Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Russia has totally failed to take over ukraine ,imagine this is the 13 day since they invaded but wame pata resistance ya hali ya juu...usisahau russia is ranked as super power country after USA..We were expecting an easier take over for russia .usisahau urusi pia ilikuja ikatandikwa Afghanistan..walipojaribu kuenda vita nao..usicheze na vita ya kujipatia uhuru kwenye nchi..Do you remember vietnam war when USA decided to invade the country uliona hio resistance walipata..i remember B52 plane venye zilibomb hio nchi ikabaki kama moon space..Trust me the longer it takes for russia to take over ukraine..the more complicate it will be for them.
13 days in war is like a blink of an eye, Russia and the likes of USA have proven that they can sustain wars for decades while their homelands continue to prosper eg. Chechenia war, Iraq war. Ukraine is being destroyed and everybody is running away.
And Russia has already won by annexing Crimea, Luhansk & Donetsk as independent states.
 
Ata mimi nashanga na hawa..Hakuna vita kali kama watu wote kwenye nchi wameamua kuungana na kupigania nchi yao..Ata UKraine bado haijamalizwa..ungeangalia Vietnam..especially kuna ile vita ya operational Line backer 1 na line backer 2...ungeona venye B52 iliponda hio nchi ikarudi kwa stone age ungewaonea huruma...This war is special coz nikama..wanaichi wa urusi na wanajeshi pia hawajaipenda..na the other side wanaichi wa Ukraine wako na morale ya vita and very determined..For me let Americans arm the UKraine alafu tuone penye wanaeza fikishana but trust me Russia has totally failed..Tke this example nikama TZ inataka kujoin SADC but kenya inakata na ku decided to invade..dont you think it will be fair for tanzania to decide to defend them self basing on TZ ni nch dependent and can decide to make its own decision with out approval ya Kenya..
I agree. Ukraine has every right to decide which block they want to join. They are a free independent sovereign country. Mimi nataka Russia wanyoroshwe ile proper hadi washike adabu. Inaonekana ile kiboko walipata Afghanistan haikuwatosha.
 
Lakini unakubali kwamba wakenya mnajua zaidi kuhusu Tz kuliko wabongo wanavyojua kuhusu Kenya.?
Kuhusu mziki wa Tanzania pekee ndio nakubali. Wakenya wanajua wanamuziki wenu. Wakenya hawajui wanasiasa wenu isipokuwa Magufuli. Watanzania wengi wanajua wanasiasa wa Kenya. Unakubali hilo? Watanzania wengi wanafuatilia siasa ya Kenya kwa karibu kwa maana ina vituko, vichekesho, mbwembwe na maajabu mengi. Ukiona idadi ya nyuzi za siasa za Kenya hapa JF zilizoanzishwa na Watanzania, ni nyingi sana. Halafu wachangiaji pia ni watanzania halafu ukisoma unaona kweli wanafahamu siasa za Kenya.
 
Tunafuatilia siasa zenu zina itikadi za kikabila, hazina sera wala mrengo!
 
Tunafuatilia siasa zenu zina itikadi za kikabila, hazina sera wala mrengo!
Nyie Watanzania siasa za Ethiopia ambazo zina ukabila hata kushinda za Kenya kiasi cha wao kuchinjana wenyewe kwa wenyewe mbona hamuzifuatilii? Sema tu mnatupenda. 😀 😀
 
Kuhusu mziki wa Tanzania pekee ndio nakubali. Wakenya wanajua wanamuziki wenu. Wakenya hawajui wanasiasa wenu isipokuwa Magufuli. Watanzania wengi wanajua wanasiasa wa Kenya. Unakubali hilo? Watanzania wengi wanafuatilia siasa ya Kenya kwa karibu kwa maana ina vituko, vichekesho, mbwembwe na maajabu mengi. Ukiona idadi ya nyuzi za siasa za Kenya hapa JF zilizoanzishwa na Watanzania, ni nyingi sana. Halafu wachangiaji pia ni watanzania halafu ukisoma unaona kweli wanafahamu siasa za Kenya.
😂😂😂 Naomba nikueleze hivi wanaojua kuhusu siasa za kenya ni wanasiasa tu au mashabiki wa siasa. Watanzania wa kawaida hawajui chochote kuhusu Kenya.

