Tony nakuhakikishia 99.9% ya watanzania hawajui chochote kuhusu Kenya, na sio tu kuhusu Kenya bali hawana habali na haya mataifa ya EA, watz wanajua zaidi kuhusu nchi za America na Ulaya kuliko nchi za ki Africa huo ndiyo ukweli, nyinyi wakenya mnajua mengi kuhusu Tz na ndiyo maana media zenu na wakenya kwa ujumla mmekuwa mkiifuatilia Tz na kuipaka matope. Kuhusu siasa ndiyo kabisa yani watanzania hawajui chochote kuhusu siasa za Africa na hawawajui kabisa wanasiasa wenu,mm mwenyewe nimemjua juzi juzi tu hapa deputy president wenu baada ya mzozo na Kenyatta, ukiacha deputy na President hakuna kiongozi ninayemjua huko Kenya niwe mkweli, yani hata jaji wenu au Spiker wa bunge kenu simjui na hata ukiwauliza watanzania wa humu asilimia kubwa hawamjui, lkn nyinyi mnamjua Rais wetu, Makamu wake, waziri mkuu mpaka Spika Tulia na mtangulizi wake Ndugai mnamjua sema kama uongo.