Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi ulipoonesha kwamba elevated section imezidi 8km?
We are here we can see it... It's almost 50% elevated Sasa unataka kubishana with a guy who see it everyday to some hoolabu statement that we ain't sure where you got it from? Most of it is elevated with flowers planted under. The 8km is some section that is that long on its own non stop think that's what's confusing you
 
lakini kuna data accurate za Atomic Regulatory Body, ..think difference ni mia mbili tu.! its was 7,000 vs 6,800 in 2017. but sahizi ni around 6000 vs 5,800.. yani hakuna mwenye atakubali mwengine awe na nyingi zaidi, wataenda wote sambamba, kisa wanaogopana
Jielimishe zaidi kuhusu Mambo ya "Sheria za dunia za kudhibiti silaha za Nuclear, "nonproliferation treaty", tangu ilipopitishwa baada ya vita kuu ya pili ya dunia, hakuna nchi inayoruhusiwa kuongeza idadi ya silaha zake za Nuclear, data unazozitoa sio sahihi.
 
The way you say 8km only like you have more
You are not KENHA, you are not google maps,the contractor or even a Nairobian for that matter, what entitles you to think you have any opinion or that we care about any of it??


View attachment 2142635
Kama expressway tunayo kwaajili ya train and it is several kilometers long.
 
Mzee nimekuuliza swali rahisi na umeshindwa kujibu.
Swali gani?, Kama ni hilo kwanini mji was Kyeiv haujatekwa, nimekujibu kwamba, lazima kuwepo na tahadhari ili kuruhusu raia kuondoka, haiwezikani kupiga mji mkubwa bila kuto muda raia kuondoka.

Hivi hujiulizi, inakuaje ndani ya wiki Moja tu, majeshi ya adui yameweza kuingia hadi kuuzunguka mji mkuu wa nchi ambao upo katikati ya nchi?,hiyo maana yake jeshi la hiyo nchi ni dhahifu Sana.
 
moderna kwani ina scandal gani tena.!? fitna sio jambo geni kwetu, nikitu tunakumbana nayo kilaleo na maisha inazidi kusonga
Wali patent hiyo mRNA six years ago ikiwa na exact genetic code ya covid 19. It is thought that they introduced covid to the world. Hawajawahi tengeneza vaccine yoyote ile hii ya covid ndio vaccine yao ya kwanza na wali develop hii vaccine haraka sana in short they are under investigation.
 
The only time i hear about tanzania is on this forum 🤣🤣🤣 hao niliona wanatu discuss day in day out(saw some trends on Twitter nashangaa nairobi and kenya huwa ina trend huko)...majority of kenyans including my own friends know nothing about tz including simple facts like they still think Dar is the capital..who talks about TZ really...save for when something trends like tundu lissu getting shot or ule jamaa wa "ooliskia wapi" 🤣

View attachment 2142657
Achana na fake PowerPoint job

Kwa ground pako hivi
🤣🤣🤣🤣 Msiijue Tanzania wakati hakuna mziki wala movies zinatazamwa kunyaland isipokua za Tanzania? Kuna mkunya asiemjua diamond, alikiba, shusho, babalevo, mobetto, ambalulu? 😂😂😂😂

Lakini mtanzania kujua anything about kunyaland ni task

 
Naona vita inataka kutuneemesha huku
Screenshot_2022-03-08-06-47-15.jpg
 
It's not just a corona vaccine center it's a VACCINE CENTER there will be research for other vaccines and medical researchers will be doing there researches there. It will be the biggest in Africa if not the only one I believe. So that puts Kenya as a research hub for Africa. Usijali majirani tutakuwa tunawaita mjifunze pia nyinyi kidogo Kwa lab zetu mpya
Tatizo lenu mkipata kitu kidogo mnachanganyikiwa Sana, do you know how big is "Ifakara research institute in Tanzania?, Just Google.
 

CRDB sets Sh70 billion as capital for DRC entry​

MONDAY MARCH 07 2022​



CRDB pic

CRDB headquarter in Dar es Salaam. PHOTO | COURTESY

Summary

  • The bank’s managing director said in Dar es Salaam that to begin with, the lender would inject Sh70 billion as capital for its DRC subsidiary


Alex pic

By Alex Nelson Malanga
More by this Author

Dar es Salaam. CRDB Bank Plc is entering the market of the Democratic Republic of Congo (DRC) with a capital of $30 million (about Sh70 billion), it was revealed during the weekend.

The bank’s managing director said in Dar es Salaam that to begin with, the lender would inject Sh70 billion as capital for its DRC subsidiary.

“We are starting with Sh70 billion….We are also eying our entry into Zambia, Malawi, Comoro, Uganda and Kenya,” he said during the official opening of the lender’s multi-billion 11-storey headquarters in Dar es Salaam at the weekend.

President Samia Suluhu Hassan graced the official launch of the Sh163 billion building along Ali Hassan Road at Palm Beach area in the city at the weekend.

The bank’s DRC subsidiary will be opened in Lubumbashi, Katanga Province.

This will be CRDB Bank Plc’s second operation outside Tanzania. It currently also operates in Burundi where it has three branches.


The CRDB chairman, Dr Ally Laay told a section of journalists on sidelines of the official opening of the lender’s multi-billion 11-storey headquarters in Dar es Salaam at the weekend that initially, the entry into the DRC was to be effected in May this year.

“However, we faced some delays and decided to push the actual entry date to the third quarter of this year,” he said.

Bank of Tanzania (BoT) Governor Florens Luoga said various countries had expressed interest in opening doors for Tanzanian banks to open branches there.

“We must take this opportunity to provide services abroad. This will help Tanzanian banks to set an example in East and Southern Africa in service delivery,” Prof Luoga said.

The board of directors for CRDB Bank Plc approved the lender’s entry into the DRC about four years ago.

During CRDB Bank Plc’s annual general meeting in May last year, Dr Laay told participants that the DRC entry had already received the approval of the BoT.

 
It's not just a corona vaccine center it's a VACCINE CENTER there will be research for other vaccines and medical researchers will be doing there researches there. It will be the biggest in Africa if not the only one I believe. So that puts Kenya as a research hub for Africa. Usijali majirani tutakuwa tunawaita mjifunze pia nyinyi kidogo Kwa lab zetu mpya
Wamesema ni kwa ajili ya Corona vaccine pekee, hiyo ya vaccines zengine amekuambia nani?, Weka ushahidi tuone.
 
Tatizo lenu mkipata kitu kidogo mnachanganyikiwa Sana, do you know how big is "Ifakara research institute in Tanzania?, Just Google.
kwayo sasa hii ni facility kidogo.!?.. and why did they opt to put such a multi billion dollar facility in kenya and not south africa... your today's food for thougt 🤔??
 
Back
Top Bottom