Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Acha ujinga wewe tulianza kuishi vizur na Russia kitambo tu hata Putin alishawahi kufika Bongo 👇Jaribu kufanya biashara na Russia sahii uone kama uchumi wenu hamtauokota 1963
Acha ujinga wewe tulianza kuishi vizur na Russia kitambo tu hata Putin alishawahi kufika Bongo 👇Jaribu kufanya biashara na Russia sahii uone kama uchumi wenu hamtauokota 1963
🤣🤣 Usijaribu kuficha aibu, escalator ni kitu cha kawaida sana, si ni juzi juzi Tu, mlikua mnafanya uzinduzi rasmi wa lift ya Kwanza kwenye jengoNdio, escalators kuzikuta kwenye office buildings, hotels, malls and airports or even in railway stations ni vitu vya kawaida, but sio kawaida kabisa kukutana na escalators kwenye bus terminals hususan hapa EA, na ni ukweli kwamba ni kwenye bus terminals za Tanzania tu ndio unaweza kukutana na escalators.. sasa ulitakiwa utu prove wrong by showing us them escalators in your so called ultra modern state of art bus terminus in Nairobi ..
Haya twende kazi 😂😂😂
Sasa nini unajaribu kufanya hapa? Unapost picha za watu kwani unafikiri Kenya hakuna watu??
Akili zako zipo matakoni, unawaza na mkundu wewe😂😂😂 Kwahiyo pesa yenu kuwa na thamani kuliko pesa ya Russia ndio itawawezesha kutoomba misaada ya chakula kutoka Dubai.? na atie pua US na hao NATO waone kinachowatokea, wamefyata mikia yao huku UKRAINE anakula dozi tu ..1russian ruble=1.08 kenya shillings💩
Sisi tunaenda na NATO👌go f**k in Russia
Ni China na Tanzania tu ndio imepewa hii privilege, hata wachina waliambiwa wakitaka kutoka wanyooshe bendera ya ChinaJamaa Wana kimbelele sana hawa, wataangukia pua.. ona faida tunazopata sisi kwa kuchagua kuwa smart na sio viherehere. Watoto wetu 150 waliokwama uko kwenye mji wa Sumy UKRAINE wameruhusiwa kuvuka kuelekea Russia, na serikali ya Russia imeahidi kuwapatia escort ya kijeshi mpaka watakapofika RUSSIA kwenye mji wa Belgorod tayari kwa hatua zingine za kuwaridisha nyumbani kufuatwa 👇View attachment 2140062View attachment 2140063haya bwana Tony uje Hapa Tony254 ujifunze kuwa sisi ni taifa la watu wenye akili timamu zaidi hapa EA, hatufuati mikumbo, we know what we want.. endeleeni kuwaramba miguu mabeberu watoto wenu watakoma uko Ukraine kwa vichapo vya mrusi 😂😂😂 na ubaguzi wa rangi juu, watajua hawajui 😂😂
no need for all that. he's trollingFvk off gay a55 b!tch
Hii picha ishaduduliwa kua uongo, na katika kupigania ukombozi wa Africa hakuna nchi ilipewa sanction, kwahivyo usilete Mambo ya zamani hapa kama mifano....Acha ujinga wewe tulianza kuishi vizur na Russia kitambo tu hata Putin alishawahi kufika Bongo 👇View attachment 2140117hizo suction tungepigwa kitambo tu, kwani unafkiri hizi maneno ni za juzi tu.?
Na ndio maana nilikuuliza kwamba unaelewa kiswahili .? Tunataka kuona escalators kwenye bus terminals za Kenya ile ultra modern state of art bus terminus.. au hakuna.?🤣🤣 Usijaribu kuficha aibu, escalator ni kitu cha kawaida sana, si ni juzi juzi Tu, mlikua mnafanya uzinduzi rasmi wa lift ya Kwanza kwenye jengo
Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya
Inaonekana mko na kaushamba flani na hivi vitu 🤫
Shida za ugaidi ziko kwa akili yako wewe binafsi... Hata serikali yako haikubaliani nawe wakaona wawekeze pesa humu nchini...everyone would want to have a share of this cake so sit down kula wivu polepole..who would invest in a place they know is risky?? Besides hio project imestall kuanzia 2014 anyway, Nssf is brokeYou mis the point here, am not concern my self with how dope it will be or worth attention structure ,na hoji kuna haja gani ya Tz kujenga j3ngo la gorofa ugenini, tena kwenye nchi yenye shida za ugadi? Inama Tz imefanya vyema vyakutosha nyumbani kufikia kujenga jengo kama hilo away? Case study ni embassy yenuView attachment 2139580
Kaa kwa kutulia huna ujualoHii picha ishaduduliwa kua uongo, na katika kupigania ukombozi wa Africa hakuna nchi ilipewa sanction, kwahivyo usilete Mambo ya zamani hapa kama mifano....
