Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Unafkiri hayajui hayo ni kusudi tuRussia is Fighting with a third of her entire Millitary Capabilities while Ukraine is Fighting with all they have plus External Aid
Unafkiri hayajui hayo ni kusudi tuRussia is Fighting with a third of her entire Millitary Capabilities while Ukraine is Fighting with all they have plus External Aid
Tatizo lako wewe huwa una hasira sn, ss ww chokoraa wa mathare una nguvu gn ya kuiita Russia poor, hasira hasara chokoraaBREAKING: Russia approves list of countries who've taken 'unfriendly actions' against it, including:
- Australia
- Canada
- EU
- Iceland
- Japan
- Monaco
- Montenegro
- New Zealand
- Norway
- Taiwan
- San Marino
- Singapore
- S Korea
- Switzerland
- Ukraine
- UK
- US
All are developed nations not TAKATAKAs kama poor Russia.






Ni sawa lakini hii ma cable mimi sizipendi. Cable ikikatika hio ni kifo hakika.Cape town umepiga hatua sana kuna kila aina ya usafiri unaojua ww dunia hii kasoro punda na bodaboda tu 👇 Tony254 Safari ni ndeefu sana ku catch up tu kwa hawa Capetown Ila tukijukaza tunafikaView attachment 2142387View attachment 2142388electic buses 👇View attachment 2142389
BRT system 👇View attachment 2142391View attachment 2142392View attachment 2142393old commuter rail View attachment 2142396new commuter rail 👇View attachment 2142401View attachment 2142399city sightseeing buses 👇View attachment 2142402View attachment 2142404View attachment 2142405
Russia kama hujui bado ni developing country. Sio matusi wala kuidharau Russia, ni facts tu. Hata Uchina pamoja na mbwembwe zake zote na miji mizuri ya kupendeza bado ni developing country. Na sio kwamba tumeikosea Russia au Uchina heshima, ni facts tu tunazungumza hapa kwa unyenyekevu. Nchi ambazo bado ni middle income kama Uchina na Russia haziwezi kuitwa developed.Tatizo lako wewe huwa una hasira sn, ss ww chokoraa wa mathare una nguvu gn ya kuiita Russia poor, hasira hasara chokoraa![]()
Vigezo vyao vya kipumbavu, kwa mfano tumeona humu ndani hakuna kitu kipo USA kikakosa kuwepo China ila kuna vitu vipo China huwezi kuvikuta USA, utaniambia habari za per capita, yn pesa za watu wengine ukapigie hesabu watu wengine, yn pesa za Bakhresa ukawapigie hesabu watz wote c upumbavu huoRussia kama hujui bado ni developing country. Sio matusi wala kuidharau Russia, ni facts tu. Hata Uchina pamoja na mbwembwe zake zote na miji mizuri ya kupendeza bado ni developing country. Na sio kwamba tumeikosea Russia au Uchina heshima, ni facts tu tunazungumza hapa kwa unyenyekevu.
Ni kweli ni upumbavu lakini per capita ndicho kigezo kinachotumika kwa sasa kubaini mbivu na mbichi. Natumai siku moja kigezo kingine kitavumbuliwa ambacho kitasuluhisha mapungufu ya Gni per capita uliyoyataja.Vigezo vyao vya kipumbavu, kwa mfano tumeona humu ndani hakuna kitu kipo USA kikakosa kuwepo China ila kuna vitu vipo China huwezi kuvikuta USA, utaniambia habari za per capita, yn pesa za watu wengine ukapigie hesabu watu wengine, yn pesa za Bakhresa ukawapigie hesabu watz wote c upumbavu huo
Hata USA akipeleka jeshi kusaidia Ukraine bado hawawezi kushinda hii vitaRussia anapigwa kama mburukenge. Hizi ni tankers saba za mafuta zimepigwa kombora na Waukraine.
Hata USA akipeleka jeshi kusaidia Ukraine bado hawawezi kushinda hii vita
Hata USA akipeleka jeshi kusaidia Ukraine bado hawawezi kushinda hii vita
Fuata hizi nyuzi kwenye twitter ujionee. Kuna huyu anaitwa Rob Lee na kuna nyingine inaitwa Ukraine Weapons tracker. Utaona jinsi Russia anavyopigwa vita takatifu.
Nimewa follow wa nne hapo Osin na rob lee napenda Rob anavypanga tweets zakeKwa yeyote anayetaka kufuatilia vita hii kwenye twitter. Kuna twitter sites hizi ambazo ziko sawa kwenye kufuatilia vita vya Ukraine kwa yeyote anayependa kufuatilia haya mambo.
1. OSINTtechnical
2. Visegrad 24
3.Illia Ponomarenko
4. Rob Lee.
5. Nexta
6. Ukraine weapons tracker.
Hahaha. Kumbe siko pekee yangu. Wow. Mimi huwa nawafuatilia sana. Yaani unapata step by step dose ya jinsi vita inavyoendelea.Nimewa follow wa nne hapo Osin na rob lee napenda Rob anavypanga tweets zake
Aisee!Russia kama hujui bado ni developing country. Sio matusi wala kuidharau Russia, ni facts tu. Hata Uchina pamoja na mbwembwe zake zote na miji mizuri ya kupendeza bado ni developing country. Na sio kwamba tumeikosea Russia au Uchina heshima, ni facts tu tunazungumza hapa kwa unyenyekevu. Nchi ambazo bado ni middle income kama Uchina na Russia haziwezi kuitwa developed.
Russia anapigwa kama mburukenge. Hizi ni tankers saba za mafuta zimepigwa kombora na Waukraine.
ulidanganywa na mama ngina au nani??🤣🤣Nusu ya Safaricom inamilikiwa na Wakenya. Wewe endelea kuota.
Ili uheshimike na GDP yenu lazima muhakikishe i na reflect kwa ground...siumeona ulivyo uhanya mji ya tatu SA, kwasababu kuna reality kwa ground...ila hatuwez kurespect ata Nigeria kutokana na ilivyo ya hovyo kwa groundWewe pia uheshimu gdp kama mimi ninavyoiheshimu. Wewe una mazoea ya kupuuza gdp na kusema kwamba gdp ya IMF ni ya kupuuzwa. Mbona mimi nimeona Durban ina gdp kubwa kushinda Nairobi na nimekubali mara moja?