Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,791
NaamHuli wali mkavu.
Kiujumla watz hawajui chochote kuhusu Kenya.. Nyiny ndio mnajua Amber ruttView attachment 2142991View attachment 2142992View attachment 2142993View attachment 2142995View attachment 2142994well put bro.. most kenyans barely knows anything thts going on down there... not even their current president. we never discuss tanzania here. but i hear kenya trends in tanzania like hell..!! in almost all media platforms per se. imagin kenyans still think dar es saalam as the capital and not dodoma. its only the few of us here in this forum that are now well vast with was tz realy is. but prior to me coming here, i totaly knew nothing.! what mostly sell tanzania here is their music artistes, nothing else. once they release a track, their first stop is kenya. look at diamond platnumz and ali kiba or even rose muhando and maria susho. we never see any tanzanian manufactured products or even their companies here. tanzanians here are stereotyped as beggars or they came to look for greener pastures. you'll never find any kenyan bigger in a tanzanian street, thought here in this forum, they realy claim tht we live in shanties and slums. then why do they come to beg in the first place.....?
yatafakari hayo![]()
Weka ushahid, hko YouTube Nyiny ndio mnaofatilia mambo ya tz wabongo hawana chakufatilia kenyai swear before god.. sisi wakenya hatunanga shugli na maisha ya majirani zetu, lakini watanzania (sio tu hapa jf, kote yani) na pia kiasi waganda wanajisumbua sana na kenya, na chochote kinacho endelea huku.yani mko na machungu sana na sisi....
kisa,
jealousy.. just because you seem not to understand how kenya, a small country, but almost always continue to outshine you in almost all fronts..
Sio kweli 7000 kwa 6800Russia has almost twice number of nuclear heads compared to USA
Hii video ilifanya wakenya kuanzisha kampeni za kususia nyimbo za tzAchana na fake PowerPoint job
Kwa ground pako hivi
Msiijue Tanzania wakati hakuna mziki wala movies zinatazamwa kunyaland isipokua za Tanzania? Kuna mkunya asiemjua diamond, alikiba, shusho, babalevo, mobetto, ambalulu?
Lakini mtanzania kujua anything about kunyaland ni task

Mziki huwezi susia ni ujinga tu mbona nazizi, wahu , nameless , prezoo na jua kali waliweza sikika kipindi hicho , au yule wily Paul alijulikana kiasi . Kwa mfano otile brown sijui hata nyimbo yake moja . Ukiimba vizuri utaoboa tu . Khaligraph Jones anajulika kiasi . Wengine siwajui kutoka kenya at least niliowataja nishisikiaga wakiamba . Sasa mziki wa kenya umeshuka nadhani wanaiga sana wasanii wa nje ndio maana hawasikikiHii video ilifanya wakenya kuanzisha kampeni za kususia nyimbo za tz![]()
Walikua wanalalamika wanatufatilia halaf sis hatuna habari na wasanii wao.. Badae wakaibuka kina Erick akajikuta MussaMziki huwezi susia ni ujinga tu mbona nazizi, wahu , nameless , prezoo na jua kali waliweza sikika kipindi hicho , au yule wily Paul alijulikana kiasi . Kwa mfano otile brown sijui hata nyimbo yake moja . Ukiimba vizuri utaoboa tu . Khaligraph Jones anajulika kiasi . Wengine siwajui kutoka kenya at least niliowataja nishisikiaga wakiamba . Sasa mziki wa kenya umeshuka nadhani wanaiga sana wasanii wa nje ndio maana hawasikiki

Wewe Mlazy andika tu kwa kiswahili. Kiingereza chako kinatupatia kichefuchefu.Kipepe where is pimbi now adays your guy where very buddies
Can't you clearly see that lights are everywhere in Dar es Salaam.? 👇ahah.. 👐🏼siivo .. turudi kwa level playing ground... 1000km into the space View attachment 2142827
Russia bila vikwazo ni moja ya nchi zilizoendelea sana despite na vikwazo bado ni taifa no 11 kwa GDP duniani.takataka unayozungumzia ww ni ujinga uliokujaa kichwani. Russia gdp of more than $1.4trill na pop ya 140M hawa watu wameendelea mara ngap zidi yenu?poor kenyanBREAKING: Russia approves list of countries who've taken 'unfriendly actions' against it, including:
- Australia
- Canada
- EU
- Iceland
- Japan
- Monaco
- Montenegro
- New Zealand
- Norway
- Taiwan
- San Marino
- Singapore
- S Korea
- Switzerland
- Ukraine
- UK
- US
All are developed nations not TAKATAKAs kama poor Russia.
Chukua GDP ya jirani which is said to be $109 billion alafu ugawanye kwa GDP ya mrusi 1.4 trillion 😂😂😂 hawa wapumbavu wa Kenya wanajikuta akina nani hasa.?Russia bila vikwazo ni moja ya nchi zilizoendelea sana despite na vikwazo bado ni taifa no 11 kwa GDP duniani.takataka unayozungumzia ww ni ujinga uliokujaa kichwani. Russia gdp of more than $1.4trill na pop ya 140M hawa watu wameendelea mara ngap zidi yenu?poor kenyan
We are the people of the great United Republic of Tanzania, not some starving morons of the Republic of Idiots.
Hope the difference is well noted and overstood.
Wewe wacha ujinga. Wapi hapo amelinganisha Russia na Kenya? Mbona una akili maji hivyo? Yeye amelinganisha Russia na nchi hizo zilizowekwa kwenye list. Na huyo Mkenya yupo 100% correct kwamba Russia ni takataka ukiilinganisha na hizo nchi zilizo kwenye hio list. Usiweke maneno kwa mdomo yake. Hakuwa analinganisha Russia na Kenya. Tumieni akili wakati mwingine. Point ya huyo BlietzKrieg ni ya Ukweli kwamba Russia bado ni middle income country na nchi zote ambazo ziko kwenye hio list ni developed countries. Hapo anadanganya wapi? Mpinge kwa point aliyotoa sio kumpinga kwa point ambayo hakusema.Russia bila vikwazo ni moja ya nchi zilizoendelea sana despite na vikwazo bado ni taifa no 11 kwa GDP duniani.takataka unayozungumzia ww ni ujinga uliokujaa kichwani. Russia gdp of more than $1.4trill na pop ya 140M hawa watu wameendelea mara ngap zidi yenu?poor kenyan
Yani kenya 12.8 ndio urusi moja.Chukua GDP ya jirani which is said to be $109 billion alafu ugawanye kwa GDP ya mrusi 1.4 trillionhawa wapumbavu wa Kenya wanajikuta akina nani hasa.?



wanakosa adabu sana hawaHii Russia imeinvest kwa jeshi na wananchi wake Ni maskini!