Nyinyi si ni marafiki na Iran, mbona hamjawahi kutubuthu kununua mafuta ya Iran ili kusaidia uchumi wao? Mbona hamuagizii vifaa kutoka North Korea?
Sasa nakwambia, enda uambie mama aaigizie vifaa kutoka Russia ama awauzie Russia chochote sahii uone kama vitafika
Ha ha ha haSasa nini unajaribu kufanya hapa? Unapost picha za watu kwani unafikiri Kenya hakuna watu??
Ni Rahisi sana kudanyanya watanzania, Russia na Ukraine wameelewana kwamba kutatengenezaa safe humanitarian corridors ili civilians waeze kuepuka vita na waende nchi yoyote jirani... Watanzania washajitengezea propaganda kana kwamba hii privilege wamelewa wao pekee...Jamaa Wana kimbelele sana hawa, wataangukia pua.. ona faida tunazopata sisi kwa kuchagua kuwa smart na sio viherehere. Watoto wetu 150 waliokwama uko kwenye mji wa Sumy UKRAINE wameruhusiwa kuvuka kuelekea Russia, na serikali ya Russia imeahidi kuwapatia escort ya kijeshi mpaka watakapofika RUSSIA kwenye mji wa Belgorod tayari kwa hatua zingine za kuwaridisha nyumbani kufuatwa 👇View attachment 2140062View attachment 2140063haya bwana Tony uje Hapa Tony254 ujifunze kuwa sisi ni taifa la watu wenye akili timamu zaidi hapa EA, hatufuati mikumbo, we know what we want.. endeleeni kuwaramba miguu mabeberu watoto wenu watakoma uko Ukraine kwa vichapo vya mrusi 😂😂😂 na ubaguzi wa rangi juu, watajua hawajui 😂😂
Sasa nini unajaribu kufanya hapa? Unapost picha za watu kwani unafikiri Kenya hakuna watu??


Nssf is broke? Acha hizo wewe. Policy za Magu ziliogopesha watu kufanya miradi kama hio. Hamna uwekezaji wala nini ujenzi huo ni mchongo tu wa kupiga hela.Shida za ugaidi ziko kwa akili yako wewe binafsi... Hata serikali yako haikubaliani nawe wakaona wawekeze pesa humu nchini...everyone would want to have a share of this cake so sit down kula wivu polepole..who would invest in a place they know is risky?? Besides hio project imestall kuanzia 2014 anyway, Nssf is broke
Ishu sio tu maelewano ya Russia na UKRAINE kuweka safe corridor ili kuwapisha raia watoke ndio vita yao iendelee lahasha, ni kwamba Watanzania wameruhusiwa kutoka UKRAINE kuelekea Russia tena kwa escort ya kijeshi, yani jeshi la Urusi litawabeba wabongo kuwapeleka Belgorod ..! Unajua kusoma kiswahili.? Soma hii barua kutoka ubalozi wa Tanzania nchini Russia , watanzania wanatakiwa waonyeshe bendera yao tu wabebwe na jeshi la Urusi kutoka UKRAINE hadi Urusi ..Ni Rahisi sana kudanyanya watanzania, Russia na Ukraine wameelewana kwamba kutatengenezaa safe humanitarian corridors ili civilians waeze kuepuka vita na waende nchi yoyote jirani... Watanzania washajitengezea propaganda kana kwamba hii privilege wamelewa wao pekee...
![]()
Russia-Ukraine war: Ceasefire attempt to evacuate civilians fails
Ukraine and Russia trade allegations over breakdown of partial ceasefire in Mariupol and Volnovakha amid shelling.www.aljazeera.com
Putin ana miaka 69.... 1973 Putin alikua na miaka 20, Kabla hata muendelee, Kijana WA miaka 20 Hana ujuzi wowote kufundisha wanajeshi kupigania ukombozi wa Africa kutoka Kwa wakoloni..Kaa kwa kutulia huna ujualo
Ila manyang'au wengine mtajua wenyewe mtatoka vipi, hii ni special treatment kwa swahiba tu, yani mpaka Sasahiv ni sisi na wenzetu China tu ndio tunatambulika na kupewa heshima tunayostahili 😂.. nyie wengine kama mtakufa sawa, kama mtaota mbawa mupae pia sawa 😂😂😂 unaskia wewe KafricanIshu sio tu maelewano ya Russia na UKRAINE kuweka safe corridor ili kuwapisha raia watoke ndio vita yao iendelee lahasha, ni kwamba Watanzania wameruhusiwa kutoka UKRAINE kuelekea Russia tena kwa escort ya kijeshi, yani jeshi la Urusi litawabeba wabongo kuwapeleka Belgorod ..! Unajua kusoma kiswahili.? Soma hii barua kutoka ubalozi wa Tanzania nchini Russia , watanzania wanatakiwa waonyeshe bendera yao tu wabebwe na jeshi la Urusi kutoka UKRAINE hadi Urusi ..View attachment 2140128show up some respects to us .