Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Designated area for hotels and shops ni nyuma ya airport unaingilia jet kama unaenda buza hapo mwanzoni tuu before you cross Tazara rail.
Ndivyo ninavyojuaga cku zote kuhusu lile eneo kwamba wakazi walihamishwa pale kwasababu patajengwa mahotel.
 
Naona somo limekuingia vizuri sana sasa umeelewa GDP za African countries hazisaidii kitu sio ila things on the ground is what matters as you evidently stipulated hapo juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] I framed the question nikijua utaingia mzima mzima tuu hapo.

Sasa naona tufunge rasmi suala la GDP hapa East Africa tuwekeze nguvu kwenye tangible things kwa ground.
Hahaha. Umenichekesha sana. 😅😂
Gdp bado ina umuhimu wake japo sio accurate sana.
 
I 📸
🔰 Dodoma Apartments

stan_dalali_dodoma_1647092577537_0.jpg

stan_dalali_dodoma_1647092577537_1.jpg

stan_dalali_dodoma_1647092669901_1.jpg

stan_dalali_dodoma_1647092669911_9.jpg

stan_dalali_dodoma_1647092894358_0.jpg

stan_dalali_dodoma_1647092856880_0.jpg

stan_dalali_dodoma_1647092456902_0.jpg

stan_dalali_dodoma_1647092418962.jpg

Screenshot_20220312-164209.png
 
Designated area for hotels and shops ni nyuma ya airport unaingilia jet kama unaenda buza hapo mwanzoni tuu before you cross Tazara rail.
Mmh I don't think so we umetoa wapi hii wkt kwny proposed Master plan ya aviation kwa JNIA inaonyesha huku ndo kutakuwa na future Terminal Buildings ndo eneo pekee linalo ruhusu kufanya ujenzi wa Terminal Buildings ambazo zitakuwa parallel na runways na pia ndo sehemu pekee inayokuruhusu ku design na kujenga new taxiways!! bila hivyo TAA watatakiwa kutafuta eneo jipya kbs.Hili eneo halipaswi kuguswa kwa sasa litaendelea kuwa reserved.Mark my words.
 
Hiyo ndio master plan ya jiji
 
Back
Top Bottom