Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unasahau kukazia walihost World cup kitambo a decade ago sisi bado tunademka kaka...inaumiza sana,My fren alipata mentorship kadhaa S.A eneo fulani Jo'burgy hotel inaitwa Montecasino,baada ya masomo wakiwa wanapiga story kuna mzungu mmoja akamuuliza umetokea nchi gani?Akamjibu Tz...yule mzungu akaamuuliza hii Tz ni moja ya nchi masikini eeh? Jamaa akajibu ndio inauma sana nyie....imagine alishindwa hata kujitetea
Sio rafiki yako bali ni wewe Zezeta ulijibu hivyo sababu akili hujawai kuwa nazo
 
Hahaha. Yaani Durban ambayo ni mji wa tatu kwa ukubwa SA inatuhemesha hivi na Cape town je ambayo ni mji wa pili kwa ukubwa? Cape town itatufunika kabisa. Oya Sama boy 255 hebu mwaga picha za Cape town kidogo tuone mahali ambapo miji yetu itakuwa baada ya miaka kumi.
 
Yaani badala ya kujenga skyscraper huko kwenu Dar es Salaam ambako hakuna skyscraper, mnatumia kodi za serikali yenu kuja kujenga skyscraper huku Kenya? Maoni yenu ni gani Wabongo kuhusu hili jambo?
Geza Ulole ichoboy01 The best 007 Sama boy 255 itakuwa serikali yenu inafahamu vyema kwamba ikisimamisha skyscraper Nairobi itacollect rent ya kutosha lakini ikijenga Dar es Salaam itakosa wateja? Sijui huwa tunapiga battle kwa nini na serikali yenu inaonyesha fika kwamba Nairobi ndiko kuna biashara zaidi. Yaani serikali yenu inakataa kujenga skyscraper Dar inakuja kujenga Nairobi halafu wajinga bado wanalinganisha Nai vs Dar?
Cc NairobiWalker Kafrican Teargas dyfre
Nkitu chaa ajabu kuwai kukiona ..na niserikali imeona hiii ndio kitukizuri kabisa na VP akaenda aiseeeeeh
 
Yaani badala ya kujenga skyscraper huko kwenu Dar es Salaam ambako hakuna skyscraper, mnatumia kodi za serikali yenu kuja kujenga skyscraper huku Kenya? Maoni yenu ni gani Wabongo kuhusu hili jambo?
Geza Ulole ichoboy01 The best 007 Sama boy 255 itakuwa serikali yenu inafahamu vyema kwamba ikisimamisha skyscraper Nairobi itacollect rent ya kutosha lakini ikijenga Dar es Salaam itakosa wateja? Sijui huwa tunapiga battle kwa nini na serikali yenu inaonyesha fika kwamba Nairobi ndiko kuna biashara zaidi. Yaani serikali yenu inakataa kujenga skyscraper Dar inakuja kujenga Nairobi halafu wajinga bado wanalinganisha Nai vs Dar?
Cc NairobiWalker Kafrican Teargas dyfre
Yani nikiona hiii habari natamani kupasukaa
 
Hahaha. Yaani Durban ambayo ni mji wa tatu kwa ukubwa SA inatuhemesha hivi na Cape town je ambayo ni mji wa pili kwa ukubwa? Cape town itatufunika kabisa. Oya Sama boy 255 hebu mwaga picha za Cape town kidogo tuone mahali ambapo miji yetu itakuwa baada ya miaka kumi.
kinyonge sana
 
Wewe hujanielewa. Ndio maana nimesema ujenzi ulisitishwa. Point yangu ni kusema kwamba plan hii sio geni, hii plan imekuwa kuanzia zamani ila ilisitishwa wakati wa Magufuli.
Sababu ni plan chengaa...alikuw nayo JK, sasa bibi anamalizana nayo...yani nikichefuchefu
 
Dar kama Dar.
dar-botanical-gardens.jpg
Tanzania-Wastewater-Treatment-1200x800.jpg
6s%3D1152.jpg
1s%3D1152.jpg
coco-beach-scene-on-sunday-oyster-bay-dar-es-salaam-tanzania-GE2N5P.jpg
coco-beach-scene-on-sunday-oyster-bay-dar-es-salaam-tanzania-GKCC9H.jpg
 
Back
Top Bottom