ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Russia anapigwa kama mburukenge. Hizi ni tankers saba za mafuta zimepigwa kombora na Waukraine.
unao ushahidi kua ni za russia ukipata nitag😂
Russia anapigwa kama mburukenge. Hizi ni tankers saba za mafuta zimepigwa kombora na Waukraine.
according to western propaganda lakini russia hata kwa technology za military na space hata america baba yenu anasubiri miaka 100🤣🤣🤣Russia kama hujui bado ni developing country. Sio matusi wala kuidharau Russia, ni facts tu. Hata Uchina pamoja na mbwembwe zake zote na miji mizuri ya kupendeza bado ni developing country. Na sio kwamba tumeikosea Russia au Uchina heshima, ni facts tu tunazungumza hapa kwa unyenyekevu. Nchi ambazo bado ni middle income kama Uchina na Russia haziwezi kuitwa developed.
Hivi vifaa ambavyo vimepigwa kombora zimekuwa majivu jivu pia utapinga kwamba sio za Russia? Umeona BM-21 grad ya Russia kwenye picha ya tatu?unao ushahidi kua ni za russia ukipata nitag😂
haya sikieni hili bichwa maji 🤣🤣🤣 akili zinatoka kwnye chemba za nya zinapanda kichwaniWapigwe tuu mbwa hao wanasababisha taharuki Duniani.
Russia huwa ina shida sana ya kupata viongozi mbilikimo wanaleta shida Duniani.
Hivi vifaa ambavyo vimepigwa kombora zimekuwa majivu jivu pia utapinga kwamba sio za Russia? Umeona BM-21 grad ya Russia kwenye picha ya tatu?
Hii helicopter pia utapinga kwamba sio ya Russia iliyopigwa kombora safi takatifu ikaenda kuangukia huko mbele?unao ushahidi kua ni za russia ukipata nitag😂
Hivi vifaa ambavyo vimepigwa kombora zimekuwa majivu jivu pia utapinga kwamba sio za Russia? Umeona BM-21 grad ya Russia kwenye picha ya tatu?
Hii hapa Sukhoi 34 jet ya Russia imeangushwa.unao ushahidi kua ni za russia ukipata nitag😂
Hii helicopter pia utapinga kwamba sio ya Russia iliyopigwa kombora safi takatifu ikaenda kuangukia huko mbele?
Hii hapa Sukhoi 34 jet ya Russia imeangushwa.
Hii hapa Sukhoi 34 jet ya Russia imeangushwa.
Tazama jinsi Sukhoi 34 ilivyoangushwa huko Kharkiv Ukraine.unao ushahidi kua ni za russia ukipata nitag😂
Hii hapa Sukhoi 34 jet ya Russia imeangushwa.
Tazama jinsi Sukhoi 34 ilivyoangushwa huko Kharkiv Ukraine.
Hii hapa Sukhoi 34 jet ya Russia imeangushwa.
Akuna cha mana apooo hao hawachukui wiki mbili kazi itakuw imeishaaaFuata hizi nyuzi kwenye twitter ujionee. Kuna huyu anaitwa Rob Lee na kuna nyingine inaitwa Ukraine Weapons tracker. Utaona jinsi Russia anavyopigwa vita takatifu.
Tazama jinsi Sukhoi 34 ilivyoangushwa huko Kharkiv Ukraine.
Kimo kitakuwa kimehusika sio kwa hasira hizi, cc kiduku, Mwendazake and you 😬😬😬😬haya sikieni hili bichwa maji 🤣🤣🤣 akili zinatoka kwnye chemba za nya zinapanda kichwani
rudisha mrija wa nya uende kwenye kalio kwanza alaf utanijibuKimo kitakuwa kimehusika sio kwa hasira hizi, cc kiduku, Mwendazake and you 😬😬😬😬