Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Putin ana miaka 69.... 1973 Putin alikua na miaka 20, Kabla hata muendelee, Kijana WA miaka 20 Hana ujuzi wowote kufundisha wanajeshi kupigania ukombozi wa Africa kutoka Kwa wakoloni..

Putin wakati huo alikua mwanafunzi Kwa chuo kikuu akisomea shahada ya Law... Aligraduate Mwaka wa 1975.. Baada ya ku graduate hapo ndo alijiunga na KGB kama low level officer.. Hii ni historia yake.. Lakini kwavile akili ya Mtz imeshazoea kulishwa propaganda za ki communist utabaki ukishindana siku nzima
Unachekesha..
 
Hizi nchi zote zilivote in favour of Russia plus wenye walikata kuvote zote Ni SHITHOLE,
Kitu kingine Ni hakuna nchi Ni DEVELOPED pia.
Ujinga tu.
 
Kwahiyo u abisha kuwa Putin hajawahi kufika Bongo.? Sio tu kufika Bongo mwamba aliishi Tz kwa miaka minne .. picha yake hii View attachment 2140152soma hapa Did Russian President, Vladimir Putin, Really Live and Work in Tanzania?.
Mganangwa alipokuja bongo kuna alisema apelekwe huko kaole bagamoyo ilikua training camp yao . Sema watu wa historia waweke vizuri ni source ya utalii .

Ila wakunya jifunzeni utu , nakumbuka kwenye speech ya former president Kikwete kwenye mazishi aliposema Mandela na freedom fighters wengi wa south Africa walikua wanatumia passport ya Tanzania kusafilia .

Akasema Mzee Thabo mbeki sijui kama umerudisha ya kwako . Means hata putin anaweza kua alikua huko kaole kwa majina fake . It's very possible . Hata Museveni alikua na majina mengine kipindi hicho .

Sema mzee nyerere alijenga heshima sana kwenye misimamo . Ndio maana hata wakina che guavera walikuja bongo kipindi hicho
 
mpuuzi ni nyanyako.... Alichosema mtoa post kiliambatana na picha moja ya escalator, eti kwamba hio ni bus terminal na sio airport...

Yaani Kwa ushamba wake escalator inapatikana JNIA pekee kwahivyo ni maajabu makuu kwamba bus terminal ya Tz iko na escalator! Ndo mi nikamjibu kwamba escalators huku kwetu hua tukienda supermarket tunaachilia watoto wazichezee, hicho si kitu cha kuringia mtu.
Kwani Nini mbaya? Si uoneshe escalator kwenye bus terminals kunako Kunyaland!
 
Russia wenyewe wametamgaza , safe corridor ya Wanafunzi kutoka nchi mbali mbali.....


Kama unavyoona hapo Kwa picha wahindi nao wameambiwa washikilie bendera Yao.... kwakofupi bendera ambayo hairuhusiwi kuringia Russia ni bendera ya Ukraine..

View attachment 2140150
Onesha ya Kunyaland au hamna wanafunzi Russia?
 






From
FNBr7dPXoAEBoL1



To
FNBr76-XsAAiEKb

Wangari mathai akifufuka atazirai 😀
 
Ukraine: the friends of Kunyaland


Tony254


Nigeria voted in favor of Ukraine!

Wakenya na wanaijaa Ndio watajua hawajui sisi wanafunzi wetu wanachukuliwa na wanajeshi wa urusi hawalipi hata senti moja sasa hawa waliomuunga mkono mmarekani wataisoma namba na wanavyowabaguaa wanafunzi waafrika
 
Hizi nchi zote zilivote in favour of Russia plus wenye walikata kuvote zote Ni SHITHOLE,
Kitu kingine Ni hakuna nchi Ni DEVELOPED pia.
Ujinga tu.
While the Chinese r ur only source of pride in public while only hope in reality as far a chase for self glorification n chest thumbing development ego in Kunyaland is concerned! That express highway is a courtesy of master-slave exploitation!
 
Heheheheee mm nishapiga zangu now nipo kitandani nawa zoom tu hawa matahira wa northern corridor, alafu wanasema eti mm Ninawwchukia, niwachukie kwa lipi hasa? Mm huwa napambana nao waitoe ile dhana yao ya kipumbavu kwamba Tz ni nchi ya kawaida, hicho ndicho kitu ambacho sipendi, wakunya wakishakuwa na heshima na kaka zao hapo basi mm nitakuwa sina tatizo kabisa na naona cku hizi wameanza kukuwa na adabu na ndiyo maana hata sindano nmepunguza hata kule twitter
 
Heheheheee mm nishapiga zangu now nipo kitandani nawa zoom tu hawa matahira wa northern corridor, alafu wanasema eti mm Ninawwchukia, niwachukie kwa lipi hasa? Mm huwa napambana nao waitoe ile dhana yao ya kipumbavu kwamba Tz ni nchi ya kawaida, hicho ndicho kitu ambacho sipendi, wakunya wakishakuwa na heshima na kaka zao hapo basi mm nitakuwa sina tatizo kabisa na naona cku hizi wameanza kukuwa na adabu na ndiyo maana hata sindano nmepunguza hata kule twitter

Kwanza unaanzaje kuchukia nchi inayopokea misaada ya chakula karne hii zaidi ya kuionea huruma tu!
 
Back
Top Bottom