Nyie mnafuatilia mambo mengi ya Tz kuliko sisi,

Muziki
Filamu
Mpira wa miguu kwa ngazi ya vilabu
Ngumi za kulipwa (professional boxing)
Siasa

Pitia kwenye kurasa za habari za Bongo utawaona wakenya tofauti tofauti wakijadili mambo yetu kwenye masuala tajwa hapo juu

Sisi tumeitawala EA kwenye hayo mambow tajwa hapo juu, kuna tofauti kati ya kutawala na kuongoza.. sisi bongo tumetawala EAST and central Africa kwa culture zetu na mengi tu kama nilivyoorodhesha hapo juu, ndio maana hata kwenye top list zenu kuna majina ya Watanzania wengi kuliko nyinyi wenyewe
 
Russia bado ni masikini. Hawa wajinga hawaelewi mambo ya uchumi vizuri. Russia Gdp per capita yake ni around $10,000 wakati Gdp per capita ya Marekani ni zaidi ya $50,000 na bado wanataka kusema eti Russia ni developed country. Halafu hizi sanctions zitaifanya Russia iwe masikini zaidi. Saa hii Ruble imekosa thamani kabisa na kadri thamani ya sarafu dhidi ya dollar inavyozidi kushuka ndio pia Gdp norminal inavyozidi kushuka.
Yaani ata Mauritius na Seychelles wako juu!!!
Ndio maana watali wao wako Zero worldwide!!!
 
😂😂😂 Naomba nikueleze hivi wanaojua kuhusu siasa za kenya ni wanasiasa tu au mashabiki wa siasa. Watanzania wa kawaida hawajui chochote kuhusu Kenya.

Nyie mnafuatilia mambo mengi ya Tz kuliko sisi,

Muziki
Filamu
Mpira wa miguu kwa ngazi ya vilabu
Ngumi za kulipwa (professional boxing)
Siasa

Pitia kwenye kurasa za habari za Bongo utawaona wakenya tofauti tofauti wakijadili mambo yetu kwenye masuala tajwa hapo juu

Sisi tumeitawala EA kwenye hayo mambow tajwa hapo juu, kuna tofauti kati ya kutawala na kuongoza.. sisi bongo tumetawala EAST and central Africa kwa culture zetu na mengi tu kama nilivyoorodhesha hapo juu, ndio maana hata kwenye top list zenu kuna majina ya Watanzania wengi kuliko nyinyi wenyewe
Siasa za Tanzania hapana mzee. Hapo nimekataa kabisa. Isipokuwa Magufuli ambao Wakenya wengi walimkubali mwanzoni, Wakenya hawafuatilii siasa zenu. Ukienda kwa streets za Kenya umuulize Mkenya jambo lolote kuhusu siasa za TZ wengi hawana habari. Huo tu ndio ukweli.
 
I agree. Ukraine has every right to decide which block they want to join. They are a free independent sovereign country. Mimi nataka Russia wanyoroshwe ile proper hadi washike adabu. Inaonekana ile kiboko walipata Afghanistan haikuwatosha.
read Minsk Agreement kwanza ndo ujue kwanini Russia imeivamia Ukraine pia fuatilia historia ya Ukraine independence na Europe during Napoleone wars ujue kwanini Russia imebidi ifanye inachofanya Ukraine location is a soft belly of Moscow invasion! Msiwe mnaropoka kama wajinga jueni sababu za mgogoro kwanza!
 
read Minsky Agreement kwanza ndo ujue kwanini Russia imeivamia Ukraine pia fuatilia historia ya Europe during Napoleone wars ujue kwanini Russia imebidi ifanye inachofanya Ukraine location is a soft belly of Moscow invasion! Msiwe mnaropoka kama wajinga jueni sababu za mgogoro kwanza!
Shida ya bro Tony254 hajasoma history na hajui vitu vingi Kuhusu dunia kwenye upande huu na yaliyofichikana, ye anaenda na western media propaganda tu and his little knowledge kuhusu haya mambo..
 
read Minsk Agreement kwanza ndo ujue kwanini Russia imeivamia Ukraine pia fuatilia historia ya Europe during Napoleone wars ujue kwanini Russia imebidi ifanye inachofanya Ukraine location is a soft belly of Moscow invasion! Msiwe mnaropoka kama wajinga jueni sababu za mgogoro kwanza!
Sasa kwako unaona kwamba Russia ina right ya kuivamia nchi huru? Minsk agreement haikupatia Russia ruhusa ya kuivamia Ukraine. Jambo la Russia kuivamia nchi huru ni war crime na crime against humanity. Hapo Russia wamevunja international law japo wewe na wenzako mnawashabikia.
 
My dearest brother from another mother, I recommend you to go study History.. history subject, history subject, history subject .. kwani Kenya mitaala yenu ya elimu ikoje ikija suala kusoma history.?
 
Back
Top Bottom