Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Aisee dubai kuzuri🤔
SA, 8 months ago.
aah wapi.? 8months ago, ukrain war haikua imeanza. ona hapo putin na biden wanafanya nini. nilikwambia kenya na souz zafrica, wote tuna sail kwenye boat moja. sisi wote tumeanza kwa pamoja hizi E buses
View attachment 2147149
hawezi ku-afford chapoo huyu ni mtu wa sukumawiki, sima na kideri!Hapo ushaenda kibandaski umemanga chapo ndondo hadi umevimbiwa kiasi kwamba huwezi soma ni lini vidaa imepostiwa!
hawezi ku-afford chapoo huyu ni mtu wa sukumawiki, sima na kideri!
Uko serious au unafurahisha genge muda Upite?aah wapi.? 8months ago, ukrain war haikua imeanza. ona hapo putin na biden wanafanya nini. nilikwambia kenya na souz zafrica, wote tuna sail kwenye boat moja. sisi wote tumeanza kwa pamoja hizi E buses
View attachment 2147149
Mropokaji huyo hamna kitu anajua.War has rules. The Geneva convention.
Mropokaji yule kwani hamjamzoea tu.SA, 8 months ago.
Huyo muwache na upumbavu wake, infrastructures za ku handle electric buses hawana matokeo yake E-buses wanazichanganya na Matatu, alafu vi bus vyenyewe vipo viwili wanasiasa wamevileta kwa ajili ya kupatia votes c unajua jamaa majinga haya yanapelekwa kama mang'ombe.Just to mention few cities
E buses zipo
Jozi
Capetown
Pretoria
Durban
Cairo
Some cities in Morocco. Alafu uko hapa kusema eti E buses za NAIROBI ni the first in Africa![]()
Cku hizi wameacha kabisa kuongelea Hilo suala.Kwani hawa si ndio zao walikuwa wanasifia reli yao wakisema ni best kuliko yetu lakini kadiri muda unavyoenda wanazidi kupoteana.
Mlevi huyo msimpe attention.Uko serious au unafurahisha genge muda Upite?
naombeni mumtag na yule zwazwa😂😂😂 wakiambia tanzania hakuna slum wanalia