The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Mama kazini 👇
Naona umenunua ugomvi...sasa tell me nguvu ya kutoa Russia takataka ameitoa wapi?ilo neno takataka ndio limenifanya nimzarauWewe wacha ujinga. Wapi hapo amelinganisha Russia na Kenya? Mbona una akili maji hivyo? Yeye amelinganisha Russia na nchi hizo zilizowekwa kwenye list. Na huyo Mkenya yupo 100% correct kwamba Russia ni takataka ukiilinganisha na hizo nchi zilizo kwenye hio list. Usiweke maneno kwa mdomo yake. Hakuwa analinganisha Russia na Kenya. Tumieni akili wakati mwingine. Point ya huyo Mkenya ni ya Ukweli kwamba Russia bado ni middle income country na nchi zote ambazo ziko kwenye hio list ni developed countries. Hapo anadanganya wapi? Mpinge kwa point aliyotoa sio kumpinga kwa point ambayo hakusema.
Russia bado ni masikini. Hawa wajinga hawaelewi mambo ya uchumi vizuri. Russia Gdp per capita yake ni around $10,000 wakati Gdp per capita ya Marekani ni zaidi ya $50,000 na bado wanataka kusema eti Russia ni developed country. Halafu hizi sanctions zitaifanya Russia iwe masikini zaidi. Saa hii Ruble imekosa thamani kabisa na kadri thamani ya sarafu dhidi ya dollar inavyozidi kushuka ndio pia Gdp norminal inavyozidi kushuka.Hii Russia imeinvest kwa jeshi na wananchi wake Ni maskini!
Yaani ata Ukraine Poland wananchi wao wako na higher per capita kuwashinda!
They needd to invest more nje ya military,
surely bruh, yani ata mimi sijawai ona anything written "Made In Russia" apart from the AK47 Riffle.! yani akili yao yote, na nguvu yao yote ni vita vita nothing but vita...🚀🚢🛩💣💥🚁🛳Hii Russia imeinvest kwa jeshi na wananchi wake Ni maskini!
Yaani ata Ukraine Poland wananchi wao wako na higher per capita kuwashinda!
They needd to invest more nje ya military,
Tony wacha kuchekesha watu, kwamba nchi namba 11 duniani with GDP of 1.4 trillion (It will take you 100 years to reach where they are right now) and GDP per capita of $10,000 na ni millitary super power of the world, unaiita ni nchi maskini .? Are you crazy or something.? Okay tuambie hizo developed countries ni zipi sasa za ulaya..?Russia bado ni masikini. Hawa wajinga hawaelewi mambo ya uchumi vizuri. Russia Gdp per capita yake ni around $10,000 wakati Gdp per capita ya Marekani ni zaidi ya $50,000 na bado wanataka kusema eti Russia ni developed country. Halafu hizi sanctions zitaifanya Russia iwe masikini zaidi. Saa hii Ruble imekosa thamani kabisa na kadri thamani ya sarafu dhidi ya dollar inavyozidi kushuka ndio pia Gdp norminal inavyozidi kushuka.
Sometimes unasoma kitu hadi unashangaa, eti mkenya anaibeza China au Russia!Russia bila vikwazo ni moja ya nchi zilizoendelea sana despite na vikwazo bado ni taifa no 11 kwa GDP duniani.takataka unayozungumzia ww ni ujinga uliokujaa kichwani. Russia gdp of more than $1.4trill na pop ya 140M hawa watu wameendelea mara ngap zidi yenu?poor kenyan
Wewe unaweza kulinganisha gdp per capita ya $10,000 na gdp per capita ya zaidi ya 50,000 ya nchi hizi?Tony wacha kuchekesha watu, kwamba nchi namba 11 duniani with GDP of 1.4 trillion (It will take you 100 years to reach where they are right now) and GDP per capita of $10,000 na ni millitary super power of the world, unaiita ni nchi maskini .? Are you crazy or something.? Okay tuambie hizo developed countries ni zipi sasa za ulaya..?
Uvinza-Msongati ni umbali ni 242.5 km!Kwa upande wa tz tutapata km ngapi.?
Usitafute lame excuse uarabuni jangwa na watu wametengeneza mijisawa tu na misri, uae ama saudia, habari ya kenya nayo ndo hiyo View attachment 2142999
As of 2020 china GDP per capita was 10,500, does that mean all them countries you have mentioned ar richer than china or even close.?Wewe inaweza kulinganisha gdp per capita ya $10,000 na gdp per capita ya zaidi ya 50,000 ya nchi hizi?
1. Canada
2. Japan.
3. Australia
4. UK
5. France.
6. Belgium
7. Germany
8. USA
Hizi nchi zote zina gdp per capita ya $50,000 at zaidi.
Unajua watu wasiojua mambo yanaendaje duniani wanakuwa watu wa kukariri na wajinga sana! Juzi SWIFT imefungia Russia, unajua UnionPay wamekomba nyomi la ukubwa kiasi gani? Huu mgogoro utasambaratisha EU kitu ambacho the US na kuwadi wake UK wanataka! Naona Ujerumani wameanza kuiona hatari inayokuja!Tony wacha kuchekesha watu, kwamba nchi namba 11 duniani with GDP of 1.4 trillion (It will take you 100 years to reach where they are right now) and GDP per capita of $10,000 na ni millitary super power of the world, unaiita ni nchi maskini .? Are you crazy or something.? Okay tuambie hizo developed countries ni zipi sasa za ulaya..?
Boss neno rich ina maana tofauti tofauti. Kama "rich" unamaanisha rich per capita "yaani utajiri wa mtu mmoja mmoja then yes Mbelgiji mmoja ni tajiri kushinda Mrusi mmoja.As of 2020 china GDP per capita was 10,500, does that mean all them countries you have mentioned ar richer than china or even close.?
Hawa watu ni wa ajabu sana ikiwa kwao wanasema GDP ni kipimo cha uchumi mkubwa kwahiyo wao ni matajiri sasa Russia GDP yake kubwa na ni GDP ya 11 duniani lakini wanawaita masikini dah sio double standard sasa. Tuchukue lipi? Au ndio ule msemo wa maneno kumi ya nyangau chukua moja utembee?Tony wacha kuchekesha watu, kwamba nchi namba 11 duniani with GDP of 1.4 trillion (It will take you 100 years to reach where they are right now) and GDP per capita of $10,000 na ni millitary super power of the world, unaiita ni nchi maskini .? Are you crazy or something.? Okay tuambie hizo developed countries ni zipi sasa za ulaya..?
Bablai go east go west ila Russia ni zaidi ya hivyo vinchi umetaja hapo, ni US pekee ndio at least inauwezo wa kusemezana na RussiaBoss neno rich ina maana tofauti tofauti. Kama "rich" unamaanisha rich per capita "yaani utajiri wa mtu mmoja mmoja then yes Mbelgiji mmoja ni tajiri kushinda Mrusi mmoja.