Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Huyo ndiyo Tony bhn, kesho atakuja akuambie "wacha ujinga hamna recreational park yoyote, nimeangalia kwa google" anasahau kama Leo kaiona![]()
itakua ni dingi flan umri umeenda..but atleast sisi tuko na miji mbili tajika, nbi na msa..Inatakiwa jamaa wawe na miji minne yenye ukubwa sawa na maendeleo sawa na Durban ndio at least watawezana 😂😂😂
haya basi miji tano kuu SA ni: joburg, capetown, durban, pretoria na port elizabeth......Ipo hivi NAIROBI is no where close to any of the top 5 South African Cities... Usijihangaishe, Kitu NAIROBI inaweza shinda labda ni population to some cities, but sio luxurious staffs au chochote kile .. I can assure you 100% ukibisha we pick mji wowote tu me ntaenda na wewe ground, hivyo vi article visikudanganye mzee..
Sema hana shida na mtu japo ana kaukunya ukunya flani hivi lkn ni mtu safi mwenye tabia za kitanzania ndani yake lkn aliyezaliwa Kenya kibahati mby.itakua ni dingi flan umri umeenda..
Mambo ya SA tushaachana nayo usijipe matumaini kwa gharama za mwingine.haya basi miji tano kuu SA ni: joburg, capetown, durban, pretoria and port elizabeth......
sawa basi, wacha ni pick port elizabeth (queberha) itutoe kivumbi, umesema ni pick moja kati ya hizo tano....
twende kwa ground basi
Itaichukua Nairobi si chini ya miaka 50 ku catch up na Dodoma real-estate pace
View attachment 2141589
Nimekuwa nikigoogle sasa hivi, nimeshangaa kuona Durban ina gdp ya $83 billion. Nimeinua mkono. Sitaki hii battle. Hahaha. Wacha battle iishe.
cc Sama boy 255



Inaonekana anajua mengi pia sio kama hao wengine wanaonekana hawajui chochote kuhusu Tz zaidi wamemezeshwa na wanaishi kihistoria, hawajui mambo hubadilika. Kuna mlevi siku moja alishangaa kisikia Tz kuna wajaluo!! nikasema hiiiii hyu c ndo anasemaga anaijua bongo nje ndanSema hana shida na mtu japo ana kaukunya ukunya flani hivi lkn ni mtu safi mwenye tabia za kitanzania ndani yake lkn aliyezaliwa Kenya kibahati mby.

Eish. Ni kali mzee. Hapa hakuna mchezo. Wapo sawa kwenye kila kitu isipokuwa kwenye majengo marefu. Hapo naona wana upungufu fulani na Nairobi imewashinda. Lakini kwenye barabara na kwenye density na kwenye mambo mengine mengi wapo mbele.Cape Town Tony254 👇View attachment 2142335View attachment 2142336View attachment 2142337View attachment 2142338View attachment 2142339View attachment 2142340View attachment 2142341View attachment 2142343View attachment 2142344View attachment 2142346View attachment 2142347View attachment 2142348View attachment 2142349View attachment 2142351View attachment 2142352View attachment 2142353View attachment 2142355View attachment 2142356View attachment 2142357View attachment 2142359View attachment 2142361View attachment 2142370View attachment 2142373View attachment 2142374View attachment 2142375
We wachana na hizi story za uongo 😂😂😂 kenya sehemu yenye maana ni NAIROBI tu kwengine uko ni vichekesho, nikuulize swali, unaijua lagos na Abuja likija suala la welth at individual level.? Utapoteana humu shauri yako.. na hapo nimetaja sehem mbili nikiamua kuchimba details utakimbia humu 😂😂😂
👐🏼wacha kunishika mashati..... sio mimi.. ni from a reliable and trusted source mzeeWe wachana na hizi story za uongo 😂😂😂 kenya sehemu yenye maana ni NAIROBI tu kwengine uko ni vichekesho, nikuulize swali, unaijua lagos na Abuja likija suala la welth at individual level.? Utapoteana humu shauri yako.. na hapo nimetaja sehem mbili nikiamua kuchimba details utakimbia humu 😂😂😂
Russia is Fighting with a third of her entire Millitary Capabilities while Ukraine is Fighting with all they have plus External AidRussia anapigwa kama mburukenge. Hizi ni tankers saba za mafuta zimepigwa kombora na Waukraine.