The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Pambana na wakenya wenzio usinishirikishe kwenye upumbavu mm.From these two pictures anybody can judge that Nairobi is better than Durban.
Pambana na wakenya wenzio usinishirikishe kwenye upumbavu mm.From these two pictures anybody can judge that Nairobi is better than Durban.
Tulia kama Tulia Ackson. Wacha hasira.Nonesense,tunazingumzia developments
Huu mji umeiva sana...Hapa east africa ni tunapiga tu kelele za bureDurban exhibition centerhapa ni world class facilities tu.. wala hii sio US View attachment 2142189View attachment 2142194indoor Arena View attachment 2142198View attachment 2142207View attachment 2142224kwazulu stadia
View attachment 2142211View attachment 2142213View attachment 2142216View attachment 2142217Durban international airport
View attachment 2142218View attachment 2142219View attachment 2142220View attachment 2142223ndio Nairobi itie pua hapa
![]()
Then why have you replied to my comment?Pambana na wakenya wenzio usinishirikishe kwenye upumbavu mm.
Ipo hivi NAIROBI is no where close to any of the top 5 South African Cities... Usijihangaishe, Kitu NAIROBI inaweza shinda labda ni population to some cities, but sio luxurious staffs au chochote kile .. I can assure you 100% ukibisha we pick mji wowote tu me ntaenda na wewe ground, hivyo vi article visikudanganye mzee..From these two pictures anybody can judge that Nairobi is better than Durban.
Kalilie Twitter.Then why have you replied to my comment?
Amini kaka, hapa EA ni kelele hamna kitu hapa, sasa we jiulize utashindana na mtu yuko na facities za ku host kombe la dunia where by important pp from every corner of the world walienda kushuhudia huo mtanange for more than 2 months, hapa EA hatujawahi ku host hata Afcon 😂😂 alaf tunataja taja majina tu na kujiweka level moja nao 😂😂 ni dharau sanaHuu mji umeiva sana...Hapa east africa ni tunapiga tu kelele za bure
Pole Kwa hasira 😂😂🤣Kalilie Twitter.
Mbona unasahau kukazia walihost World cup kitambo a decade agoAmini kaka, hapa EA ni kelele hamna kitu hapa, sasa we jiulize utashindana na mtu yuko na facities za ku host kombe la dunia where by important pp from every corner of the world walienda kushuhudia huo mtanange for more than 2 months, hapa EA hatujawahi ku host hata Afconalaf tunataja taja majina tu na kujiweka level moja nao
ni dharau sana


sisi bado tunademka kaka...inaumiza sana,My fren alipata mentorship kadhaa S.A eneo fulani Jo'burgy hotel inaitwa Montecasino,baada ya masomo wakiwa wanapiga story kuna mzungu mmoja akamuuliza umetokea nchi gani?Akamjibu Tz...yule mzungu akaamuuliza hii Tz ni moja ya nchi masikini eeh? Jamaa akajibu ndio
inauma sana nyie....imagine alishindwa hata kujiteteaDah nilidhani wanakusingiziaKumbe nyinyi pia mna park? Hio park kwenye picha ya kwanza inaitwaje?







