Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usinifanye nikacheka mpaka majirani wakatoka nje, taja kitu unahisi NAIROBI iko mbele ya Durban, nimekwambia I'll prove you wrong
Les's start. Umeona Durban hapa?

Screenshot_20220304-002143.png
 
Greatest challenge Kunyans failed to conquer


 
Kumbe hawa jamaa wa ukraine ni Nooo kabisa kumbe walikuwa hawataki waafrika waondoke ukraine.
Wanawatumia kama ngao kwenye gorilla war . Civilian wako mbele halafu wakawapiga wenzao . Sema vita ipo ulaya sisi ni kama viewers tu . Maana ni ulaya kwa ulaya kupigana wameacha kitambo
 
Les's start. Umeona Durban hapa?

View attachment 2141551
Mpuuzi kweli wew unalitea list za opinion za taasisi, twende ground Alafu uone kama hujalia.. we unafkiri hizi mambo za welth kwenye luxury residential, kama zitaletwa kulingana na uhalisia wa dunia unafkiri kuna mji hata mmoja Africa utatokea top 100.? 😂😂😂, Unakichaa wewe..
 
Nairobi🌋😍💯🔥🔥landlocked city but well ranked world class city😜darislum bado iko imepakana na maji lakini iko bado sana😂😂😂mnakuhamaga wapi walai

Na ndio maana mnahamia dodoma(planning kama mji wa kisasa)
Sio darislum uswazi3\4 the city
paris, berlin, washington dc, beijing, joburg, moscow, madrid, mexico city, new delhi, geneva, munchen, zurich, atlanta, dallas,
 
Back
Top Bottom