Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,738
- 107,188
mwambie dogo asipende vya bure! Era ya JPM ya kutishia watu imeisha!“walio nyuma yenu nawajua”
mim siwajui, ila nahisi hata mim nawajua[emoji23][emoji23]
View attachment 2148248
mwambie dogo asipende vya bure! Era ya JPM ya kutishia watu imeisha!“walio nyuma yenu nawajua”
mim siwajui, ila nahisi hata mim nawajua[emoji23][emoji23]
View attachment 2148248
Siwezi kukubishia but they need to review that kama ni kweli kwa maslahi mapana ya nchi!!! Terminal Buildings ni muhimu zaidi kuliko hata hizo hotels!!!bila hizo Terminal Buildings ambapo abiria watapanda na kushuka hizo hotels ni useless!!!!wateja watatoka wapi?!Hiyo ndio master plan ya jiji
Kwani Ukraine Wana vifaru?, If you don't have it, you can't lose it[emoji23][emoji23][emoji23]Russia wamepoteza vifaru karibu mara nne ya Ukraine. Ukiangalia data ambazo zinatajwa mitandaoni.
nitafurahi akiropoka! alivyo zero anajiona bado untouchable! halafu hata sheria halijui hapa inamaana alitumia madudu ya GSM kuwalazimisha wampe nyumba!Wacha inyeeshe tujue panapovuja. [emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad Utangulizi Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa lenye vioo vilivyochorwa picha za waigizaji wa Kikundi cha Orijino Commedy kinachorusha vipindi...www.jamiiforums.com
Wanafiki nyie,hiyo takataka yenu ya Russia ina faida gani hapa Duniani zaidi ya hasara..Kwani Ukraine Wana vifaru?, If you don't have it, you can't lose it[emoji23][emoji23][emoji23]
nitafurahi akiropoka! alivyo zero anajiona bado untouchable! halafu hata sheria halijui hapa inamaana alitumia madudu ya GSM kuwalazimisha wampe nyumba!
wakimaliza hapo makonda na wenzie waje warudishe fedha walizokwapua Bureau de Change zilizofungwa! Maana kuna kesi inaendelea serikali inadaiwa na cha ajabu baada ya Account za Bureau de Change kufungwa fedha hazikupelekwa hazina yaani badala ya kutaifishwa zilibinafsishwa!mim kama mwenyeji wa hilo eneo regent estate mikochen na wenyeji wenzagu tunajua kuwa eneo ni la makonda.. yan ukipita ukiuliza hii eneo ni ya nan unaambiwa ni kwa makonda.. ni kama kwako mgeni akiuliza hii nyumba ni ya nan unaambiwa ni kwa baba geza [emoji1787].. na aliipata kutoka kwa GSM (wenyeji wote tunajua hili).. makubaliano ya kupeana eneo hatujui.. lkn kwann saiz GSM ndo analitaka tena? hapa kuna mvutano wa team JK vs Magu..
afu dah ridhiwan ni naibu waziri Ardhi
kwenye hii ishu ..
- GSM na makonda wote wanaficha walipeana eneo kwa sababu gani.. ila wote ni wachafu[emoji23]..
- GSM kapata nguvu sababu ya utawala uliopo
Doto James alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha anajua zilienda wapi!hayo hayanihusu, siyajui [emoji16]
Wewe ni mtoto mdogo, hujui lolote kuhusu ushiriki wa Urusi katika kipindi cha kugombea uhuru na baada ya uhuru, kwa kila waafrika 100 waliosoma Ukraine, basi Kuna waafrika 1000 waliosoma Urusi.Wanafiki nyie,hiyo takataka yenu ya Russia ina faida gani hapa Duniani zaidi ya hasara..
Data hizi hapa
View attachment 2148309
Mropokaji huyo achana naye.Wewe ni mtoto mdogo, hujui lolote kuhusu ushiriki wa Urusi katika kipindi cha kugombea uhuru na baada ya uhuru, kwa kila waafrika 100 waliosoma Ukraine, basi Kuna waafrika 1000 waliosoma Urusi.
Maprofesa wengi na wasomi wakubwa hapa Afrika wamesoma Urusi, Ukraine imeanza majuzi kusomesha waafrika. Hujui lolote kuhusu Urusi na Afrika, tunakusamehe na kukuacha Kama ulivyo.
Kugombea uhuru 😁😁😁.Wewe ni mtoto mdogo, hujui lolote kuhusu ushiriki wa Urusi katika kipindi cha kugombea uhuru na baada ya uhuru, kwa kila waafrika 100 waliosoma Ukraine, basi Kuna waafrika 1000 waliosoma Urusi.
Maprofesa wengi na wasomi wakubwa hapa Afrika wamesoma Urusi, Ukraine imeanza majuzi kusomesha waafrika. Hujui lolote kuhusu Urusi na Afrika, tunakusamehe na kukuacha Kama ulivyo.
Mumekuwa mkisema kwamba wanakaribia Kiev kwa wiki tatu sana, kwani watafika lini?Halafu Russia bado wanakaribia Kiev . Yaani wanapigwa lakini wana advance ? Vita lazima kila upande upate hasara lakini mwisho mmoja anashindwa
Wasomi wengi wa zamani wakisoma urusi na CubaWewe ni mtoto mdogo, hujui lolote kuhusu ushiriki wa Urusi katika kipindi cha kugombea uhuru na baada ya uhuru, kwa kila waafrika 100 waliosoma Ukraine, basi Kuna waafrika 1000 waliosoma Urusi.
Maprofesa wengi na wasomi wakubwa hapa Afrika wamesoma Urusi, Ukraine imeanza majuzi kusomesha waafrika. Hujui lolote kuhusu Urusi na Afrika, tunakusamehe na kukuacha Kama ulivyo.
Ficha ujinga wako...Kugombea uhuru [emoji16][emoji16][emoji16].
Faida pekee ya hiyo takataka yenu ni kwenye silaha na mabomu nothing else.
Kugombea uhuru [emoji16][emoji16][emoji16].
Faida pekee ya hiyo takataka yenu ni kwenye silaha na mabomu nothing else.