumu mpaka sasa kwa hisani ya first the UK then the US! Tangu mauaji ya kashoggi Turkey mahusiano ni ya kuvimbiana ila ile siku Marekani anaondoa manowari zake Riyadh dola inadondoka!
 
Investments ninayozungumzia ni investments kubwa kubwa sio hizo investments ndogo mnazopata kwa sasa. Kwa mfano LNG plant ya $30 billion. Umewahi kujiuliza mbona project yoyote kubwa inakuwa financed na serikali ya Tanzania badala ya investors? Mnahitaji investments nyingi na kubwa kubwa kama mtajitoa kutoka kwa umasikini. The same applies to Kenya. Lazima tuweke mazingira bora ili wakuje na politics ni part of mazingira bora. Mkiwa mnatunisha vifua kwa beberu kila wakati basi sahau investments kubwa kuja kwenu. Siasa na uchumi (politics and economics) ni ndugu na dada. Usidhani kwamba kwa siasa utawadharau mabeberu na kuwachezea siasa chafu kisha kwenye uchumi waje kwa wingi kuwekeza kwenu.
ni lini Tz imewatunishia mabeberu pasipo na reason...?
wacha kuropoka hovyo ukiona Tz inapinga jambo ujue kuna reason huwa hatukurupuki,
na mifano ipo,kwa mfano project ya bandari ya bagamoyo mkataba ni mbovu kupindukia ni magumashi tupu ukija kwenye mikataba ya madini huko napo kulikuwa na madudu kama yote,sasa wewe unataka tuwe tunakubali tu mambo hata kama ni batili kisa yametoka kwa mabeberu ,

acha uchizi tony,nyie endeleeni kuoana ndoa ya jinsia moja na soon ukikaa vibaya beberu atakuja kukufuata na kutaka kukuoa na atakuambia kuwa umshikie mimba na umzalie watoto pacha

Back
Top Bottom