Mud buildings to be precise.Nnachoona hapo ni cheap buildings kwakwenda mbele, ukizitoa hizo NBO towersni kucheka tu
Mud buildings to be precise.Nnachoona hapo ni cheap buildings kwakwenda mbele, ukizitoa hizo NBO towersni kucheka tu
mbona hapa durbn na nairobaa iko levels..kakimbia anakuambia kuwa Nairobi ina GDP kubwa kuliko duban
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Itakuwa Uhuru alikimbushia kwenye ziara ya mamaHilo jambo hata mm siliungi mkono, kutakuwa kuna wahuni wanataka kupiga pesa wamemrubuni mama, na maskini ya Mungu mama wa watu huenda hata hajui aseme nn, wahuni watakuwa wamemuongopea serikali itapata pesa, yn vipesa vya kudunduliza vitakavyopatikana kwenye huo mradi wala haitarudisha hyo pesa, ofcz hapo tutawanufaisha wakenya kwa vipesa mbuzi watakavyopata wapigaji, siungi mkono huu upumbavu.
Kwasababu hamna miji mingine iliyobora kuchukua population iliyozidi NairobiTuanze na population, Kwenye population Nairobi imeichapa Durban.
Nairobi's population = 5 million
Durban's population = 3 million.
Mbona kuna Park mbili kubwa ndani ya Dar wew shida yako unasahau sanaKumbe nyinyi pia mna park? Hio park kwenye picha ya kwanza inaitwaje?
😂😂😂 Hii ndio kitu pekee NAIROBI iko mbele ya DurbanTuanze na population, Kwenye population Nairobi imeichapa Durban.
Nairobi's population = 5 million
Durban's population = 3 million.
Muungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama ... 🤝 Imeisha iyo .. ila mtuheshimu watu sasaNimekuwa nikigoogle sasa hivi, nimeshangaa kuona Durban ina gdp ya $83 billion. Nimeinua mkono. Sitaki hii battle. Hahaha. Wacha battle iishe.
cc Sama boy 255
Wewe pia uheshimu gdp kama mimi ninavyoiheshimu. Wewe una mazoea ya kupuuza gdp na kusema kwamba gdp ya IMF ni ya kupuuzwa. Mbona mimi nimeona Durban ina gdp kubwa kushinda Nairobi na nimekubali mara moja?Muungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama ... 🤝 Imeisha iyo .. ila mtuheshimu watu sasa
Ndio mana sisi huwa tunakataaga hizi article za kutengeneza, kwasababu tunajua what's going on kwa ground Durban is four times larger than NAIROBI with the GDP of $83 billion, hii ni 3/4 ya uchumi wa Kenya nzima. You need to show up some respects to your fathers
Lakin GDP ya Durban hata ukiangalia kwa ground Ina uhalisia flani hivi, honestly jamaa wako vizur bhana ..ila nyie jirani zetu kidogo kuna shida mahali au ni sisi kuwa underated but sio kwamba mnatuzidi kama mnavyojinasibu..Wewe pia uheshimu gdp kama mimi ninavyoiheshimu. Wewe una mazoea ya kupuuza gdp na kusema kwamba gdp ya IMF ni ya kupuuzwa. Mbona mimi nimeona Durban ina gdp kubwa kushinda Nairobi na nimekubali mara moja?
Tony bhnNimekuwa nikigoogle sasa hivi, nimeshangaa kuona Durban ina gdp ya $83 billion. Nimeinua mkono. Sitaki hii battle. Hahaha. Wacha battle iishe.
cc Sama boy 255













Inatakiwa jamaa wawe na miji minne yenye ukubwa sawa na maendeleo sawa na Durban ndio at least watawezana 😂😂😂Yani ka Nairobi kana only 696km² na bado eneo kubwa ni pori lkn wapo zaidi ya 6mil alafu over 60% of Nairobians are slum dwellers![]()
Sure mkuuChief don’t be twisted with their traps, hawa jamaa wanawachezea mind game kama hamjastukia, wanaanza mchezo wa kulinganisha The Might Dar es Salaam na vi mji hafifu kama Accra alafu eti Stinky Nairobi wanailinganisha na Giants kama Durban. Hii ni mind game na lengo ni kuwafanya mjisikie dhaifu, achaneni nao, kama wanataka hizi ligi wakafungue huko kisha wawaite wenye miji yao washindane huko, sisi humu tunajua battle ni Dar and Nairobi na tayari hali ni mbaya kule pande za nyang’au.
#Kichapo Kiendelee








Ndiyo ujue ss hivi vijarida huwa wanavitengeneza kina Mama Ngina na genge lake ili kuwaongopea wazidi kuwapiga.
Eti kina mama Ngina 😂😂Ndiyo ujue ss hivi vijarida huwa wanavitengeneza kina Mama Ngina na genge lake ili kuwaongopea wazidi kuwapiga.
Nairobi population haijafika 5.Ipo kwenye 3.5millionNairobi ina population ya 5 million. Hapo tayari Nairobi imeshaipiga Durban.
it is a bad idea
Nonesense,tunazingumzia developmentsTuanze na population, Kwenye population Nairobi imeichapa Durban.
Nairobi's population = 5 million
Durban's population = 3 million.
From these two pictures anybody can judge that Nairobi is better than Durban.