Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani Geza ulole anaishi dunia ya zamani sn, kunahitajika hotel JNIA, ni jambo la ajabu sana uwanja wa kisasa kama ule unakosa hotel ya kisasa kwa mawazo ya kulipuliwa.
100% na atakayebahatika kuweka hoteli pale itamlipa sana!.ataanza kwanza na mashirika ya ndege!!!ndege zinazodelay au kupata technical fault ni hela!!!achana na mteja mmoja mmoja ama wa makampuni makubwa!pia mjini ni karibu sana.
 
yes ila height restriction ina maana yake! baba si kila kitu ubishi! Hata nyumba zinazozunguka White House DC zina height restriction based on the radius!
Kumbe unajua mambo ya height restriction lakini ile siku ulikuwa unakejeli bridge yetu ya Mombasa inayojengwa kwamba sio suspension bridge? Nikakueleza kwamba kuna height restriction kwa sababu ya airport iliyopo hapo karibu.

FLnn5l7WQAE3PgC.jpeg
 
yes ila height restriction ina maana yake! baba si kila kitu ubishi! Hata nyumba zinazozunguka White House DC zina height restriction based on the radius!
Sijakukatalia mkubwa kwenye hili la height restrictions au tuchimbe chini kdg basement halafu ndo twende juu kwny kufidia 😂
 
Kumbe unajua mambo ya height restriction lakini ile siku ulikuwa unakejeli bridge yetu ya Mombasa inayojengwa kwamba sio suspension bridge? Nikakueleza kwamba kuna height restriction kwa sababu ya airport iliyopo hapo karibu.

View attachment 2147873
kwani suspension bridge au cable stayed bridge inahusiana vp na height restriction? Kwani magari hupita on top of piers?
 
Naomba tudebate bila matusi. Sisi sio adui eti kwa sababu tunasupport timu tofauti. Wewe unasupport Yanga mimi nasupport Simba lakini hio haimaanishi kwamba sisi ni adui.
Ona Russia anavyoshushiwa kichapo na TB2 drone kutoka Turkey. Yaani baada ya tank ya kwanza kupigwa bomb, unaona wanajeshi wa Russia wanashuka kutoka kwa tank zao kukimbia kuokoa maisha yao. Tank zingine zinageuza na kutoroka. Hii ni video mpya, hio sio ile ya jana.

Halafu vita hii ya Ukraine inatuhusu sisi Waafrika kwa sababu bei ya bidhaa inapanda, ikiwemo bei ya mafuta na vyakula kama ngano. Tazama PM wa Barbados alivyosema.
Kifaru chenyew kilicho pigwa ninkimoja, alafu wanaunganisha picha za matukiontofauti
 
kwani suspension bridge au cable stayed bridge inahusiana vp na height restriction? Kwani magari hupita on top of piers?
Suspension bridge au cable stayed bridge huwa ina pillars mrefu sana. Ndege inaweza kucollide nayo wakati inaland au wakati inatake-off. Nyie mna bahati bridge zenu hazipo karibu na airport. Tazama hii Nyerere bridge ilivyo na pillars ndefu kisha uimagine kwamba ipo karibu na airport kwenye njia ya ndege wakati ndege inataka kutua au kuruka. Hii Nyerere bridge imejengwa na pillars ndefu hivyo kwa sababu ipo mbali na airport kwa hivyo hakuna ajali ya ndege inayoweza kutokea.

images (1).jpeg
 
Pia wana gdp per capita kubwa kushinda Kenya lakini huko kwao kila mtu ana genereta nyumbani na kazini kwa sababu ya ukosefu wa umeme hakika [emoji28] [emoji1787] . Kenya hakuna mtu hata mmoja ambaye ana genereta nyumbani kwa maana umeme ni stable sana na haupotei hovyo hovyo kama inavyofanyika Nigeria.
Ndio ujue kwamba GDP is nothing if doesn't support wellbeing of citizen, the same as Kenya's GDP interms of 1)Unemployment, 2)Hunger, 3)Crime rate, 4)Water availability 5)Accessibility to medical services, 6)Corruption, and many others
 
Hahaha Mimi sipingi kwamba TB 2 au 3 ina reviews nzuri kwenye internet. Nimeshasema kwamba airport terminal yenu ni ya kisasa na inapendeza kweli. Sasa haishangazi kwamba abiria wanaifurahia na kuipatia ratings nzuri. Lakini pia nimesema kwamba airport yetu ya JKIA ambayo mimi nakubali terminals zake nyingi ni nzee, bado inapokea abiria wengi kushinda airport zenu zote. Itawachukua angalau miaka mitano ili airport zenu zote kufikia kiwango au idadi ya abiria ambayo JKIa inapokea kwa sasa.

