Nairobi ni ndogo kwa Dar mara mbili na ukweli ni kwamba Dar inawakaa taa mji mzima, kwahyo hata kama tutapata picha itakayoonyesha NAIROBI kwa ukaribu bado Dar itashinda kwasababu it's lager than Nai, sababu ingine NAIROBI ni green kwahyo maeneo mengi huwezi ona taa usiku alaf pia ndani ya NAIROBI kuna misutu, mbuga n.k .. sasa itakuaje iwake taa eneo kubwa kuliko Dar ilihali Dar hakuna pori wala msitu ni nyumba zimetapakaa mji mzima.. heb ona hapa 👇.. huwezi bishana na ukweli ambao unahitaji macho tu kuujua
View attachment 2143594View attachment 2143596