Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza unaanzaje kuchukia nchi inayopokea misaada ya chakula karne hii zaidi ya kuionea huruma tu!
Nashangaa sn aisee, mm Nina adabu na nchi zote duniani ila huwa nakorofishana na wapuuzi wote wanaoichikulia poa bongoland hata akiwa mtz akiichukulia poa tu nchi hii basi huyo ni halali yng, nashukuru hata mods humu wananielewa kwamba mm Sina shida na mtu ila ninashida na anayeichukulia poa nchi hii, yn huyo lazima nipambane naye hata kwa matusi ikibidi, lkn ukitoa Hilo mm Sina tatizo na mtu amini kwamba.
 
Mganangwa alipokuja bongo kuna alisema apelekwe huko kaole bagamoyo ilikua training camp yao . Sema watu wa historia waweke vizuri ni source ya utalii .

Ila wakunya jifunzeni utu , nakumbuka kwenye speech ya former president Kikwete kwenye mazishi aliposema Mandela na freedom fighters wengi wa south Africa walikua wanatumia passport ya Tanzania kusafilia .

Akasema Mzee Thabo mbeki sijui kama umerudisha ya kwako . Means hata putin anaweza kua alikua huko kaole kwa majina fake . It's very possible . Hata Museveni alikua na majina mengine kipindi hicho .

Sema mzee nyerere alijenga heshima sana kwenye misimamo . Ndio maana hata wakina che guavera walikuja bongo kipindi hicho
Ni kweli bro, utu ni kitu kikubwa sana lazima tujifunze kuwa na utu..tumepewa heshima now kwasababu ya utu wetu
 
Alafu hawa mbwa wa kikunya ndiyo binadamu wanaoongoza kwa kulalamika duniani, yn hawa jamaa ni walalamishi sijawahi kuona, ss wanataka maisha yawe sawa kati ya failed state na promised land? Hilo haliwezekani
I usually doubt your reasoning lakini leo nimejua mbona you are always an idiot.

1646503726908.jpg
 
Akili zako zipo matakoni, unawaza na mkundu wewe Kwahiyo pesa yenu kuwa na thamani kuliko pesa ya Russia ndio itawawezesha kutoomba misaada ya chakula kutoka Dubai.? na atie pua US na hao NATO waone kinachowatokea, wamefyata mikia yao huku UKRAINE anakula dozi tu ..
ni mwendo wa kichapo tu cha kistaarabu mpaka ,maji waite mma

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
"Afrika haitokaa iwe HURU. Waafrika wanawaamini Wazungu, Wamarekani na Wachina zaidi kuliko wanavyojiamini wao wenyewe....hawajiamini wao wenyewe hata kidogo.

Mtu mweupe anafanya makosa Afrika tena makosa ya jinai ila hakuna hatua za kisheria zitakazochukuliwa dhidi yake kwa sababu mamlaka za Afrika zinatutazama sisi weupe kama miungu, jambo ambalo liko mbali sana na ukweli.

Mtu mweusi (Mwafrika) anaweza kuteswa, kunyanyaswa na hata kuuawa kinyama Ulaya lakini hakuna mamlaka yoyote ya Afrika inayoweza kuuliza wala kuhoji.

Waafrika wamejikubali na kuamini kuwa wao ni watu DHAIFU wasio na tumaini haswa linapokuja suala la kupambana na Wazungu, Wamarekani na Wachina. Mzungu, Mmarekani au Mchina anaweza kumdhalilisha, kumtukana, kumpiga na hata kumuua Mwafrika katika ardhi ya Afrika tena kwenye nchi yake au nje ya Afrika na Viongozi wa Afrika wataliona hilo na kila mmoja atajiweka kana kwamba hakuona wala kusikia.

Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni.

Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika."



Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
These dunderheads isolated themselves from African movement of liberating this continent since Uhuru of their shithole and failed state, while on the other hand Tz was busy on liberating African countries which didn't aquire their freedom but now we are ahead of them in almost every aspect and all that is for only 10 yrs of working hard. We have now built our high speed railway, BRT system, bridges of all kind, modern bus terminals, New Cities, European standard roads and all kind of infrastructures that never seen in East and Central Africa.
KANAIRO hebu ntoo uone hii 😳 😳.. hii ni kingereza ya huyu jamaa kweli.!? ama ame copy na ku paste humu, sababu tangu jadi, najuanga huyu jamaa hajui kingereza
 
Back
Top Bottom