Cc Geza Ulole
Sasa mbona unachanganya?, Hivi ni vipengele viwili tofauti
1)Biggest and modern Airport
2)Busiest Airport.
 
Hii ipo wazi toka mwanzo tulikua tunasema $ inaenda pigwa down fall moja ya ajabu . Imagine China wakisema wanauza vitu vyao kwa nchi only by using yuan . Mzunguko wa hela ndio ujenga thamani ya currency .

Kumbuka China na India ni almost robo ya population duniani kote . Plus Russia , Iran na nchi nyingine za zitakounga mkono . USA wanapoteza kuwa superpower tactical without WW3
 
Kuna kipindi airport walitaka kujenga rest houses ule ulikuwa bonge la mpango hasa upande wapili wa barabara kuanzia kwny reli kuja juu wangewalipa fidia wakazi wakachukua eneo lote na kumwaga rest houses mwisho ghorofa mbili,Air bnb yaani zingejilipa fasta sana unaweka na kashopping center!!kuna watu hawapendi usumbufu wale wasafiri wa mara kwa mara wangezilipia hata mwaka mzima!!!!
Inawezekana ndio maana maeneo karibu na nyerere road opposite na airport yamenunuliwa kitambo lakini hayajaendelezwa. Labda walitaka kuoverprice kwenye ujenzi wa hizo rest house
 
Suspension bridge au cable stayed bridge huwa ina pillars mrefu sana. Ndege inaweza kucollide nayo wakati inaland au wakati inatake-off. Nyie mna bahati bridge zenu hazipo karibu na airport. Tazama hii Nyerere bridge ilivyo na pillars ndefu kisha uimagine kwamba ipo karibu na airport kwenye njia ya ndege wakati ndege inataka kutua au kuruka. Hii Nyerere bridge imejengwa na pillars ndefu hivyo kwa sababu ipo mbali na airport kwa hivyo hakuna ajali ya ndege inayoweza kutokea.

View attachment 2147913
Kwa hiyo unataka kusema hii pillar ni zaidi ya 50 m? Na along that bridgde, a tower of 50 m can not be errected? Can u back up ur claim? and what about the cable stayed structural designs u people were posting in here?
 
Pia wana gdp per capita kubwa kushinda Kenya lakini huko kwao kila mtu ana genereta nyumbani na kazini kwa sababu ya ukosefu wa umeme hakika [emoji28] [emoji1787] . Kenya hakuna mtu hata mmoja ambaye ana genereta nyumbani kwa maana umeme ni stable sana na haupotei hovyo hovyo kama inavyofanyika Nigeria.
Naona somo limekuingia vizuri sana sasa umeelewa GDP za African countries hazisaidii kitu sio ila things on the ground is what matters as you evidently stipulated hapo juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] I framed the question nikijua utaingia mzima mzima tuu hapo.

Sasa naona tufunge rasmi suala la GDP hapa East Africa tuwekeze nguvu kwenye tangible things kwa ground.
 
Yes kaka pale kwny eneo la wazi krb na kituo cha mafuta cha puma,TCAA ambao ni regulator wao hawana shida maana si upande unaoathiri kuruka na kutua kwa ndege ukiangalia runways designation!Inaoneka hata upande wa pili wa barabara umedumaa au unaendelea mdogo mdogo sana kwa ajili ya vikwazo kama hivi vya jiji na kuwepo kwa kambi ya jeshi!!haya ni mawazo yangu binafsi.
Designated area for hotels and shops ni nyuma ya airport unaingilia jet kama unaenda buza hapo mwanzoni tuu before you cross Tazara rail.
 
Back
Top Bottom