Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utakua mpuuzi wa kubishana na ukweli mpaka lini wewe.? Tony ndio mkenya mstaarabu mwenye akili timamu na haongei uongo ijapojuwa ana kawaida ya kusahau na anajua niliyosema hapo yote ni ya kweli ametia shaka kwenye siasa tu.. lakini kila nilichosema hapo ni 100% true
Na wewe je? Wewe ni mustaarabu? Watanzania wenzako humu ni wastaarabu?
 
Can't you clearly see that lights are everywhere in Dar es Salaam.? 👇View attachment 2143028View attachment 2143029heb Angalia hili giza la NAIROBI 👇View attachment 2143032na hii mnataka kubishana pia.? Eti Tony254 .?
First of all, you are not substanciating the size of any of those maps with a scale.
Secondly, the satellite image of Dar looks more clear, i can make out streets and highways whereas the Nairobi one is totally not clear, this should show you that the Nairobi image was taken at a higher elevation or zoomed higher than the latter...
 
aky ni muziki tu pekee wajameni, hizo zingine zote ndo inaitwagwa po.p.porojo...

😆 hadi nimecheka yangu yote. eti wakenya wanafuatilia soccer ya tanganyika. infact ni mimi tu ndo najua yanga na simba nnn. eti pia siasa za tz..... kwenye siasa za tz, magufuli alijulikana huku kwasababu ya kuwauwa vifaranga zetu 6,000.! na pia kwasababu alikufia huku. mwingine ni tundu lissu, kwasababu alifurushwa na magaful, akaona heri aje kenya akatibiwe.. ni hayo tu kwa ss..
Acha kupishana na ukweli,pitia page za Tanzania za uchumi siasa Nk.uone wakenya wenzio walivyojazana,harafu nenda kwenye page zenu uone kuna watanzania wangapi.
 
Hio ni pesa nyingi sana kwa mtu wa boda boda ukizingatia bei ya bodaboda mpya kutoka China ni ksh 80,000 sasa ukimtoza faini ya ksh 35,000 si umemuuwa kabisa? Yaani nchi za Africa zinajua tu kunyanyasa masikini lakini matajiri wanaoiba mabilioni ya fedha wanaachiwa waendelee kuiba.
I think it's more about trying to bring sanity to that sector and reducing indiscipline. It's beyond the fine...did you see how the crazy fines for putting posters on highway underpasses worked? It's more like it, and besides, you don't break the rules, you don't get fined so I think it's a good move.
 
express.png
 
hii tu ndo takwamu ya kwanza.! i mean the very first one☝.. bongo inakaa kutubiku, othws sijaai ona ingine. na kama iko, leta View attachment 2143409
Kubiku ndio nini? 😅😅😅😅

Wakenya mna accent mbaya kichizi wengine wanatamka juisi ni chuisi, wengine chips ni chubusi hahahaha huwa nawashangaa Watanzania wanaoshindwa kutofautisha L na R lakini baada ya kuwasikia wakenya nikaacha kulaumu
 
Wewe unaweza kulinganisha gdp per capita ya $10,000 na gdp per capita ya zaidi ya 50,000 ya nchi hizi?
1. Canada
2. Japan.
3. Australia
4. UK
5. France.
6. Belgium
7. Germany
8. USA

Hizi nchi zote zina gdp per capita ya $50,000 au zaidi.
Wacha ujinga najua izo nchi zimeendelea sana lakini sio zote zimecross gdp per capital ya $50k,to be precise Uk,Japan ziko somewhere btn $30k-$40k
 
As of 2020 china GDP per capita was 10,500, does that mean all them countries you have mentioned ar richer than china or even close.?
Ndio ni matajiri kuliko.shilingi 1,000,000 kwa MATUMIZI ya mtu mmoja wakigawana watu 6 hawawezi flex
 
Sie ni masikini kama nyinyi ila pia masikini huwa hawatoshani. In 2019, Gdp per capita ya Tanzania ilikuwa $1,150 na gdp per capita ya Kenya ilikuwa $1,800. Gdp per capita ya Kenya ni almost double yenu.
Hivi tony ww unaweza survive na $1800 kwa mwaka mzima?hela kiduchu namna iyo unaishije? Kenya is poor as tz ila hali ni mbaya zaidi tz
 
Back
Top Bottom