Argument ndogo kama hio inakufanya utukane waTz wote Una stress au vipi? Soma hio article alioweka. Inasemekana alikuwa Tz in 80s hio picha inaweza kuwa sio Tz ila yeye alikuwepo kwa muda fulani.Putin ana miaka 69.... 1973 Putin alikua na miaka 20, Kabla hata muendelee, Kijana WA miaka 20 Hana ujuzi wowote kufundisha wanajeshi kupigania ukombozi wa Africa kutoka Kwa wakoloni..
Putin wakati huo alikua mwanafunzi Kwa chuo kikuu akisomea shahada ya Law... Aligraduate Mwaka wa 1975.. Baada ya ku graduate hapo ndo alijiunga na KGB kama low level officer.. Hii ni historia yake.. Lakini kwavile akili ya Mtz imeshazoea kulishwa propaganda za ki communist utabaki ukishindana siku nzima
kuhusu Russia-Ukraine War, hakuna namna Putin atakubali kushindwa kwenye hii war.. akishindwa hata ushawishi wake utapungua.. so by any means, either hata ukraine kukubali kushindwa, Russia au Putin watashinda hii vita.. sijui kwa mda gan lkn Russia wataibuka washindi au wababe, na mkumbuke Putin ana backup ya nuclear weapons