Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My dearest brother from another mother, I recommend you to go study History.. history subject, history subject, history subject .. kwani Kenya mitaala yenu ya elimu ikoje ikija suala kusoma history.?
Mimi naongea mambo ya sheria wewe unaongea mambo ya historia. Mbona hatuelewani? Mimi namuuliza Geza Ulole kama anachofanya Putin ni sawa kisheria (international law). Wewe ukitaka kujibu hilo swali pia unaweza kulijibu ila swali ni la Geza Ulole.
 
Can Dar is slum have streets like these.

This is Nairobi.

1646732971300.jpg

1646732982492.jpg
 
Mimi naongea mambo ya sheria wewe unaongea mambo ya historia. Mbona hatuelewani? Mimi namuuliza Geza Ulole kama anachofanya Putin ni sawa kisheria (international law). Wewe ukitaka kujibu hilo swali pia unaweza kulijibu ila swali ni la Geza Ulole.
Bro history ni chanzo cha kila taarifa unayoijua wew Duniani hapa, soma kwanza History, pitia hiyo sheria or agreement, wianisha then utajua wether Russia is correct or not, lakini uki miss kitu kimoja kati ya hivyo (hususan history) utakosea kwenye kujua haki na batili .. And that's why I hardly recommend you my dear brother to go study History first alafu uje upitie hizo sheria ili kusudi utoke na majibu sahihi
 
Sheria ni sheria mzee. Nchi moja haiwezi kuivamia nchi nyingine eti kwa sababu nchi hio inataka kujiunga na Nato. Hio sio sheria. Wewe pia unastahili kuelewa international law. Soma sheria za nchi (international law) ndio uje kudebate hapa. Halafu mambo ya history hunishindi ila mimi nataka kujikita kwenye suala la sheria, Vladimir Putin alichofanya kuvamia Ukraine ni kinyume cha sheria. Full stop.
 
Sie ni masikini kama nyinyi ila pia masikini huwa hawatoshani. In 2019, Gdp per capita ya Tanzania ilikuwa $1,150 na gdp per capita ya Kenya ilikuwa $1,800. Gdp per capita ya Kenya ni almost double yenu.
GDP per capita sio kipimo kizuri cha utajiri au umasikini huwezi ukachukua hela za kina Kenyatta na kina Delamere ukagawe kwa watu wa slums pale kibera na kwingineko. PPP ndio kipimo sahihi cha uchumi.
 
Tony wacha kuchekesha watu, kwamba nchi namba 11 duniani with GDP of 1.4 trillion (It will take you 100 years to reach where they are right now) and GDP per capita of $10,000 na ni millitary super power of the world, unaiita ni nchi maskini .? Are you crazy or something.? Okay tuambie hizo developed countries ni zipi sasa za ulaya..?
but still the UN ie. WorldBank still class Russia and even China.!! as Developing Countries or 3rd World.! if we are to get to the reality of things. they are still viewed in the western world as poor countries despite their fame and both of them having a per capita income of more than $10,000 and oftenly seen as 'SuperPowers' countries...
 
Siasa za Tanzania hapana mzee. Hapo nimekataa kabisa. Isipokuwa Magufuli ambao Wakenya wengi walimkubali mwanzoni, Wakenya hawafuatilii siasa zenu. Ukienda kwa streets za Kenya umuulize Mkenya jambo lolote kuhusu siasa za TZ wengi hawana habari. Huo tu ndio ukweli.
Sasa mlivokuwa mnasema mataga, nyumbu mara kijana wa lumumba humu ndani mlikuwa hamfuatilii sio.
 
Sasa kwako unaona kwamba Russia ina right ya kuivamia nchi huru? Minsk agreement haikupatia Russia ruhusa ya kuivamia Ukraine. Jambo la Russia kuivamia nchi huru ni war crime na crime against humanity. Hapo Russia wamevunja international law japo wewe na wenzako mnawashabikia.
why not kama Ukraine ina-violate?
 
Sheria ni sheria mzee. Nchi moja haiwezi kuivamia nchi nyingine eti kwa sababu nchi hio inataka kujiunga na Nato. Hio sio sheria. Wewe pia unastahili kuelewa international law. Soma sheria za nchi (international law) ndio uje kudebate. Halafu mambo ya history hunishindi ila mimi nataka kujikita kwenye suala la sheria, Vladimir Putin alichofanya kuvamia Ukraine ni kinyume cha sheria. Full stop.
US anavyovamiaga Vietnam, Iran, Iraq, Libya na mataifa mengine ya kiarabu, au Israel wanavyowapigaga Palestine ni Sheria wao kufanya hivyo? au si sheria tu Russia kuchukua hatua za kinidhamu kijilinda na adui yao NATO.? Waafrika tumelaaniwa na nani.? 🥺🥺Tumelia kuonewa, kunyonywa, kuibiwa rasilimali zetu, kubaguliwa, wameuliwa mamilioni ya baba zetu.. Anajitetea mwenye kujitetea kutoka mikono ya unyonyaji, dhulma na uovu wa kila rangi.. eti tunazungumza masuala ya international law .. ujinga kama huu ungeuongea mbele mzalendo magufuli ungefukuzwa kazi papo hapo
 