😂😂😂 Sie bado bro jirani tu wanapenda kujitutumua ila sisi bado sana.. tutafika lakini itatuchukua muda kidogo kufika ila tutafika at least 20 more years to come, tutafanana nao tu SA kuwa na Miji hata mitatu yenye viwango vya kiduniaMbona unasahau kukazia walihost World cup kitambo a decade agosisi bado tunademka kaka...inaumiza sana,My fren alipata mentorship kadhaa S.A eneo fulani Jo'burgy hotel inaitwa Montecasino,baada ya masomo wakiwa wanapiga story kuna mzungu mmoja akamuuliza umetokea nchi gani?Akamjibu Tz...yule mzungu akaamuuliza hii Tz ni moja ya nchi masikini eeh? Jamaa akajibu ndio
inauma sana nyie....imagine alishindwa hata kujitetea
Huyo rafiki yako hana akili, hakupaswa kujibu hivyo, umaskini wa waafrika unaanzia kwenye mind, hata wasome bado haiwasaidii kuondokana na fikra za kipuuzi kama hizi, alipaswa kujibu co maskini bali ni nchi inayoendelea, umaskini hususan Tz yenye kila kitu upo kwa watu co nchi, alafu hyo SA yenyewe nao bado asilimia kubwa ni mafukara tu uchumi umemilikiwa na foreigners, lkn pia ukitoa miji yao iliyoendelea ambayo wanaishi foreigners wa South wengi wanaishi maisha ya nguruwe kabisa. Sio kama sikubali tumezidiwa ila usikubali nchi yako ikakosewa adabu na foreigner au na mtu yoyote yule, ni zambi na ni upumbavu uliotukuka.Mbona unasahau kukazia walihost World cup kitambo a decade agosisi bado tunademka kaka...inaumiza sana,My fren alipata mentorship kadhaa S.A eneo fulani Jo'burgy hotel inaitwa Montecasino,baada ya masomo wakiwa wanapiga story kuna mzungu mmoja akamuuliza umetokea nchi gani?Akamjibu Tz...yule mzungu akaamuuliza hii Tz ni moja ya nchi masikini eeh? Jamaa akajibu ndio
inauma sana nyie....imagine alishindwa hata kujitetea
Huyo ndiyo Tony bhn, kesho atakuja akuambie "wacha ujinga hamna recreational park yoyote, nimeangalia kwa google" anasahau kama Leo kaionaDah nilidhani wanakusingizia![]()






😂😂 Ila kweli kuitwa maskin ni kukosewa adabu kiasi fulaniHuyo rafiki yako hana akili, hakupaswa kujibu hivyo, umaskini wa waafrika unaanzia kwenye mind, hata wasome bado haiwasaidii kuondokana na fikra za kipuuzi kama hizi, alipaswa kujibu co maskini bali ni nchi inayoendelea, umaskini hususan Tz yenye kila kitu upo kwa watu co nchi, alafu hyo SA yenyewe nao bado asilimia kubwa ni mafukara tu uchumi umemilikiwa na foreigners, lkn pia ukitoa miji yao iliyoendelea ambayo wanaishi foreigners wa South wengi wanaishi maisha ya nguruwe kabisa. Sio kama sikubali tumezidiwa ila usikubali nchi yako ikakosewa adabu na foreigner au na mtu yoyote yule, ni zambi na ni upumbavu uliotukuka.
Ni misemo ya wazungu kutudidimiza kifikra, unamuitaje mtu maskini kisa hana nyumba ya bati lkn ana ng'ombe 1000 na mashamba ekari kibao, anakula Milo kamili utofauti ni kwamba hali Pizza ndio umuite maskini, unaiitaje nchi maskini wkt Ina kila kitu ardhini? Kwasababu Haina flyover ndiyo uiite maskini? Sema watu wake wengi hawajaendelea, tena hapa neno kuendelea usisahau kusema as far as European standard of living is taken into consideration.Ila kweli kuitwa maskin ni kukosewa adabu kiasi fulani
Ndio maana wana slums kila konaYani ka Nairobi kana only 696km² na bado eneo kubwa ni pori lkn wapo zaidi ya 6mil alafu over 60% of Nairobians are slum dwellers![]()
Wakisema nchi masikini ofcz wanalenga wananchi,kama mnaresource kedekede na bado hazijawapa maisha mazuri basi nyie ndio tatizo,Jamaa wala hakutaka mjadala uwe mrefu maybe some years later uyo mzungu anaweza notice some changes kwa macho yake mwenyewe...it takes time lakini tutafika tuHuyo rafiki yako hana akili, hakupaswa kujibu hivyo, umaskini wa waafrika unaanzia kwenye mind, hata wasome bado haiwasaidii kuondokana na fikra za kipuuzi kama hizi, alipaswa kujibu co maskini bali ni nchi inayoendelea, umaskini hususan Tz yenye kila kitu upo kwa watu co nchi, alafu hyo SA yenyewe nao bado asilimia kubwa ni mafukara tu uchumi umemilikiwa na foreigners, lkn pia ukitoa miji yao iliyoendelea ambayo wanaishi foreigners wa South wengi wanaishi maisha ya nguruwe kabisa. Sio kama sikubali tumezidiwa ila usikubali nchi yako ikakosewa adabu na foreigner au na mtu yoyote yule, ni zambi na ni upumbavu uliotukuka.