Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa hakuna haja ya kuhusisha wazungu. Hawa Al shabab tunastahili kuwapiga sisi wenyewe.
Nyie mshashindwa, hii vita ipo tangu Ukiwa kijana mdogo na bado mpk ss wanawasumbua lkn huoni wazungu wakitia japo neno, ila Ukraine wamesumbuliwa kdg tu tayari mabeberu washatia mikono yao, jibu ni kwamba wazungu hawana interest yoyote na Kunyaland, so mnawashabikia watu ambao hawajali utu zaidi ya kitu.
 
let me tell you this jiwe la moto, a terrorist is a very coward person, that's why they come in plain clothes, study the place first before they could ambush. they are coward because they always look for very soft targets, the civilians.. they can strike anywhere and without any prior notice.. its not tht kdf is weak or underperforming as you say, but because they are dealing with these unpredictable animals
Stop excuses and face reality, Alshababs have military uniform and they hide within boni forest before they attack. They carry guns and other weapons, if KDF can't go and establish buffer zone and prevent Alshababs from using boni forest, that is great weakness, why can't Alshababs attack Ethiopia regularly.

Do you remember one year ago when terrorists from Mozamvique attacked village in Tanzania, since then JWTZ established buffer zone, is not easy for more attacks to happen. Truly speaking KDF is very weak army.
 
Nigeria ina nafuu kushinda Kenya? Kivipi? Unaijua Nigeria vizuri kweli? Wao wamepigwa na boko haram kushinda Kenya tulivyopigwa na Al shabab. Wao hawana umeme hakika na kila duka au jumba lina genereta kwa maana umeme huwa unakuja kwa masaa manne kisha unasepa. Kenya tuna umeme wa hakika ambao haupotei kushinda nchi yoyote ukanda huu. Nigeria ni corrupt kushinda Kenya.
Wote ninyi mnafanana, kupenda kujisifu lakini hali za maisha ni ngumu, ndio sababu wakenya na wanaigeria wanaongoza kutoroka nchini mwao, GDPs hazifanyi kazi yoyote
 
Watoe wapi, kwanza bus zimeongezwa siti tofauti na zilivyokuja, yani abiria ukifika final destination unakuwa hoi kama ulikuwa unabeba mizigo, alafu kuna baadhi ya safari huko Kunyaland unatumia mpk siku mbili njiani kutokana na ubovu wa road.
Izi anasa sielewi kwann wakenya wanapenda kupanda matatu yani safari km 300 unapanda kipanya
 
Wote ninyi mnafanana, kupenda kujisifu lakini hali za maisha ni ngumu, ndio sababu wakenya na wanaigeria wanaongoza kutoroka nchini mwao, GDPs hazifanyi kazi yoyote
Hawa jamaa huwa siwaelewi utakuta mtu anatoroka nchini kwao anaenda marekani kujiunga na jeshi la marekani ili apewe uraia alafu sio mmoja ni wengi mm nilijuaga hawana uzalendo kumbe ni hali ya maisha nchini kwao na hulka zao pia za kuwaabudu wazungu
 
Naomba tudebate bila matusi. Sisi sio adui eti kwa sababu tunasupport timu tofauti. Wewe unasupport Yanga mimi nasupport Simba lakini hio haimaanishi kwamba sisi ni adui.
Ona Russia anavyoshushiwa kichapo na TB2 drone kutoka Turkey. Yaani baada ya tank ya kwanza kupigwa bomb, unaona wanajeshi wa Russia wanashuka kutoka kwa tank zao kukimbia kuokoa maisha yao. Tank zingine zinageuza na kutoroka. Hii ni video mpya, hio sio ile ya jana.



Halafu vita hii ya Ukraine inatuhusu sisi Waafrika kwa sababu bei ya bidhaa inapanda, ikiwemo bei ya mafuta na vyakula kama ngano. Tazama PM wa Barbados alivyosema.

Safi Sana walichezea hadi wakaanza jufyatua hovyo mizinga bila kujua wanapiga wapi 😁😁😁
 
Legacy ambayo itaishi daima

Screenshot_20220312-093524.png
 
Hili jengo ni tamu sana hasa ukipandisha ngazi departure kuelekea immigration booth natural light na air conditioning itakufanya ujiskie raha na kujiona uko sehemu tofauti kbs!baada ya hapo panda ngazi kuelekea departure lounge unakutana na maduka ya kisasa yaliyo dizainiwa kwa ustadi mkubwa plus upande wa pili kuta za vioo ukitazama ndege zilizopaki pamoja na eneo lenye uwanda mkubwa uliowazi!!!.
 
Back
Top Bottom