Usitafute lame excuse uarabuni jangwa na watu wametengeneza miji
so ni sisi ndo unataka tuishi jangwani na wao hapana..

hebu ziangalie hizi picha kwa kina, angalau 86% ya mataa inawaka kwenye sehemu palipo na rangi ya kijani. yani tuko kileleni karibu kumalizia sehemu yetu. sasa ni zamu ya bongo

tafsir 👇🏽

compare and contrast. atleast upto 86% of habitable areas are well lit. we're almost done with our part. now its upto tz

Screenshot_20220303-190329_Earth.jpg
Screenshot_20220303-190956_Chrome.jpg
 
but still the UN ie. WorldBank still class Russia and even China.!! as Developing Countries or 3rd World.! if we are to get to the reality of things. they are still viewed in the western world as poor countries despite their fame and both of them having a per capita income of more than $10,000 and oftenly seen as 'SuperPowers' countries...
Na kama na wewe unaamini hivyo basi na wewe ni mpuuzi wa kutupa ... Au unajua neno development linamaanisha nini.?
 
Sie ni masikini kama nyinyi ila pia masikini huwa hawatoshani. In 2019, Gdp per capita ya Tanzania ilikuwa $1,150 na gdp per capita ya Kenya ilikuwa $1,800. Gdp per capita ya Kenya ni almost double yenu.
nope Tony254, ya kenya actually ni $2,300
 
GDP per capita sio kipimo kizuri cha utajiri au umasikini huwezi ukachukua hela za kina Kenyatta na kina Delamere ukagawe kwa watu wa slums pale kibera na kwingineko. PPP ndio kipimo sahihi cha uchumi.
Ikosoe gni per capita unavyotaka wewe ila hakuna kigezo better than that kwa sasa. Pengine HDI ila HDI haitumiki sana kama Gni per capita. Gni per capita inapendwa sana. Cha kushangaza ni kwamba nchi ambazo zina Gni per capita kubwa pia ndio nchi ambazo zina HDI kubwa. Usitegemee Russia na China kuwa na HDI kubwa kushinda Belgium au USA. China na Russia zina HDI ndogo na pia zina Gni per capita ndogo kushinda za Western Europe na Northern America. So hata ukitoroka Gni per capita hutapona tukienda kwenye HDI (Human development Index).
Cc Sama boy 255
BlietzKrieg
dyfre
 
Kuhusu mziki wa Tanzania pekee ndio nakubali. Wakenya wanajua wanamuziki wenu. Wakenya hawajui wanasiasa wenu isipokuwa Magufuli. Watanzania wengi wanajua wanasiasa wa Kenya. Unakubali hilo? Watanzania wengi wanafuatilia siasa ya Kenya kwa karibu kwa maana ina vituko, vichekesho, mbwembwe na maajabu mengi. Ukiona idadi ya nyuzi za siasa za Kenya hapa JF zilizoanzishwa na Watanzania, ni nyingi sana. Halafu wachangiaji pia ni watanzania halafu ukisoma unaona kweli wanafahamu siasa za Kenya.
actualy kenya ndio superpower wa eastern and central africa. hilo ni jambo lenye liko wazi kabisa na hakuna wa kupinga
 
😂😂😂 Naomba nikueleze hivi wanaojua kuhusu siasa za kenya ni wanasiasa tu au mashabiki wa siasa. Watanzania wa kawaida hawajui chochote kuhusu Kenya.

Nyie mnafuatilia mambo mengi ya Tz kuliko sisi,

Muziki
Filamu
Mpira wa miguu kwa ngazi ya vilabu
Ngumi za kulipwa (professional boxing)
Siasa

Pitia kwenye kurasa za habari za Bongo utawaona wakenya tofauti tofauti wakijadili mambo yetu kwenye masuala tajwa hapo juu

Sisi tumeitawala EA kwenye hayo mambow tajwa hapo juu, kuna tofauti kati ya kutawala na kuongoza.. sisi bongo tumetawala EAST and central Africa kwa culture zetu na mengi tu kama nilivyoorodhesha hapo juu, ndio maana hata kwenye top list zenu kuna majina ya Watanzania wengi kuliko nyinyi wenyewe
aky ni muziki tu pekee wajameni, hizo zingine zote ndo inaitwagwa po.p.porojo...

😆 hadi nimecheka yangu yote. eti wakenya wanafuatilia soccer ya tanganyika. infact ni mimi tu ndo najua yanga na simba nnn. eti pia siasa za tz..... kwenye siasa za tz, magufuli alijulikana huku kwasababu ya kuwauwa vifaranga zetu 6,000.! na pia kwasababu alikufia huku. mwingine ni tundu lissu, kwasababu alifurushwa na magaful, akaona heri aje kenya akatibiwe.. ni hayo tu kwa ss..
 
Back
Top Bottom